Support JamiiForums and Become a 'JF Premium Member' | Click HERE for Details
    Show/Hide This

    Topic: Biashara ya Upandaji wa Miti Ya Mbao

    Report Post
    Page 4 of 6 FirstFirst ... 23456 LastLast
    Results 61 to 80 of 112
    1. KVM
      #1
      KVM's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 11th February 2011
      Posts : 471
      Rep Power : 513
      Likes Received
      175
      Likes Given
      70

      Default Biashara ya Upandaji wa Miti Ya Mbao

      Mimi nigependa kuwahamasisha wanJF kupanda miti ya mbao hasa mbao nyeupe (pines and cypress). Miti hii inasitawi sana sehemu za nyanda za juu kusini.

      Mimi nilianza kupanda miti hii kama miaka kumi iliyopita. Nimepanda miti mingi kila mwaka bila kukosa. Kwa sasa ninazo ekari nyingi za miti hii. Vile vile miaka ya karibuni nimepanda eucalyptus.

      Wakati naanza kupanda miti mche mmoja nilikuwa nanunua kwa Shs 50 na kuupanda kwa Shs 20. Kwa vile napanda miti mingi (zaidi ya laki moja kwa mwaka) baadaye niliamua kuotesha miche mimi mwenyewe ili kupunguza gharama.

      Gharama zaidi ya miche na upandaji ni barabara za moto kuzunguka msitu. Hata hivyo nilinunua ngómbe na kuwaweka kwenye shamba ili wale majani yanayozunguka msitu. Wamenisaidia sana.

      Unaweza kupanda miti kidogo kidogo kila mwaka kutumia mshahara wako kama nilivyofanya mimi. Baada ya miaka kadhaa utakuwa na miti mingi na utaweza kuwa unauza miti au kupasua mbao kila mwaka.

    2. Miaka 50

    3. #61
      Shine's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 5th February 2011
      Posts : 9,177
      Rep Power : 2427
      Likes Received
      944
      Likes Given
      377

      Default

      Quote By KVM
      Mimi nigependa kuwahamasisha wanJF kupanda miti ya mbao hasa mbao nyeupe (pines and cypress). Miti hii inasitawi sana sehemu za nyanda za juu kusini.

      Mimi nilianza kupanda miti hii kama miaka kumi iliyopita. Nimepanda miti mingi kila mwaka bila kukosa. Kwa sasa ninazo ekari nyingi za miti hii. Vile vile miaka ya karibuni nimepanda eucalyptus.

      Wakati naanza kupanda miti mche mmoja nilikuwa nanunua kwa Shs 50 na kuupanda kwa Shs 20. Kwa vile napanda miti mingi (zaidi ya laki moja kwa mwaka) baadaye niliamua kuotesha miche mimi mwenyewe ili kupunguza gharama.

      Gharama zaidi ya miche na upandaji ni barabara za moto kuzunguka msitu. Hata hivyo nilinunua ngómbe na kuwaweka kwenye shamba ili wale majani yanayozunguka msitu. Wamenisaidia sana.

      Unaweza kupanda miti kidogo kidogo kila mwaka kutumia mshahara wako kama nilivyofanya mimi. Baada ya miaka kadhaa utakuwa na miti mingi na utaweza kuwa unauza miti au kupasua mbao kila mwaka.
      Mkuu huu ushauri wako na ulichokifanya nimekipenda na ntatekeleza kwa kukuiga ili kudumisha ushauri wako

    4. KVM
      #62
      KVM's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 11th February 2011
      Posts : 471
      Rep Power : 513
      Likes Received
      175
      Likes Given
      70

      Default Re: Biashara ya Upandaji wa Miti Ya Mbao

      Quote By Ameir
      Vipi kuhusu soko la mbao dar ? Nachotaka kujua ni kuhusu soko kama ni kubwa
      Kwa kweli soko la mbao ni kubwa sana hapa hapa nchini na nje ya nchi. Kwa sasa mbao za Tanzania zinauzwa Kenya, Uganda, Sudan ya Kusini, Somalia hadi uarabuni. Ukitaka kujua ukubwa wa soko hili nenda Morogoro uhesabu malori yanayoleta mbao kutoka nyanda za juu kusini. Mbao nyingine zinatoka mpaka Malawi.

