JamiiSMS
  Show/Hide This

  Topic: Nisaidieni ndoto hii

  Report Post
  Results 1 to 14 of 14
  1. #1
   AK-47's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 12th November 2009
   Location : Abbottabad
   Posts : 1,387
   Rep Power : 893
   Likes Received
   178
   Likes Given
   80

   Default Nisaidieni ndoto hii

   Jana usiku nimepata message kupitia namba yangu ya tiGo ikinitaka nimchague mgombea wao Kikwete kwa sera nzuri za CCM. Nilishtuka sana na kujiuliza wameipata wapi namba yangu. Nilipolala nikaota ndoto kuna joka kubwa la kijani limeingia chumbani kwangu likiniomba niishi nalo na kuniahidi halitanidhuru. Ndugu zangu nahitaji msaada wenu wa Kisheikh Yahya kujua maana ya ndoto hii.
   An Eye for an Eye Makes the whole World Blind


  2. #2
   mbea's Avatar
   Member Array
   Join Date : 12th October 2010
   Posts : 97
   Rep Power : 587
   Likes Received
   1
   Likes Given
   0

   Default Re: Nisaidieni ndoto hii

   Hiyo ndoto inamaanisha kuwa 'Mgombea urais unayempenda atakufa ghafla!'

  3. Easymutant's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 3rd June 2010
   Posts : 1,993
   Rep Power : 85906026
   Likes Received
   512
   Likes Given
   915

   Default Re: Nisaidieni ndoto hii

   Quote By mbea View Post
   Hiyo ndoto inamaanisha kuwa 'Mgombea urais unayempenda atakufa ghafla!'
   You made my day dude..
   Some people feel the rain, others just get wet.........[email protected]  4. Kalunguine's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 27th July 2010
   Location : ARUSHA -TANZANIA
   Posts : 2,539
   Rep Power : 1086
   Likes Received
   113
   Likes Given
   477

   Default Re: Nisaidieni ndoto hii

   ndoto hiyo inamaanisha wewe utakufa tarehe 30 mwezi huu kuamkia tarehe 31,pia kama alivyosema mdau mgombea urais umpendae atakufa kabla ya masaa mawili ya kuanza kupiga kura,na chama ukipendacho kitakufa kifo cha kawaida mara tu baada ya tarehe ya uchaguzi kupita,tena kifo kibaya kuliko kile cha NCCR!! jiandae kwa mazishi yako mwenyewe!
   MWIZI AKIWA CCM "A" NI MWIZI NA AKIWA CCM "B" (CHADEMA) NI MWIZI

  5. BASIASI's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 20th September 2010
   Posts : 2,373
   Rep Power : 1168
   Likes Received
   481
   Likes Given
   334

   Default Re: Nisaidieni ndoto hii

   Quote By kalunguine View Post
   ndoto hiyo inamaanisha wewe utakufa tarehe 30 mwezi huu kuamkia tarehe 31,pia kama alivyosema mdau mgombea urais umpendae atakufa kabla ya masaa mawili ya kuanza kupiga kura,na chama ukipendacho kitakufa kifo cha kawaida mara tu baada ya tarehe ya uchaguzi kupita,tena kifo kibaya kuliko kile cha nccr!! Jiandae kwa mazishi yako mwenyewe!
   duh nimechoka na jf
   maneno yote kuntu nimebaki hamu!!!


  6. #6
   MANI's Avatar
   JF Platinum Member Array
   Join Date : 22nd February 2010
   Location : CHINI YA MBUYU
   Posts : 5,087
   Rep Power : 429498047
   Likes Received
   2458
   Likes Given
   4890

   Default Re: Nisaidieni ndoto hii

   AK-47 kuna tangazo la Mrisho Mpoto lisemalo "dudu liumalo usilipe kidole" sasa kama alivyosema zakwako changanya na za mwingine utapata jibu.
   " TANZANIA BILA CCM INAWEZEKANA"

  7. pierre's Avatar
   Senior Member Array
   Join Date : 3rd September 2010
   Posts : 211
   Rep Power : 616
   Likes Received
   4
   Likes Given
   0

   Default Re: Nisaidieni ndoto hii

   Ndoto ni bayana,na huwa zina ujumbe kamili.Ulichokiona ni kuwa hilo joka la kijani ambalo halitakudhuru ni kuwa kuna mgombea ambaye gamba lake la nje ni rangi ya kijani.....

  8. X-PASTER's Avatar
   Moderator Array
   Join Date : 12th February 2007
   Location : Firdaws (Paradise)
   Posts : 11,863
   Rep Power : 38158073
   Likes Received
   1574
   Likes Given
   0

   Default Re: Nisaidieni ndoto hii

   Dah Ndoto zingine hazifahi hata kutafsiriwa!
   'O Allah! Keep me alive as long as life is better for me, and let me die if death is better for me.

