JamiiSMS
  Show/Hide This

  Topic: Naomba Ushauri - Kilimo cha Nyanya

  Report Post
  Page 2 of 3 FirstFirst 123 LastLast
  Results 21 to 40 of 57
  1. Maamuma's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 22nd December 2008
   Posts : 838
   Rep Power : 829
   Likes Received
   271
   Likes Given
   100

   Default Naomba Ushauri - Kilimo cha Nyanya

   Wapendwa wana JF, Happy New Year!
   Jamani nina interest ya kulima nyanya kibiashara. Naomba ushauri juu ya utunzaji wa shamba, mimea hadi matunda pamoja na challenges. Nina imani nyanya zinaweza kunitoa, kwa muono wangu,
   Wenye ujuzi naomba msaada.
   Thanks in advance.

  2. muhinda's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 11th December 2011
   Posts : 300
   Rep Power : 567
   Likes Received
   161
   Likes Given
   228

   Default Re: Naomba Ushauri - Kilimo cha Nyanya

   Quote By Maamuma View Post
   Wapendwa wana JF, Happy New Year!
   Jamani nina interest ya kulima nyanya kibiashara. Naomba ushauri juu ya utunzaji wa shamba, mimea hadi matunda pamoja na challenges. Nina imani nyanya zinaweza kunitoa, kwa muono wangu,
   Wenye ujuzi naomba msaada.
   Thanks in advance.
   sijui kama ulishapata maelezo ya kutosha mkuu, ila nimeona maelezo mazuri kwenye hii blog MITIKI -KILIMO KWANZA jaribu kutembelea huenda yakakufaa

  3. Maamuma's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 22nd December 2008
   Posts : 838
   Rep Power : 829
   Likes Received
   271
   Likes Given
   100

   Default Re: Naomba Ushauri - Kilimo cha Nyanya

   Quote By muhinda View Post
   sijui kama ulishapata maelezo ya kutosha mkuu, ila nimeona maelezo mazuri kwenye hii blog MITIKI -KILIMO KWANZA jaribu kutembelea huenda yakakufaa
   Asante sana muhinda. Umeniongezea maarifa. Barikiwa!
   Msiwiwe na mtu chochote, isipokuwa kupendana..... Warumi 13:8.

  4. Daniel Anderson's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 7th August 2011
   Location : LUPA CHUNYA
   Posts : 879
   Rep Power : 0
   Likes Received
   142
   Likes Given
   407

   Default Re: Naomba Ushauri - Kilimo cha Nyanya

   Quote By Nanren View Post
   Pia jaribu Roma varieties (zipo nyingi) kama zile ambazo unaona zina spherical shape. Mimi huwa naona zinachelewa kuharibika. Muhimu, onana na wataalamu wa kilimo, ikiwa ni pamoja na mabwana/bibi shambas watakupa msaada mzuri tu.
   Nimetembelea duka moja pale kariakoo linalouza mbegu na madawa ya kilimo wameniambia kuwa hizi jamii ya mbegu zinaweza kuzaa hadi tani arobaini kwa ekari. Ni kweli?

  5. Nyenyere's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 9th September 2010
   Posts : 4,962
   Rep Power : 13350
   Likes Received
   1639
   Likes Given
   3015

   Default Re: Naomba Ushauri - Kilimo cha Nyanya

   Quote By Daniel Anderson View Post
   Nimetembelea duka moja pale kariakoo linalouza mbegu na madawa ya kilimo wameniambia kuwa hizi jamii ya mbegu zinaweza kuzaa hadi tani arobaini kwa ekari. Ni kweli?
   Ngoja tuwasikilize wakuu waelimishaji wetu Malila, Mpevu, Nanren. Usipoweza kugundua fursa mbalimbali kupitia JF, basi ajira ndo njia sahihi kwako!
   The glory of Christianity is to conquer by forgiveness - William Blake

  6. Kubota's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 21st October 2012
   Posts : 509
   Rep Power : 103864194
   Likes Received
   776
   Likes Given
   634

   Default Re: Naomba Ushauri - Kilimo cha Nyanya

   Wakuu heshima kwenu kwa michango hapa nami nachangia kuhusu Aina za nyanya tu kidogo kadri ninavyozifahamu ili kuongezea akiba ya taarifa.

   Money maker: hii ni aina ya siku nyingi sana ni nyaya za kusimikia mti unabakiza shina moja au mawili mara nyingi zikifikia mikungu 5 au 6 unatakiwa ukate juu. Zinatabia ya kupasuka matunda zikipata maji mengi hasa wakati wa mvua shauri ya ganda laini, hazikai muda mrefu na hazistahimili misukosuko ya safari ndefu!