      Kwa maoni yangu soko la mbao litazidi kupanuka ingawaje uzalishaji kwa miaka kadhaa ijayo utakuwa chini kutokana na kuisha kwa miti hasa huko vijijini. Hivyo bei itazidi kupanda na siyo kushuka. Mahitaji ya mbao yatazidi kwenda juu kwani wengi siku hizi wanajitahidi kujenga nyumba bora, mpaka huko vijijini. Mbao za asili kama mninga, mvule, n.k haziwezi tena kutumika kwenye kazi za kuezekea majumba kutokana na bei zake kuwa kubwa mno.
      muhinda likes this.

    5. #63
      Narubongo's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 3rd November 2010
      Posts : 1,886
      Rep Power : 811
      Likes Received
      842
      Likes Given
      680

      mkuu mninga unachukua muda gani mpaka kuuvuna? mimi huwa naiona vijijini lakini nikiuliza una umri gani huwa sipati majibu yenye uhakika. Mninga ni utajiri.
      Pia niliona kwenye maonesho ya kilimo mwaka fulani.. kuna gereza moja huko kilimanjaro wanatengeneza furniture (nyeupe) nzuri sana kwa kutumia muarobaini.
      "Chadema kinatumia alama ya vidole viwili kama manati, manati kamwe haiwezi kuua tembo" Livingstone Lusinde (2012)

    6. #64
      amkawewe's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 8th December 2011
      Posts : 747
      Rep Power : 525
      Likes Received
      119
      Likes Given
      534

      Default Re: Biashara ya Upandaji wa Miti Ya Mbao

      Jamani maeneo ya chalinze -- lugoba ni miti gani inastawi vizuri..........
      Maundumula likes this.

    7. #65
      Malila's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 22nd December 2007
      Posts : 2,605
      Rep Power : 10971
      Likes Received
      828
      Likes Given
      447

      Default Re: Biashara ya Upandaji wa Miti Ya Mbao

      Quote By Narubongo
      mkuu mninga unachukua muda gani mpaka kuuvuna? mimi huwa naiona vijijini lakini nikiuliza una umri gani huwa sipati majibu yenye uhakika. Mninga ni utajiri.
      Pia niliona kwenye maonesho ya kilimo mwaka fulani.. kuna gereza moja huko kilimanjaro wanatengeneza furniture (nyeupe) nzuri sana kwa kutumia muarobaini.
      Mninga/Mvule ili uvunwe unahitaji miaka isiyopungua sabini.Kwa hiyo ukipanda wewe atavuna mjukuu wako.
      Narubongo and Maundumula like this.
      Mtu mwema huacha urithi kwa wana wa wanawe.

    8. FemaTV & Radio

    9. #66
      Malila's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 22nd December 2007
      Posts : 2,605
      Rep Power : 10971
      Likes Received
      828
      Likes Given
      447

      Default Re: Biashara ya Upandaji wa Miti Ya Mbao

      Quote By amkawewe
      Jamani maeneo ya chalinze -- lugoba ni miti gani inastawi vizuri..........
      Maeneo yale ni makame sana,miarobaini inaweza kustawi ila jamii nyingine ni ngumu sana kukua kibiashara. kama unaingia Chalinze ukitokea huku Dar,kuna mitiki upande wa kushoto,ipo na haiongezeki kimo wala unene. Sijui Msederela kama unaweza kumea na kukua kibiashara.
      Maundumula and amkawewe like this.
      Mtu mwema huacha urithi kwa wana wa wanawe.

    10. #67
      Sabayi's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 4th December 2010
      Posts : 1,303
      Rep Power : 689
      Likes Received
      423
      Likes Given
      923

      Default Re: Biashara ya Upandaji wa Miti Ya Mbao

      Quote By Malila
      Maeneo yale ni makame sana,miarobaini inaweza kustawi ila jamii nyingine ni ngumu sana kukua kibiashara. kama unaingia Chalinze ukitokea huku Dar,kuna mitiki upande wa kushoto,ipo na haiongezeki kimo wala unene. Sijui Msederela kama unaweza kumea na kukua kibiashara.
      Hivi miarobaini inafaa kwa mbao? Mbona kama vile huwa haikui sana kwenda juu?

