JamiiSMS
  Show/Hide This

  Topic: Kilimo cha Mapapai

  Report Post
  Results 1 to 17 of 17
  1. Pilato2006's Avatar
   Senior Member Array
   Join Date : 25th August 2008
   Location : Tanzania
   Posts : 110
   Rep Power : 637
   Likes Received
   9
   Likes Given
   3

   Default Kilimo cha Mapapai

   Wana JF, nataka kufanya kilimo cha mapapai ila nahitaji mbegu za muda mfupi kuzaa ili nianze kuvuna mapema. Naomba msaada wa yafuatayo

   1 Wapi nitapata mbegu fupi za muda mfupi kuanza kuzaa?
   2. Nikitaka kupanda spacing iwe kiasi gani toka mche hadi mche?

   Asanteni sana hii ni katika kuhangaika kuongeza kipato maana hii nchi ukizubaa ukajikuta unanyong'onyea sana kwa wanayojili
   Ikulu ni Mahali Patakatifu,.. JKN

  2. Mashurano's Avatar
   Member Array
   Join Date : 29th July 2011
   Posts : 23
   Rep Power : 466
   Likes Received
   0
   Likes Given
   0

   Default Re: KIlimo cha Mapapai

   nenda sua

  3. abrisalim's Avatar
   Member Array
   Join Date : 17th May 2011
   Posts : 35
   Rep Power : 479
   Likes Received
   5
   Likes Given
   0

   Default Re: Kilimo cha Mapapai

   dont stop walaji wako wengi

  4. #4
   Malila's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 22nd December 2007
   Location : Makete mjini
   Posts : 3,414
   Rep Power : 35922745
   Likes Received
   1643
   Likes Given
   705

   Default Re: KIlimo cha Mapapai

   Quote By Mashurano View Post
   nenda sua
   Mbegu hizo zilikuwa nyingi sana Mpwapwa, sijui kwa sasa. Lakini ukikosa, anza na hizi za kawaida, ukipata hizo fupi unaendelea.
   Mtu mwema huacha urithi kwa wana wa wanawe.

  5. HAKUNA's Avatar
   Senior Member Array
   Join Date : 12th March 2012
   Posts : 134
   Rep Power : 456
   Likes Received
   49
   Likes Given
   48

   Default Re: Kilimo cha Mapapai

   wenye taarifa zaidi, wapi MALILA, KANYAGIO......????

  6. Clean9

  7. Ben40's Avatar
   Senior Member Array
   Join Date : 18th April 2012
   Posts : 161
   Rep Power : 456
   Likes Received
   11
   Likes Given
   5

   Default Re: Kilimo cha Mapapai

   Hivi hicho kilimo kinalipa kweli?

  8. Mwanajamii's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 5th March 2008
   Posts : 7,084
   Rep Power : 1875
   Likes Received
   27
   Likes Given
   13

   Default

   Quote By Pilato2006 View Post
   Wana JF, nataka kufanya kilimo cha mapapai ila nahitaji mbegu za muda mfupi kuzaa ili nianze kuvuna mapema. Naomba msaada wa yafuatayo

   1 Wapi nitapata mbegu fupi za muda mfupi kuanza kuzaa?
   2. Nikitaka kupanda spacing iwe kiasi gani toka mche hadi mche?

   Asanteni sana hii ni katika kuhangaika kuongeza kipato maana hii nchi ukizubaa ukajikuta unanyong'onyea sana kwa wanayojili
   Mkuu nimesikia kuna mbegu Nzuri za mipapai kibaha. Kuna kijana nimemtuma akaonane na bw. Shamba
   Nitakujuza nikipata info zaidi

  9. culboy's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 23rd November 2011
   Posts : 500
   Rep Power : 545
   Likes Received
   23
   Likes Given
   9

   Default

   Quote By Pilato2006 View Post
   Wana JF, nataka kufanya kilimo cha mapapai ila nahitaji mbegu za muda mfupi kuzaa ili nianze kuvuna mapema. Naomba msaada wa yafuatayo

   1 Wapi nitapata mbegu fupi za muda mfupi kuanza kuzaa?
   2. Nikitaka kupanda spacing iwe kiasi gani toka mche hadi mche?