   Roma: ni nyaya zinazaa sana na ni aina ya mbegu ya enzi na enzi, zinangozi laini, hivyo hazikai muda mrefu mezani kwa mfanyabiashara na zinapondeka kirahisi zinaposafirishwa mbali. Roma ni nyanya tamu sana kwa kachumbari na zina mchuzi mzito lakini zinatabia ya kukauka kitako chake kirahisi sana zinapokabiriwa na ukame au udongo wenye chumvi.

   Marglobe: hii inahitaji kusimamishiwa kwa kufunga kwenye kijiti na mara nyingi hupunguziwa na kuachwa shina moja tu, matunda yake ni makubwa sana na machache nayo inangozi laini haistaimili misukosuko ya kusafirisha.

   Tengeru (97?): hii ni aina ya mbegu zilizozalishwa na watafiti wa kitanzania, inahitaji kusimamishiwa kwa kufunga kwenye kijiti na mara nyingi hupunguziwa na kuachwa shina moja, matunda yake ni makubwa sana na machache hii aina nyanya zake zinaganda gumu hustahimili kusafirishwa na huvumilia magonjwa ya mnyauko, mavuno yake makubwa.

   Tanya: hii ni aina ya mbegu zilizozalishwa na watafiti wa kitanzania, nikifupi cha Tanzania Nyanya. Aina hii haipunguziwi matawi. Ni nyanya nzuri sana zinazokidhi matakwa ya soko inaweza kusafirishwa mbali na inakaa muda mrefu mezani iwapo sokoni. Umbo lake ni matunda marefurefu mfano wa yai isipokuwa ncha zake ni bapa kidogo si mchongoko kama yai. Ukibahatika kupata mbegu Original ya aina hii utaifurahia kwani matunda yake ni mengi, makubwa na yanavutia sana umbo lake! Angalizo ni kwamba makampuni mengi yanauza mbegu ya Tanya iliyochanganyika kiasi kwamba imefanya wakulima wengi kuichukia mbegu hii! Nimewahi kuilima ilipofikia mavuno nilichoona sikuamini! Ilikuwa ni mchangayiko wa Roma, Marglobe, vigorori na mtepeto, yaani wateja wangu walinikimbia! Ni mbegu nilizonunua kwenye makopo yaliyopakiwa na East African Seed Company, ndugu zangu muwe makini, makampuni ya kibongo yakiishiwa mbegu hukusanya nyanya kwa wakulima na kuzikamua tu! Kuweni macho ikibidi tunzeni mbegu zenu. Mbegu za makampuni ya Kikwetu ninaziogopa sana, utapeli ni mwingi tu na wenye pesa wako above the law!

   Cal J: aina hii haihitaji kupunguziwa matawi, inazaa sana. Ina ngozi ngumu na kwa kweli hustahimili hekaheka za usafirishaji yaani ni mawe, wengine huziita dumudumu, kuna wakati matunda pia hupasuka mvua ikizidi. Hii ni aina maarufu maeneo maarufu ya kilimo cha nyanya.

   Rio Grande: hii ni aina mpya ambayo imekuja kuuwa umaarufu wa Tanya huachwa kutambaa haihitaji kupunguziwa matawi. Aina hii ni aina ya kisasa zaidi inayojibu mahitaji ya soko kwa kuweza kustahimili kusafirishwa masafa na kukaa muda mrefu mezani sokoni (shelf life). Hii ni aina nzuri sana ya nyanya zenye umbo la yai, aina hii humwaga maua na matunda bila kelele, hutoa majani kiasi na inapokunya matunda shambani utaona shambani yanaonekana matunda tupu! Kama ningelima leo ningechangua mbegu hii.

   Ornyx: hii ni aina mpya ambayo imekuja kuuwa umaarufu wa Tanya. Aina hii haihitaji kupunguziwa matawi. Aina hii ni aina ya kisasa zaidi inayojibu mahitaji ya soko kwa kuweza kustahimili kusafirishwa masafa na kukaa muda mrefu mezani sokoni (shelf life). Aina hii inamatunda makubwa na mengi kuliko Tanya. Matunda yake umbo ni mfano wa yai. Inafanana sana kama Rio Grande, ingawa haifikii uzazi wa Rio Grande. Kwa uzoefu wangu shambani Rio Grande iko juu zaidi ya Orynx. Nimewahi kuona mbegu za Mkulima Seed Company kopo limewekewa label iliyosomeka 'Rio Grande (Orynx)' ! Inashangaza sana kwa vile hizo ni aina 2 tofauti! Nadhani ni kumpa picha mkulima aliezoea aina mojawapo aone ni ile ile! Yaani aliyezoea Oryx anunue na aliyezoea Rio Grande anunue, lakini huo ni wizi, ni utapeli hizo ni aina tofauti kabisa za nyanya japo zinafanana muonekano wa matunda yake!