    11. #68
      Malila's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 22nd December 2007
      Posts : 2,605
      Rep Power : 10971
      Likes Received
      828
      Likes Given
      447

      Default Re: Biashara ya Upandaji wa Miti Ya Mbao

      Quote By Sabayi
      Hivi miarobaini inafaa kwa mbao? Mbona kama vile huwa haikui sana kwenda juu?
      Miarobaini inatoa mbao nzuri sana. Sasa kama mnazi unachongwa mbao, itakuwa muarobaini. Waulize mafundi fenicha mjini Dar wakuambie miguu ya makochi na vitanda iliyobora kabisa wanachonga mti gani.
      amkawewe likes this.
      Mtu mwema huacha urithi kwa wana wa wanawe.

    12. #69
      popular's Avatar
      Member Array
      Join Date : 30th November 2011
      Posts : 27
      Rep Power : 383
      Likes Received
      3
      Likes Given
      0

      Default Re: Biashara ya Upandaji wa Miti Ya Mbao

      Quote By Wenger
      KVM naona hii kazi uliinza muda mrefu kidogo, mimi binafsi naipenda sana hii biashara maana nilishawahi onja utamu wa pesa yake baada ya kuuza miti kidogo niliyopanda nikiwa sekondari. Nimefanikiwa kunua ekari 200 huko njombe najipanga kuanza kupanda january 2013 na 2014 ili mwaka 2022 niwe milionea sio kuanza kulalamikia mafao!

      Wenger...!!! Nadhani wewe tunaweza kwenda pamoja jamaa yangu, Ebana unaweza kunidokeza kidogo acre moja maeneo ya huko inauzwaje...???/

    13. #70
      Narubongo's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 3rd November 2010
      Posts : 1,886
      Rep Power : 811
      Likes Received
      842
      Likes Given
      680

      Default Re: Biashara ya Upandaji wa Miti Ya Mbao

      Quote By Malila
      Mninga/Mvule ili uvunwe unahitaji miaka isiyopungua sabini.Kwa hiyo ukipanda wewe atavuna mjukuu wako.
      miaka 70! sipo tayari kwa hili. Ngoja niendelee kufanya utaratibu wa kumiliki ardhi kisheria maana hizi projects za muda mrefu ni lazima uwashirikishe watu wa ardhi kikamilifu kabla ya kuanza kupanda miti. Tuliangalie kwa umakini hili swala, watu wengi wamepoteza ardhi kwa kutofuata taratibu za umiliki
      Maundumula and amkawewe like this.
      "Chadema kinatumia alama ya vidole viwili kama manati, manati kamwe haiwezi kuua tembo" Livingstone Lusinde (2012)

    14. #71
      Red Giant's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 9th March 2012
      Posts : 730
      Rep Power : 3610
      Likes Received
      233
      Likes Given
      282

      Default Re: Biashara ya Upandaji wa Miti Ya Mbao

      Quote By Narubongo
      miaka 70! sipo tayari kwa hili. Ngoja niendelee kufanya utaratibu wa kumiliki ardhi kisheria maana hizi projects za muda mrefu ni lazima uwashirikishe watu wa ardhi kikamilifu kabla ya kuanza kupanda miti. Tuliangalie kwa umakini hili swala, watu wengi wamepoteza ardhi kwa kutofuata taratibu za umiliki
      well said mkuu, hivi ule utaratibu wa hati za kimila uliishia wapi? nasikia ilikuwa 20,000 tu , au hauwahusu wanunuzi wa ardhi yaani mpaka uwe umerithi?
      COAL UNDER PRESSURE BECOMES DIAMOND

    15. #72
      popular's Avatar
      Member Array
      Join Date : 30th November 2011
      Posts : 27
      Rep Power : 383
      Likes Received
      3
      Likes Given
      0

      Default Re: Biashara ya Upandaji wa Miti Ya Mbao

      Quote By Malila
      Asante KVM,

      Nichangie kwa kuleta nyongeza za hapa na pale ili kujazia mjadala wetu. Maeneo ya kupanda miti yaliyosahaulika ni Kilolo, Mfindi,Mby vijijini, Makonde plateau.