   (¯`·._.•X-Paster™•._.·´¯)

  9. BornTown's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 7th May 2008
   Location : ???
   Posts : 1,589
   Rep Power : 1016
   Likes Received
   357
   Likes Given
   135

   Default Re: Nisaidieni ndoto hii

   lol! mbavu zangu mie JF kuna mambo hasa.... sikujua kuna mashekh yahaya wengi hivi humu ndani maana na hasira za jana za Tunduma zimeisha kwenye ndoto hii
   "DONT BE A WOMAN THAT NEEDS A MAN BE A WOMAN A MAN NEEDS!!!!"

  10. minda's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 2nd October 2009
   Location : uswazi
   Posts : 1,069
   Rep Power : 835
   Likes Received
   42
   Likes Given
   41

   Default Re: Nisaidieni ndoto hii

   nyoka ni alama ya uovu yaani
   • rushwa
   • ukabila
   • udini
   • mitandao ya utawala wa kijeshi (junta)
   • ufamilia
   • kulindana
   • ukandamizaji
   • ushirikina
   • fiksi
   • vitisho nk
   rangi ya kijani ni ishara ya amani.

   TAFSIRI

   utabiri aliofanya yesu kwenye mathayo 7:15 umetimia kwako mkuu wa darfur, aliposema kwamba tujihadhari na manabii wa uonga (joka) wanaokuja kwa mavazi ya kondoo (rangi ya kijani) kumbe ni mbwamwitu wakali (swira).

   ni wazi wanasiasa wa kisasa wanaonekana watu; ukweli ni mamba wala watu!!!

   il
   unaipenda tanzania? sema ukweli!

  11. Ta Muganyizi's Avatar
   JF Gold Member Array
   Join Date : 19th October 2010
   Location : Kashasha
   Posts : 4,576
   Rep Power : 1482
   Likes Received
   1928
   Likes Given
   2697

   Default Re: Nisaidieni ndoto hii

   hii ndio tafsiri ya ndoto yako pale zitto kabwe anapohesabu hela zilizochangwa na wananchi badala ya ccm kuwahonga wananchi khanga na kofia  12. Chapakazi's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 19th April 2009
   Location : Kathmandu
   Posts : 2,910
   Rep Power : 1228
   Likes Received
   279
   Likes Given
   275

   Default Re: Nisaidieni ndoto hii

   Joka la kijani = ccm
   anaomba kura yako
   sasa hapo uamuzi ni wako...utaweza kuishi nalo?
   Halitakudhuru huko mbeleni?
   Joka = shetani, muuaji, mwizi, muongo, fisadi, mfiraji, mzinzi, mwenye gonjwa baya aka umeme, nk...
   Change begins with YOU

  13. AK-47's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 12th November 2009
   Location : Abbottabad
   Posts : 1,387
   Rep Power : 893
   Likes Received
   178
   Likes Given
   80

   Default Re: Nisaidieni ndoto hii

   Nawashukuru Masheikh Yahya wote kwa utabiri wenu hakika mpo makini na kazi yenu ya kishirikina
   An Eye for an Eye Makes the whole World Blind

  14. DOUGLAS SALLU's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 13th November 2009
   Posts : 5,184
   Rep Power : 1734
   Likes Received
   625
   Likes Given
   1249

   Default Re: Nisaidieni ndoto hii

   Joka la kijani ni JK na CCM yake, kuomba hifadhi maana yake ni kuwa baada ya mbinu zooote walizopanga kuchakachua kura kugonga mwamba wameamua kusalimu amri na kukubaliana na matakwa ya wapiga kura wa nchi hii na kuondoka pale magogoni kichwa chini.


  Similar Topics

  1. Replies: 5
   Last Post: 11th July 2011, 09:59
  2. Ni ndoto tu.
   By Meritta in forum Mahusiano, mapenzi, urafiki
   Replies: 25
   Last Post: 23rd May 2011, 03:39
  3. Ndoto
   By Washawasha in forum Jokes/Utani + Udaku/Gossips
   Replies: 1
   Last Post: 4th February 2011, 14:58
  4. Ndoto yangu kuhusu kitwete inamaana gani? Watafsiri nisaidieni
   By KIDUNDULIMA in forum Habari na Hoja mchanganyiko
   Replies: 11
   Last Post: 18th October 2010, 15:42
  5. Ndoto
   By Buswelu in forum Jokes/Utani + Udaku/Gossips
   Replies: 4
   Last Post: 18th September 2008, 18:43

  Posting Permissions

  • You may not post new threads
  • You may not post replies
  • You may not post attachments
  • You may not edit your posts
  •  

  Who are WE?

  JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

  You are always welcome! Read more...

  Where are we?

  We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

  For anything related to this site please Contact us.

  Contact us now...

  DISCLAIMER

  JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

  Read more...

  Forum Rules

  JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

  You MUST read them and comply accordingly. Read more...

  Privacy Policy

  We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

  Read our Privacy Policy. Proceed here...