   Anna F1: Hii ni aina chotara, shina tawi moja au mawili husimamishwa kwa miti, hurefuka urefu zaidi ya mita tano, shina moja huzaa kuanzia kilo 25, ni aina maalum kwa green house ingawa huzalishwa pia nje, unavuna miezi zaidi ya 6, mbegu zake ni ghari sana. (Msifikiri ni hadithi nyingine ya machungwa 4000 kwa mti nina Hand book yake ukipenda niPM nikugawie).

   NB: Kusimamishia miti!
   Wakat wa masika au umwagiliaji ni lazima kusimamishia miti aina yoyote ya nyanya maana zinapogusana na udongo wenye unyevunyevu huoza.

   Unapochagua aina ya nyanya za kupanda angalia soko lako linapenda aina gani ya nyanya ingawa huwa zikiadimika nyanya ni nyanya tu hakunaga kuchagua!

   Samahani mimi nami sijuagi kuandika maelezo mafupi msinichoke mwee enh jamani!!

  7. Malila's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 22nd December 2007
   Location : Makete mjini
   Posts : 3,993
   Rep Power : 35923095
   Likes Received
   2158
   Likes Given
   944

   Default Re: Naomba Ushauri - Kilimo cha Nyanya

   Asante Kubota,mpaka hapo darasa la msingi kwa mkulima ye yote linatosha. Mengine utapata shambani na kwa maafisa ugani walio karibu na eneo lako.
   Mtu mwema huacha urithi kwa wana wa wanawe.

  8. Sabayi's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 4th December 2010
   Posts : 2,329
   Rep Power : 1025
   Likes Received
   867
   Likes Given
   1859

   Default Re: Naomba Ushauri - Kilimo cha Nyanya

   Quote By Kubota View Post

   Mkuu ubarikiwe umemaliza kila kitu hapo kwenye red hamna utapeli kama kule kwenye Machungwa ni kweli hii mbegu inazaa sana na inalimwa sana huko Kenya
   NAIKATAA CCM NA MAMBO YAKE YOTE NA WATU WAKE WOTE EEE MWENYEZI MUNGU NISAIDIE!!!!!!!!

  9. Mtu wa Mduara's Avatar
   Junior Member Array
   Join Date : 16th October 2012
   Posts : 6
   Rep Power : 464
   Likes Received
   0
   Likes Given
   2

   Default Re: Naomba Ushauri - Kilimo cha Nyanya

   Nikipata e mail yako nitakutumia brochure ya nyanya aina ya Anna F1, Assila F1 na Aden F1

  10. Kamongo's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 20th March 2009
   Posts : 485
   Rep Power : 747
   Likes Received
   46
   Likes Given
   0

   Default

   Quote By Malila View Post
   2011 niliona nyanya nyingi ktk vibonde fulani kule Vianzi na Msorwa Mkuranga. Pili kule Ruvu juu wanalima nyanya pia. Sasa sijui
   ww uko Mkoa wa Pwani kipande kipi.
   As ante malila Mimi Nina shamba kibaha kwa mfipa maji yako ya kutosha mbegu gani inafaa kwa mkoa wa pwani

  11. Kamongo's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 20th March 2009
   Posts : 485
   Rep Power : 747
   Likes Received
   46
   Likes Given
   0

   Default Re: Naomba Ushauri - Kilimo cha Nyanya

   Kuna mbegu inaitwa Eden nimeulizia wanasema pwani haikubali

  12. Kamongo's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 20th March 2009
   Posts : 485
   Rep Power : 747
   Likes Received
   46
   Likes Given
   0

   Default Re: Naomba Ushauri - Kilimo cha Nyanya

   Je kuna yeyote anautaalamu wa mbegu za nyanya

  13. Mtu wa Mduara's Avatar
   Junior Member Array
   Join Date : 16th October 2012
   Posts : 6
   Rep Power : 464
   Likes Received
   0
   Likes Given
   2