      Tumetaja sana pines, cyprus, teak,eucalyptus, tumesahau acrocarpus kwa ukanda wa baridi na Msederela kwa kanda za joto kiasi.

      Hatujazungumzia mbegu, mbegu bora za Pines kwa sasa ni Tatizo sugu.Tangu mwaka jana kituo cha Iringa wameshindwa kuzalisha, kwa hiyo pines/cyprus zinaandaliwa kienyeji na vijana huko vijijini.Kwa sasa pines za uhakika zinapatikana Nairobi, ila bei imesimama.

      Mwaka jana tulipata taabu sana ya tubes, ila mwaka huu walau zipo pale TFA Iringa, bei iko juu. Ukiwa na usafiri wako, ni bora kununua Dar ukasafirisha. Dar ni Tsh 5000/ kwa kilo na TFA Iringa ni 6500/ kwa kilo.

      Ili kupunguza gharama za kitalu, watika miche mapema, miezi mitano kabla ya msimu wa kupanda haujafika.

      Kama unataka ardhi kubwa,Makete usiende, ni kazi ngumu kupata eka 50 za pamoja zinazofikiwa na miundo mbinu. Utapanda milimani ambako utashindwa kuvuna. Na maeneo mazuri yaliyobaki bei iko juu. Ludewa/Wino/Lupembe/Mfindi kusini huko bei poa.Kilolo bei inaanza kupanda.

      Kwa wale wanaonunua miti na ardhi, wawe waangalifu, vijijini unaweza kuta miti ni mtu mwingine na ardhi ni ya mtu mwingine.

      Asante, tuendelee kukata issue.

      Kiongozi unaonekana unafahamu mengi juu ya miti hapo aithee, NAOMBA KUJOIN naamini nitafamu mengi nitakapopata mawasiliano yako... Email yangu ni [email protected]

    16. #73
      Malila's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 22nd December 2007
      Posts : 2,605
      Rep Power : 10971
      Likes Received
      828
      Likes Given
      447

      Default Re: Biashara ya Upandaji wa Miti Ya Mbao

      Mtu mwema huacha urithi kwa wana wa wanawe.

    17. #74
      Malila's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 22nd December 2007
      Posts : 2,605
      Rep Power : 10971
      Likes Received
      828
      Likes Given
      447

      Default Re: Biashara ya Upandaji wa Miti Ya Mbao

      Quote By Red Giant
      well said mkuu, hivi ule utaratibu wa hati za kimila uliishia wapi? nasikia ilikuwa 20,000 tu , au hauwahusu wanunuzi wa ardhi yaani mpaka uwe umerithi?
      Utaratibu ule bado upo na kuna maeneo wanaendelea kugawa hata sasa. Sehemu zingine hakuna kinachoendelea kwa sababu ya ulegelege wa serikali za maeneo hayo.
      Mtu mwema huacha urithi kwa wana wa wanawe.

    18. #75
      COPLO's Avatar
      Junior Member Array
      Join Date : 9th April 2012
      Posts : 3
      Rep Power : 0
      Likes Received
      1
      Likes Given
      1

      Default Re: Biashara ya Upandaji wa Miti Ya Mbao

      OOh!!! Mkuu hilo tu? mi nipo huku Iringa. kuhusu shamba la miti ya mbao hususani pine naweza kukusaidia kwa kukuunganisha na kikundi kimoja kinacho jihusisha na uhamasishaji wa upandaji miti hasa mipaine: Yaani wao watakutafutia shamba, watapanda, na kukumilikisha chinni ya serikali ya kijiji na utakabidhiwa hati ya umiliki wa shamba hilo. Na jumla ya gharama zote ni SH;250000 Kwa eka moja.Pia kipo kikundi kingine ambacho unaweza kuingia mkataba juu ya utunzaji wa miti yako hasa issue ya moto na mambo mengine ambayo ni hatarishi kwa ustawi na ukuaji wa miti yako. hii ni serious issue kama upo Interested ninyongee kupitia 0768953122 or via [email protected];Japo mi ni mdau mpya so nimeipenda sana topic ya kimaendeleo zaidi.
      ANKOJEI likes this.

