JamiiSMS
  Show/Hide This

  Topic: Soko la Ufuta

  Report Post
  Results 1 to 7 of 7
  1. 1800's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 27th December 2010
   Posts : 2,056
   Rep Power : 1018
   Likes Received
   543
   Likes Given
   22

   Default Soko la Ufuta

   Wadau naomba msaada kwa wale wenye idea juu ya wanunuaji wa jumla wa zao la ufuta kwa mikoa ya Dar es salaam, Tanga na Morogoro,ningeomba kusaidiwa kujua na bei ya ununuzi kwa kilo moja ya ufuta!


  2. Malila's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 22nd December 2007
   Location : Makete mjini
   Posts : 3,208
   Rep Power : 11138
   Likes Received
   1435
   Likes Given
   660

   Default Re: Soko la Ufuta

   Quote By 1800 View Post
   Wadau naomba msaada kwa wale wenye idea juu ya wanunuaji wa jumla wa zao la ufuta kwa mikoa ya Dar es salaam, Tanga na Morogoro,ningeomba kusaidiwa kujua na bei ya ununuzi kwa kilo moja ya ufuta!
   Nenda METL pale Nyerere Road utapata pa kuanzia.
   Belo likes this.
   Mtu mwema huacha urithi kwa wana wa wanawe.

  3. 1800's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 27th December 2010
   Posts : 2,056
   Rep Power : 1018
   Likes Received
   543
   Likes Given
   22

   Default

   Quote By Malila View Post
   Nenda METL pale Nyerere Road utapata pa kuanzia.
   Ok mkuu!nashukuru kwa kunijulisha pa kuanzia!

  4. Ninaweza's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 14th December 2010
   Location : bukonda moyo
   Posts : 2,580
   Rep Power : 1000
   Likes Received
   392
   Likes Given
   1022

   Default Re: Soko la Ufuta

   Pitia na OLAM Tz ltd. UN Road Upanga.
   Maundumula likes this.

  5. Mbimbinho's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 1st August 2009
   Posts : 2,252
   Rep Power : 996
   Likes Received
   648
   Likes Given
   344

   Default Re: Soko la Ufuta

   Quote By 1800 View Post
   Wadau naomba msaada kwa wale wenye idea juu ya wanunuaji wa jumla wa zao la ufuta kwa mikoa ya Dar es salaam, Tanga na Morogoro,ningeomba kusaidiwa kujua na bei ya ununuzi kwa kilo moja ya ufuta!
   Mkuu vipi ulifanikiwa? Tupeane marejesho basi wakuu
   Mbwa ukimjua jina wala hakupi shida....

  6. JF SMS Swahili

  7. dolevaby's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 25th August 2013
   Posts : 882
   Rep Power : 12718
   Likes Received
   207
   Likes Given
   0

   Default Re: Soko la Ufuta

   Thread hii ilinisukuma kwenda hapo OLAM UN,RD wakaniekeza kwenye GODOWN lao kule Vingunguti wakanambia hapo kwao kila Mwaka UFUTA hautoshi hiyo ilikuwa mwaka juzi nilikuwa najipanga kwaajili yaKILIMO cha Mwaka jana bahati mbaya ckufanikiwa kulima,so MKUU khs SOKO laUFUTA uctie shaka wee Elekea shambani2!

  8. matumbo's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 9th July 2011
   Posts : 3,629
   Rep Power : 1750
   Likes Received
   1186
   Likes Given
   981

   Default Re: Soko la Ufuta

   Invisible unganisha na hii

  9. JF SMS Swahili

  Posting Permissions

  • You may not post new threads
  • You may not post replies
  • You may not post attachments
  • You may not edit your posts
  •  

  Who are WE?

  JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

  You are always welcome! Read more...

  Where are we?

  We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

  For anything related to this site please Contact us.

  Contact us now...

  DISCLAIMER

  JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

  Read more...

  Forum Rules

  JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

  You MUST read them and comply accordingly. Read more...

  Privacy Policy

  We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

  Read our Privacy Policy. Proceed here...