jamani walio kanda ya ziwa na mbeya bei ya mpunga ni ngapi kwa sasa? nahitaji kama gunia 100 hivi
jamani walio kanda ya ziwa na mbeya bei ya mpunga ni ngapi kwa sasa? nahitaji kama gunia 100 hivi
Ukikuta kuna njia inapitika jua kuna aliyeianzisha
45000 kwa jun?a,mchele k?lo unapata hata kwa tsh 1200.
Kwa iringa tena huko vijijini gunia 70,000/=
Actors lie to tell the truth, but politicians lie to cover the truth
kyela gunia la plastic 10 ni 95000,,,mbalali ni 80000 na 70000 wa low qulity
Mwanza sengerema gunia ni 60000-70000
Follow Us Here