    19. #76
      miumiu's Avatar
      Junior Member Array
      Join Date : 8th February 2013
      Posts : 3
      Rep Power : 0
      Likes Received
      0
      Likes Given
      1

      Default

      nashukuru kwa mchango wenu!!kuhusu biashara ya upandaji miti! Nimevutiwa na mchango wa kila mmoja!

    20. #77
      kizaizai's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 31st March 2010
      Posts : 472
      Rep Power : 559
      Likes Received
      129
      Likes Given
      122

      Default Re: Biashara ya Upandaji wa Miti Ya Mbao

      Quote By Wenger
      KVM naona hii kazi uliinza muda mrefu kidogo, mimi binafsi naipenda sana hii biashara maana nilishawahi onja utamu wa pesa yake baada ya kuuza miti kidogo niliyopanda nikiwa sekondari. Nimefanikiwa kunua ekari 200 huko njombe najipanga kuanza kupanda january 2013 na 2014 ili mwaka 2022 niwe milionea sio kuanza kulalamikia mafao!
      Nipo Iringa kama utakuwa tayari naomba tuwasiliane. Nina ekari 20 Kidabaga - Kilolo naona hazitoshi na huku bei kwa ekari moja imepanda sana. Nahitaji shamba huko Njombe.

    21. #78
      Malila's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 22nd December 2007
      Posts : 2,605
      Rep Power : 10971
      Likes Received
      828
      Likes Given
      447

      Default Re: Biashara ya Upandaji wa Miti Ya Mbao

      Quote By kizaizai
      Nipo Iringa kama utakuwa tayari naomba tuwasiliane. Nina ekari 20 Kidabaga - Kilolo naona hazitoshi na huku bei kwa ekari moja imepanda sana. Nahitaji shamba huko Njombe.
      Kidabaga vijiji gani mkuu? Uko karibu na hawa New Forest kule Magome au Ng`ang`ange? Maeneo hayo bei iko juu sana sababu ya hawa NF. Jaribu kwenda Ng`ingula au Masisiwe, kule bado ardhi ipo, ila Lupilo bei iko juu sana.

      Njombe mambo bado hayajaharibika sana. Wahi wahi.
      Maundumula likes this.
      Mtu mwema huacha urithi kwa wana wa wanawe.

    22. #79
      kizaizai's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 31st March 2010
      Posts : 472
      Rep Power : 559
      Likes Received
      129
      Likes Given
      122

      Default Re: Biashara ya Upandaji wa Miti Ya Mbao

      Quote By Malila
      Kidabaga vijiji gani mkuu? Uko karibu na hawa New Forest kule Magome au Ng`ang`ange? Maeneo hayo bei iko juu sana sababu ya hawa NF. Jaribu kwenda Ng`ingula au Masisiwe, kule bado ardhi ipo, ila Lupilo bei iko juu sana.

      Njombe mambo bado hayajaharibika sana. Wahi wahi.
      Ni katika vijiji vya Idete maeneo ya hao New Forest lakini kwa mbele.

    23. #80
      Maundumula's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 4th November 2010
      Posts : 4,920
      Rep Power : 3095
      Likes Received
      1340
      Likes Given
      5654

      Default Re: Biashara ya Upandaji wa Miti Ya Mbao

      Quote By Wenger
      KVM naona hii kazi uliinza muda mrefu kidogo, mimi binafsi naipenda sana hii biashara maana nilishawahi onja utamu wa pesa yake baada ya kuuza miti kidogo niliyopanda nikiwa sekondari. Nimefanikiwa kunua ekari 200 huko njombe najipanga kuanza kupanda january 2013 na 2014 ili mwaka 2022 niwe milionea sio kuanza kulalamikia mafao!
      Eneoo la hekari 200 umepata kwa kiasi gani mkuu?

    Page 4 of 6 FirstFirst ... 23456 LastLast

    User Tag List

    Posting Permissions

    • You may not post new threads
    • You may not post replies
    • You may not post attachments
    • You may not edit your posts
    •  

    Who are WE?

    JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

    You are always welcome! Read more...

    Where are we?

    We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

    For anything related to this site please Contact us.

    Contact us now...

    DISCLAIMER

    JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

    Read more...

    Forum Rules

    JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

    You MUST read them and comply accordingly. Read more...

    Privacy Policy

    We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

    Read our Privacy Policy. Proceed here...