JamiiSMS
  Show/Hide This

  Topic: KILIMO: mazao yanayokubali wakati wa Masika

  Report Post
  Results 1 to 4 of 4
  1. nat867's Avatar
   Senior Member Array
   Join Date : 14th February 2008
   Posts : 100
   Rep Power : 726
   Likes Received
   2
   Likes Given
   0

   Exclamation KILIMO: mazao yanayokubali wakati wa Masika

   ndugu zangu nashukuru sana mada mbalimbali zinazojadilikwa kuhusu kilimo. na mimi ndo naanza kujikita katika kilimo.

   Nina shamba langu katika wilaya ya bagamoyo (maeneo ya barabara ya Bagamoyo-Msata). sasa mimi ninataka kutumia mvua za masika kwa ajili ya kulima..nimenza kutayarisha shamba lenye ekari 7. Sasa ndugu zangu naomba kuuliza ni mazao gani ya muda mfupi ninayoweza kulima wakati wa msimu wa mvua za masika (machi-May)?.. Lengo ni kulima halafu nauza hayo mazao Dar es salaam.

   Nimesoma threads za kilimo lakini nimeshindwa kupata taarifa ninayohitaji. Ndugu zangu kila atakayesoma ujumbe huu na anafahamu masuala ya kilimo naomba anisaidie.nitashukuru nikifahamishwa pia masuala ambayo natakiwa kuzingatia wakati wa kulima kwenye masika!!!.

   natanguliza shukrani
   Tanzania= shamba la bibi...
   "Uungwana ni matendo"- raia mwema


  2. Gad ONEYA's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 26th October 2010
   Posts : 2,645
   Rep Power : 1099
   Likes Received
   159
   Likes Given
   653

   Default Re: KILIMO: mazao yanayokubali wakati wa Masika

   Mpunga?

  3. Malila's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 22nd December 2007
   Location : Makete mjini
   Posts : 3,993
   Rep Power : 35923095
   Likes Received
   2158
   Likes Given
   944

   Default Re: KILIMO: mazao yanayokubali wakati wa Masika

   mazao ya muda mfupi yenye tija kwa kipindi utakacho ni matango, kama viazi vitamu vinakubali lima pia,hicho kipindi ni hatari ukilima tikiti maji kwa sababu wakulima wengi wanakuwa wamelima, ama sivyo lima ufuta. Nanasi/mhogo si la muda mfupi kivile ila ni zao la uhakika kwa sababu hata mvua zikipungua wewe utavuna kitu.
   Mtu mwema huacha urithi kwa wana wa wanawe.

  4. nat867's Avatar
   Senior Member Array
   Join Date : 14th February 2008
   Posts : 100
   Rep Power : 726
   Likes Received
   2
   Likes Given
   0

   Default Re: KILIMO: mazao yanayokubali wakati wa Masika

   Malila ahsante sana kwa ushauri wako.. najua nanasi itachukua miezi 18.. nimependa wazo la ufuta!!.

   sehemu yenyewe ni kuwa hakuna mto karibu kwa hiyo huwezi kumwagilia..

   pamoja na maelezo ya kulima muhogo/nanasi yaliyotolewa... Je unaweza kulima CHOROKO, MAHINDI au MAHARAGE? Je mazao haya yatakubali wakati wa mvua nyingi au yataathiriwa na mvua? na kama inawezekana kuyalima je nikiyalima katikati ya msimu wa mvua kusudi ikikaribia wakati wa kutoa maua, mvua imepungua.. naombeni ushauri wenu kuhusu mazao hayo--- CHOROKO, MAHINDI, MAHARAGE!!
   Tanzania= shamba la bibi...
   "Uungwana ni matendo"- raia mwema


  Similar Topics

  1. Ununuzi wa mazao wakati wa msimu wa mavuno
   By Pungubern in forum Jukwaa La Biashara na Uchumi
   Replies: 0
   Last Post: 6th December 2011, 19:01
  2. Mazao gani yanafaa kwa kilimo chalinze?
   By bwegebwege in forum Habari na Hoja mchanganyiko
   Replies: 6
   Last Post: 2nd December 2010, 09:49
  3. Ni wakati wa wabunge kuwa mfano katika kilimo kwanza
   By Mtazamaji in forum Jukwaa la Siasa
   Replies: 0
   Last Post: 30th November 2010, 21:05
  4. Mazao gani ya kilimo yanastawi maeneo ya chalinze?
   By bwegebwege in forum Jukwaa La Biashara na Uchumi
   Replies: 5
   Last Post: 15th November 2010, 21:52
  5. Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Kilimo abeza marufuku ya uuzaji mazao nje
   By streetwiser in forum Habari na Hoja mchanganyiko
   Replies: 6
   Last Post: 13th August 2008, 17:46

  Posting Permissions

  • You may not post new threads
  • You may not post replies
  • You may not post attachments
  • You may not edit your posts
  •  

  Who are WE?

  JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

  You are always welcome! Read more...

  Where are we?

  We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

  For anything related to this site please Contact us.

  Contact us now...

  DISCLAIMER

  JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

  Read more...

  Forum Rules

  JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

  You MUST read them and comply accordingly. Read more...

  Privacy Policy

  We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

  Read our Privacy Policy. Proceed here...