Kilimo cha matikiti maji (watermelon): Ushauri na Masoko
Jamani habarini za wkend.., naomba kujua mche wa tikiti maji unaweza kuvunwa mara ngapi matunda yake?
Kwa mfano embe zinavunwa kila mwaka, ndizi unavuna mara moja tu na mche unakwisha kazi yake. Vipi kwa matikiti maji, unavunwa mara ngapi na kwa kipindi/interval gani?
Nataka kulima, yanalipa sana nisaidieni tafadhali.
By Edmund
Mimi nalima aina ya Sugar baby inachukua siku 60 tu kuvuna tangu plus siku 3-5 za kukaa ardhini, kwa hiyo kwa mwaka nalima mara 4 tu nina ekari 5 na kila eka napata kuanzia 2M-3M.
Spacing ni 2mx2m na kila shimo naweka mbegu 2 ambazo zinazaa matunda 2-3 kwa maana kila shimo napata matunda 4-6 ( wastani matunda 5).
Hivyo kwa spacing hiyo napata mashimo 1000-1200
Idadi ya matunda: Mashimo x Matunda kwa shimo x ekari [1,000 x 5 x 5 = 25,000]
Mapato: wastani wa shilingi 500 kwa tikiti x idadi ya matikiti kwa eneo la ekari 5 [25,000 x 500 = 12,500,000]
Nnasupply mayai na matikiti maji, idadi yeyote unayotaka
Maverick supplies, ni kampuni inayoshughulika na uuzaji wa mazao ya chakula hasa mayai na matikiti maji. Kwa yeyote mwenye mahitaji ya kuuziwa bidhaa izi kwa tender au kwa jumla, naomba afanye mawasiliano na mkurugenzi wa kampuni kupitia 0713079661 kwa maelewano ya kibiashara

10 to 15 tons per hectare according to the sites hapo chini angalia kwa more details.., kuhusu mangapi inategemea na aina matikiti, mbegu inayozaa mengi per plant yanakuwa madogo ukitaka yawe makubwa basi ni machache per plant.., kupata kumi per one plant nadhani inawezekana ila size yake itakuwa ndogo ndogo (kumbuka ili izae vizuri yanahitaji kuwa polinated sababu sio self polinating plant kwahio kama kuna nyuki karibu its better for you) Watermelon Production Guide - TheFilipinoEntrepreneur.Com

Watch your thoughts,They become words, Watch your words, They become deeds, Watch your deeds, They become habits, Watch your habits, They become character, Watch your character, It becomes your destiny!
Kwa mtu wa TZ...ungemsaidia zaidi
kwa kusema mbegu hizo zinapatikana wapi?
kwa TZ na afanyaje kwa vitendo kuliko kutoa link.....
kila kitu kipo kwenye hizo link, hadi magonjwa na jinsi ya kupanda na nafasi za kuacha na preferable conditions..,
Mbegu nadhani hawezi kukosa akienda kwenye maduka ya mbegu au akishindwa ale tikitiki na kukausha mbegu na kuanika (although hapa huenda tunda alilokula likawa hybrid hivyo mazao yake yasiwe mazuri kama hapo mwanzo).
Re: Nani Anafanya Kilimo cha Matikiti Maji au Pilipili Hoho kwa Biashara JF?
By CHE GUEVARA-II
Unataka nini tukusaidie?
Ningependa kufanya kilimo tajwa hapo juu kwa biashara. Hii itakuwa mara yangu ya kwanza, hivyo bado nina mambo mengi ya kujua kuanzia maeneo yanapostawi (hayo mazao), hali ya soko, usimamizi na changamoto nyinginezo zinazoambatana na kkilimo husika pamoja na kudevelop a full business plan.
Kwa ufupi, ningependa kama ingewezekana tukakutana ana kwa ana kwa mazungumzo ili niweze kufanya maamuzi ndani ya muda mfupi zaidi, pamoja na kutumbelea shamba na kujifunza zaidi.
Re: Nani Anafanya Kilimo cha Matikiti Maji au Pilipili Hoho kwa Biashara JF?
By Ramthods
Ningependa kufanya kilimo tajwa hapo juu kwa biashara. Hii itakuwa mara yangu ya kwanza, hivyo bado nina mambo mengi ya kujua kuanzia maeneo yanapostawi (hayo mazao), hali ya soko, usimamizi na changamoto nyinginezo zinazoambatana na kkilimo husika pamoja na kudevelop a full business plan.
Kwa ufupi, ningependa kama ingewezekana tukakutana ana kwa ana kwa mazungumzo ili niweze kufanya maamuzi ndani ya muda mfupi zaidi, pamoja na kutumbelea shamba na kujifunza zaidi.
Ni hivyo kwa kifupi mkuu.
Ok, poa.
Mimi nildhani una soko au unahitaji mzigo ili niwapatie mtaji madogo walime wakuuzie?
I cannot live WITHOUT NO in my life - that's why I am not a soldier!!!
Kwa wale wenye uzoefu, utaalamu, au taarifa ya kilimo cha Matikiti Maji ninaomba taarifa zifuatazo:
(I) Mtaji unaotakiwa kulima hekari 1;
(ii) Muda unaochukua kutoka kupanda mpaka kuvuna;
(iii) Upatikanaji wa soko;
(iv) Kipindi gani ndani ya mwaka kinafaa kwaajili ya mradi huu; na
(v) Eneo gani matikiti yanastawi zaidi ndani ya mipaka ya Dar es Salaam.

1) Mtaji unategemea na jinsi wewe mwenyewe unavyofanya kilimo chako, watu uliowaajiri n.k. Kwa mfano, kama unamwagilia inategemea unamwagilia na nini, pump ya mguu kama MoneyMaker au ya Petrol? Zote mwisho wa siku utapata faida tofauti. To be on the safe size, weka 1M hadi kuvuna. Ila inaweza ikazidi au ikapungua.
2) Matikiti yanachukua miezi miwili hadi kukomaa
3) Kama wewe ni mjasiriamali unapaswa kujua soko kabla ya kuamua kulima. So tafuta soko kwanza, then ndo uamue kulima.
4) Kipindi cha kipupwe ndio kizuri kwa matikiti maji. Matikiti maji hayapendi mvua nyingi. Yakipata maji mengi karibia na mavuno yanaweza kupasuka yakiwa shambani ukapata hasara.
5) Karibu Mkuranga tulime matiki. Ila maeneo mengi ya ukanda wa pwani ni mazuri kwa matikiti maji.
Follow Us Here