Wakuu-
Ninatafuta mashine ya kutengenezea juice ya miwa. Kama unafahamu inapatikana wapi nakuomba unielekeze. Preferably ndani ya mipaka ya Dar es Salaam.
Natanguliza shukrani.
Wakuu-
Ninatafuta mashine ya kutengenezea juice ya miwa. Kama unafahamu inapatikana wapi nakuomba unielekeze. Preferably ndani ya mipaka ya Dar es Salaam.
Natanguliza shukrani.
usipoteze hela kununua mashine nunua sukari yeyusha kwenye maji halafu weka food colour utapat juice taaaaaaamuuu ya miwa!
CDM wasipokuwa makini, watawapokea fisi ngomani badala ya binadamu- by Collezione
how much does that machine cost?,thnx
Mkuu miwa au hata juice nyingine nyingi zinaweza zikawa alcohol baada ya fermentation. (kuspeed process watu huwa wanaweka yeast kwenye vinywaji ili kuharakisha kuibadilisha kuwa pombe..) Ingawa hata bila kuweka yeast ikikaa kwa muda mrefu process ya fermentation itatokea na juice yako itakuwa alcohol.. (hivyo basi inabidi kuhifadhi ili kuzuia fermentation na ibaki kuwa juice)
Even a Genius Asks Questions....
Asanteni kwa taarifa. Ninayafanyia kazi maoni yenu. Nawasilisha
Ni pm. Ninayo nzuri sana niliinunua kwenye trade fair china mwaka jana.natumaini upo serious
alitenayo abandike bei na uwezo wake au apige namba 0716554555 au 0719223225
nielekeze ulipoiona nikaitazame kisha nikupe quotations za kukutengenezea locally kwenye workshop yetu...watanzania tukijiwezesha tunawezaa.
if we die the next generation will fight them too..and the one after them untill the victory is on our side
Wandugu,
Napenda kufahamu hizi mashine za kukamua juice ya miwa zinapatikana wapi na bei zake zina range kwenye kiasi gani.
tuna omba mtujuze jamani! hata mimi ni mmoja wa mahitaji wa hii kitu aisee!
Kumbe tupo wengi.
Follow Us Here