   Asanteni sana hii ni katika kuhangaika kuongeza kipato maana hii nchi ukizubaa ukajikuta unanyong'onyea sana kwa wanayojili
   mkuu tupe maendeleo ya matunda yako pia na soko je umefkia wp?

  10. Chasha Poultry Farm's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 4th June 2011
   Posts : 4,624
   Rep Power : 1643
   Likes Received
   2200
   Likes Given
   607

   Default

   Quote By Ben40 View Post
   Hivi hicho kilimo kinalipa kweli?
   Kilimo cha mapapai ni kizuri sana, make utomvu wake pekee huwa unatafutwa sana, na kuna watu wanalima kwa sababu ya utomvu, ingawa hata tunda lake ni zuri sana na kwa wanao fuga kuku majani ya mipapai ni mazuri sana kwa kuku make ni dawa, na kuna artical nilisoma kwa west aftica wanatumia mbegu za papai kutibu Newcastle ua mdondo. Nikiipata nitaiweka hapa

  11. Sabayi's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 4th December 2010
   Posts : 2,299
   Rep Power : 955
   Likes Received
   828
   Likes Given
   1783

   Default

   Quote By Chasha View Post
   Kilimo cha mapapai ni kizuri sana, make utomvu wake pekee huwa unatafutwa sana, na kuna watu wanalima kwa sababu ya utomvu, ingawa hata tunda lake ni zuri sana na kwa wanao fuga kuku majani ya mipapai ni mazuri sana kwa kuku make ni dawa, na kuna artical nilisoma kwa west aftica wanatumia mbegu za papai kutibu Newcastle ua mdondo. Nikiipata nitaiweka hapa
   Mkuu utomvu unatumiwa kwa nini?

  12. Kubota's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 21st October 2012
   Posts : 494
   Rep Power : 17964568
   Likes Received
   660
   Likes Given
   614

   Default Re: Kilimo cha Mapapai

   Quote By Sabayi View Post
   Mkuu utomvu unatumiwa kwa nini?
   ]

   Mapapai mabichi hutoa utomvu ambao una kimeng'enyo (enzyme) kiitwacho Papain. Papain ni maarufu kwa kulainisha nyama (meat tenderizer). Papain huvunjavunja nyuzinyuzi zinazoshikamanisha misuli ya nyama na kuifanya nyama ambayo ni ngumu ikipikwa kuwa laini kabisa. Ndiyo maana wakati mwingine watu hupika nyama kwa kuchanganya na vipande vya papai bichi au utomvu wake. Papain pia inatumika viwandani kutengeneza vitu mbali mbali na hutumika mahospitalini kwa tiba ya magonjwa mengi kwa hiyo papain inamatumizi mengi sana. Kuna steji maalumu ambapo matunda ya papai hukwaruzwa na utomvu wake unakusanywa, hukaushwa na kuuzwa. Kwa nchi zenye watu serious zao la Mapapai ni zao maarufu! Biashara ya papain inaweza kuwa na kipato kuliko tunda lenyewe!
   Ngongo, Sabayi and sakapal like this.
   "Failure is not falling down but refusing to get up". Chinese Proverb.

  13. sakapal's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 11th April 2011
   Posts : 1,803
   Rep Power : 3839
   Likes Received
   1379
   Likes Given
   3452

   Default Re: Kilimo cha Mapapai

   Quote By Kubota View Post
   ]

   Mapapai mabichi hutoa utomvu ambao una kimeng'enyo (enzyme) kiitwacho Papain. Papain ni maarufu kwa kulainisha nyama (meat tenderizer). Papain huvunjavunja nyuzinyuzi zinazoshikamanisha misuli ya nyama na kuifanya nyama ambayo ni ngumu ikipikwa kuwa laini kabisa. Ndiyo maana wakati mwingine watu hupika nyama kwa kuchanganya na vipande vya papai bichi au utomvu wake. Papain pia inatumika viwandani kutengeneza vitu mbali mbali na hutumika mahospitalini kwa tiba ya magonjwa mengi kwa hiyo papain inamatumizi mengi sana. Kuna steji maalumu ambapo matunda ya papai hukwaruzwa na utomvu wake unakusanywa, hukaushwa na kuuzwa. Kwa nchi zenye watu serious zao la Mapapai ni zao maarufu! Biashara ya papain inaweza kuwa na kipato kuliko tunda lenyewe!
   ntaanza kuifanyia kazi home niijaribu then ikiwork intaifanya kibiashara zaidi, thanks for info.
   Kubota likes this.
   ONE LOVE, ONE HEART, LET'S GET TOGETHER N .............................! !

