JamiiSMS
  Show/Hide This

  Topic: Taarifa ya Habari ya ITV ya leo saa mbili usiku (mahitimisho ya kampeni)

  Report Post
  Page 2 of 2 FirstFirst 12
  Results 21 to 25 of 25
  1. Mzee Mwanakijiji's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 10th March 2006
   Location : Kijijini
   Posts : 32,100
   Rep Power : 87995660
   Likes Received
   24659
   Likes Given
   13382

   Default Taarifa ya Habari ya ITV ya leo saa mbili usiku (mahitimisho ya kampeni)
   Kuna habari zinaingia sasa hivi kuwa mji wa Mbeya umekatiwa umeme/umeme umekatika. Hata kama ni hali ya kawaida (kama tunavyojua) lakini yaweza kusababisha manung'uni yenye kuhusisha hilo na mkutano wa Dr. Slaa mapema leo.
   [email protected]
   The Best of Tanzanian Socio-Political Blogging - http://www.mwanakijiji.com


  2. Ustaadh's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 25th October 2009
   Posts : 413
   Rep Power : 704
   Likes Received
   8
   Likes Given
   1

   Default Re: Taarifa ya Habari ya ITV ya leo saa mbili usiku (mahitimisho ya kampeni)

   Quote By buckreef View Post
   Mwanakijiji,

   Kazi kweli kweli, naona umeamua kukata sehemu ya kampeni za CCM hapo Jangwani?
   Ndio tatizo la kuegemea upande mmoja....Mwanakijiji kuwa fair kwa mashabiki wa vyama vyote!

  3. Mtaka Haki's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 1st October 2010
   Posts : 492
   Rep Power : 683
   Likes Received
   150
   Likes Given
   28

   Default Re: Taarifa ya Habari ya ITV ya leo saa mbili usiku (mahitimisho ya kampeni)

   Huyu Sheikh mbona anamuomba Mungu amuweke Kikwete mahali pema?

  4. KakaJambazi's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 5th June 2009
   Posts : 11,036
   Rep Power : 119107424
   Likes Received
   3672
   Likes Given
   3133

   Default Re: Taarifa ya Habari ya ITV ya leo saa mbili usiku (mahitimisho ya kampeni)

   Thx Ufoo Saro. I love you.

  5. Kapwila Matulu's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 26th March 2009
   Location : Lumo Kigilagila
   Posts : 7,465
   Rep Power : 6455
   Likes Received
   2631
   Likes Given
   710

   Default Re: Taarifa ya Habari ya ITV ya leo saa mbili usiku (mahitimisho ya kampeni)

   Quote By Mtaka Haki View Post
   Huyu Sheikh mbona anamuomba Mungu amuweke Kikwete mahali pema?
   Hata mimi nimemshangaa huyo dogo, sijui alimaanisha nini. Hivi yeye mwenyewe atapiga kura?

  6. KakaJambazi's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 5th June 2009
   Posts : 11,036
   Rep Power : 119107424
   Likes Received
   3672
   Likes Given
   3133

   Default Re: Taarifa ya Habari ya ITV ya leo saa mbili usiku (mahitimisho ya kampeni)

   Robo mtakatifu ilibidi aingilie kati baada ya kuanza kupiga kampeni, badala ya kuombea amani.

   Ndo mana akatamka ishu la kulazwa mahali pema.  Page 2 of 2 FirstFirst 12

  Similar Topics

  1. Replies: 95
   Last Post: 14th October 2011, 12:30
  2. Marie stopa-Kimara saa mbili Usiku imefungwa!!!
   By Matope in forum Habari na Hoja mchanganyiko
   Replies: 7
   Last Post: 28th February 2011, 23:47
  3. Marie stopa-Kimara saa mbili Usiku imefungwa!!!
   By Matope in forum Habari na Hoja mchanganyiko
   Replies: 0
   Last Post: 28th February 2011, 21:28
  4. Mwakala Chadema wapewe SIM card mbili usiku wa kuhesabu kura
   By Zak Malang in forum Uchaguzi Tanzania
   Replies: 0
   Last Post: 26th October 2010, 20:18
  5. Replies: 11
   Last Post: 1st September 2010, 20:21

  Posting Permissions

  • You may not post new threads
  • You may not post replies
  • You may not post attachments
  • You may not edit your posts
  •  

  Who are WE?

  JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

  You are always welcome! Read more...

  Where are we?

  We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

  For anything related to this site please Contact us.

  Contact us now...

  DISCLAIMER

  JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

  Read more...

  Forum Rules

  JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

  You MUST read them and comply accordingly. Read more...

  Privacy Policy

  We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

  Read our Privacy Policy. Proceed here...