Thanks mkuu kwa upembuzi yakinifu,mie nimesave....utanisaidia hapo baadae....
Je naweza pata wapi nguruwe wadogo wa kufuga nduguyangu?
tahadhar kwa kwa mikoa ya mbeya,,,iringa ule ugonjwa bdo upo haujaisha,,,
bigup kwa elimu nzuri uliyotupatia
Pia mimi nahitaji nguruwe wakubwa wawili majike na dume moja kwa kuanza kufuga
Mwanajamvi nimependezewa sana na hii idea.Ila nataka kujua kwa nguruwe ambae ni tayari kwa kuuzwa,anauzwa bei gani???
Mkuu, ni vizuri kuanza kufuga na piglets au wakubwa (kama vile majike wawili na dume moja)?
Naomba kupata namba ya huyo mwenye mbegu nzuri huko mapinga
mada nzuri haina udini, ina utaifa tu. Ritz1 hawezi gusa hapa na udini wake
UTUMISHI WA HAKI, NI SULUHISHO LA MAOVU YOTE
Thanks nasubitia
Follow Us Here