  14. Kubota's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 21st October 2012
   Posts : 494
   Rep Power : 17964568
   Likes Received
   660
   Likes Given
   614

   Default Re: Kilimo cha Mapapai

   Quote By sakapal View Post
   ntaanza kuifanyia kazi home niijaribu then ikiwork intaifanya kibiashara zaidi, thanks for info.
   Poowaa!! Inabidi ufanye kama ka utafiti hivi! Unaweka vipimo tofauti tofauti hadi kieleweke! Inawezekana kabisa.
   sakapal likes this.
   "Failure is not falling down but refusing to get up". Chinese Proverb.

  15. Zero One Two's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 22nd June 2012
   Posts : 8,989
   Rep Power : 16603
   Likes Received
   2954
   Likes Given
   11111

   Default Re: Kilimo cha Mapapai

   Zion Daughter njoo huku uchangie

  16. Sabayi's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 4th December 2010
   Posts : 2,299
   Rep Power : 955
   Likes Received
   828
   Likes Given
   1783

   Default Re: Kilimo cha Mapapai

   Quote By Kubota View Post
   ]

   Mapapai mabichi hutoa utomvu ambao una kimeng'enyo (enzyme) kiitwacho Papain. Papain ni maarufu kwa kulainisha nyama (meat tenderizer). Papain huvunjavunja nyuzinyuzi zinazoshikamanisha misuli ya nyama na kuifanya nyama ambayo ni ngumu ikipikwa kuwa laini kabisa. Ndiyo maana wakati mwingine watu hupika nyama kwa kuchanganya na vipande vya papai bichi au utomvu wake. Papain pia inatumika viwandani kutengeneza vitu mbali mbali na hutumika mahospitalini kwa tiba ya magonjwa mengi kwa hiyo papain inamatumizi mengi sana. Kuna steji maalumu ambapo matunda ya papai hukwaruzwa na utomvu wake unakusanywa, hukaushwa na kuuzwa. Kwa nchi zenye watu serious zao la Mapapai ni zao maarufu! Biashara ya papain inaweza kuwa na kipato kuliko tunda lenyewe!
   Tunashukuru kwa elimu mkuu ubarikiwe
   NAIKATAA CCM NA MAMBO YAKE YOTE NA WATU WAKE WOTE EEE MWENYEZI MUNGU NISAIDIE!!!!!!!!

  17. Maundumula's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 4th November 2010
   Posts : 6,784
   Rep Power : 6803
   Likes Received
   2012
   Likes Given
   9385

   Default Re: Kilimo cha Mapapai

   Hivi papai hadi linapovunwa muda gani?
   My heart is hollow

  18. Sabayi's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 4th December 2010
   Posts : 2,299
   Rep Power : 955
   Likes Received
   828
   Likes Given
   1783

   Default

   Quote By Maundumula View Post
   Hivi papai hadi linapovunwa muda gani?
   Mapapai ya kisasa ni 6 months mkuu yale ya kienyeji nadhani ni 9 months

  Similar Topics

  1. Mapapai
   By Malova in forum Mahusiano, mapenzi, urafiki
   Replies: 60
   Last Post: 25th November 2011, 14:12
  2. Replies: 1
   Last Post: 10th March 2011, 19:37
  3. Mapapai :- utamu ,faida na matumizi yake!!
   By kilimasera in forum Habari na Hoja mchanganyiko
   Replies: 9
   Last Post: 2nd March 2011, 11:10
  4. Haya jamani ni mapapai au maboga matamu??????
   By MziziMkavu in forum Jamii Photos
   Replies: 22
   Last Post: 17th January 2011, 20:39

  Posting Permissions

  • You may not post new threads
  • You may not post replies
  • You may not post attachments
  • You may not edit your posts
  •  

  Who are WE?

  JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

  You are always welcome! Read more...

  Where are we?

  We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

  For anything related to this site please Contact us.

  Contact us now...

  DISCLAIMER

  JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

  Read more...

  Forum Rules

  JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

  You MUST read them and comply accordingly. Read more...

  Privacy Policy

  We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

  Read our Privacy Policy. Proceed here...