   Default Re: Naomba Ushauri - Kilimo cha Nyanya

   Yes angalau kwenye aina ya Anna F1, Eden F1 na Assila F1. Pia Presidente F1

  14. kande kavu's Avatar
   Senior Member Array
   Join Date : 17th September 2011
   Posts : 235
   Rep Power : 570
   Likes Received
   85
   Likes Given
   75

  15. SMART FK's Avatar
   Junior Member Array
   Join Date : 22nd May 2014
   Posts : 7
   Rep Power : 381
   Likes Received
   0
   Likes Given
   11

   Default Kilimo cha nyanya maji

   HABARI WANA JAMII........
   WAKUU NAOMBENI USHAURI NA MCHANGANUO ZAIDI KUHUSIANA NA KILIMO CHA NYANYA MAJI.NATAKA KULIMA ENEO LIPATALO EKARI MOJA TUU

   .........NIPO WILAYA YA KILOMBERO.........

   Ifakara.....

  16. SMART FK's Avatar
   Junior Member Array
   Join Date : 22nd May 2014
   Posts : 7
   Rep Power : 381
   Likes Received
   0
   Likes Given
   11

   Default Kilimo cha nyanya maji

   Wakuu naombeni ushauri na mchanganuo zaidi,nataka kulima kilimo cha nyanya maji kama ekari moja hivi.

   nipo kilombero,ifakara

   Asanteni.........

  17. Kisima's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 8th October 2010
   Posts : 2,265
   Rep Power : 85901636
   Likes Received
   791
   Likes Given
   267

   Default Re: Kilimo cha nyanya maji

   Mkuu sahz usilime nyanya mkuu utalichukia zao hili kama utakutana na nyanya za feri na mateteni.
   Lima nyanya kuanzia sept au nov &dec utapga hela takatifu.!

  18. Qualifier's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 14th December 2012
   Location : Morogoro
   Posts : 1,160
   Rep Power : 843
   Likes Received
   337
   Likes Given
   336

   Default Re: Kilimo cha nyanya maji

   Hapa Ifakara nyanya maji zinastawi sana ila zinakabiliwa na Bacterial wilt labda ulime eneo ambalo halijawahi kupandwa mazao aina ya solanaceae kwa muda wa miaka mitatu iliyo pita na kama utatumia kumwagilia maji ya mto Lumemo uwezekano wa nyanya kupata maambukizi ya Bacterial wilt utaongezeka kwakuwa unapita maeneo yanayo limwa mazao jamii ya solanaceae
   Last edited by Qualifier; 23rd May 2014 at 11:16.

  19. SMART FK's Avatar
   Junior Member Array
   Join Date : 22nd May 2014
   Posts : 7
   Rep Power : 381
   Likes Received
   0
   Likes Given
   11

   Default Re: Kilimo cha nyanya maji

   mkuu asante kwa ushauri wako@JF senior

  20. SMART FK's Avatar
   Junior Member Array
   Join Date : 22nd May 2014
   Posts : 7
   Rep Power : 381
   Likes Received
   0
   Likes Given
   11

   Default Re: Kilimo cha nyanya maji

   Asante mkuu

  21. SMART FK's Avatar
   Junior Member Array
   Join Date : 22nd May 2014
   Posts : 7
   Rep Power : 381
   Likes Received
   0
   Likes Given
   11

   Default Re: Naomba Ushauri - Kilimo cha Nyanya

   Asante mkuu

  Page 2 of 3 FirstFirst 123 LastLast

  Similar Topics

  1. Replies: 393
   Last Post: 10th November 2015, 14:27
  2. USHAURI: Kilimo cha Mananasi na masoko yake Tanzania
   By kanyagio in forum Ujasiriamali
   Replies: 55
   Last Post: 8th September 2015, 10:05
  3. ushauri wa mifugo, kilimo na biashara
   By mchafukuoga in forum Ujasiriamali
   Replies: 9
   Last Post: 11th September 2013, 11:43
  4. Kilimo bora cha nyanya
   By AMARIDONG in forum Ujasiriamali
   Replies: 4
   Last Post: 2nd October 2012, 22:15

  Posting Permissions

  • You may not post new threads
  • You may not post replies
  • You may not post attachments
  • You may not edit your posts
  •  

  Who are WE?

  JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

  You are always welcome! Read more...

  Where are we?

  We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

  For anything related to this site please Contact us.

  Contact us now...

  DISCLAIMER

  JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

  Read more...

  Forum Rules

  JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

  You MUST read them and comply accordingly. Read more...

  Privacy Policy

  We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

  Read our Privacy Policy. Proceed here...