Bhandugu imekuwaje tena hawa magangwe wa sanaa za mipasho ya siasa hatuwasikii kama zamani kwenye kampeni za CCM?

Au wameamua kutoa pande kwa bongo fleva wajirambe na fiesta ya kuwanadi wanaccm?

Komba anagombea kama sikosei. Ila kwa mtazamo wangu naona TOT haina tofauti na matokeo ya namna Hitler alivyoitumia sanaa kwa propaganda ili kuingia kwenye mioyo ya wajerumani.

Kuna mwenye data za hawa WAFULIA watarajiwa? zimwage hapa