JamiiSMS
  Show/Hide This

  Topic: Takwimu hii ni sahihi? - Idadi ya wapiga kura TZ

  Report Post
  Page 1 of 2 12 LastLast
  Results 1 to 20 of 38
  1. Nyambala's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 10th October 2007
   Location : Tahiti
   Posts : 4,495
   Rep Power : 1668
   Likes Received
   1098
   Likes Given
   971

   Default Takwimu hii ni sahihi? - Idadi ya wapiga kura TZ

   21.8m eligible voters registered, says NEC

   By Dominic Nkolimwa
   12th May 2010


   Surpasses target by .5m people

   The National Electoral Commission (NEC) has announced that it has surpassed the voter registration target for the forthcoming general election.

   The Deputy Secretary to the Commission, Dr Sisti Cariah said yesterday that about 21.8 million eligible voters have been registered to vote in the coming election.

   The commission said that it was targeting to register about 21.3 million.

   Dr. Cariah was speaking when the visiting chair of the United Nations Development group and UNDP Administrator, Helen Clark, visited the National Electoral Commission processing Centre in Dar es Salaam.

   He said that the number of registered voters was equal to 86 percent of the population of the eligible voters.

   Dr Cariah thanked UNDP for their support to the general election since being requested to do so in 2004, saying it has had a great significance on the process since 2005.

   He said NEC has improved its Information Technology (IT) as part of preparations for the forthcoming elections.

   He said almost all equipment is ready for the coming general elections, except for ballot papers.

   …..“Our objective is to conduct credible, free and fair general election in October this year” said Cariah.

   Giving her remarks, Clark said she was impressed with the seriousness of the activities that NEC was carrying out.

   She called on the Commission to emphasis civic education for the people, so that they all know the importance of participating in the election.

   She said in the training special groups should be given first priority so that they can fully participate in the process.

   Commission’s Executive Director, Raja Karamu pledged that his office will make sure that the coming elections were free and fair.


   SOURCE: THE GUARDIAN

   Tukirudi nyuma kidogo, 2005.

   HEBU tujikumbushe matokeo ya uchaguzi mkuu wa mwaka 2005. Rais Kikwete alivuna kura 9,123,952, sawa na asilimia 80 ya kura zote zilizopigwa. Aliyefuata alikuwa Profesa Ibrahimu Lipumba wa Chama cha Wananchi (CUF) aliyepata kura 1,327,125 sawa na asilimia 11.7.

   Wa tatu alikuwa Freeman Mbowe aliyepata jumla ya kura 668,756 ambazo ni sawa na asilimia 5.9, waliofuata baada ya hao walipata kura chini ya asilimia moja.


   Source: Tanzania Daima - Nov 26, 2008.


   Watanzania tupo wangapi vile?????????


  2. Rutunga M's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 16th March 2009
   Posts : 1,394
   Rep Power : 928
   Likes Received
   691
   Likes Given
   213

   Default Re: Takwimu hii ni sahihi? - Idadi ya wapiga kura TZ

   Mkubwa,issue hapa ni kuwa watu wengi hawajiandikishi katika daftari na wakijandikisha wengi wao hawajitokezi kupiga kura

   Hili ni tatizo kwa nchi nyingi afrika,na matokeo yake wanasiasa wanachaguliwa na watu wachache kwa maslahi ya wengi

   JE UMEJIANDIKISHA KATIKA DAFTARI LA KUDUMU

  3. miss annie's Avatar
   Member Array
   Join Date : 4th May 2010
   Posts : 17
   Rep Power : 594
   Likes Received
   0
   Likes Given
   0

   Default Re: Takwimu hii ni sahihi? - Idadi ya wapiga kura TZ

   watu tumejiandikisha tunataka hivyo vitambulisho vyao na sio kupiga kura,nani ana mda wa kupoteza kupigia kura mafisadi?? siku hizi kitambulisho cha mpiga kura dili kweli ,huwezi aminika mahali bila kuwa nacho....ila kura hatupigi unless ccm hawagombei.kwa hiyo hiyo figure hapo isikutishe sio wote wapiga kura,watu tuna malengo yetu binafsi......

  4. nndondo's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 1st February 2010
   Posts : 965
   Rep Power : 132627
   Likes Received
   322
   Likes Given
   3

   Default Re: Takwimu hii ni sahihi? - Idadi ya wapiga kura TZ

   Jamani, tuna tatizo kubwa sana sana sana kuliko tulivyotegemea, inakuwaje watu mnashindwa kutumia dakika moja kusoma wenzenu walichoandika kazi ni kukurupuka tu?

   How do we get into conversations kwa tabia hii ya uvivu wa kusoma na papara zinazoonyesha umbumbumbu wetu na hatuoni haya? This is very embarassing, hivi wachangiaje mmesoma swali na hoja anayoiweka hapa mwenzetu Nyambala? Inahusina vipi na waliyoweka wachangiaji? tatizo letu hatutulii soma between the line tunaulizwa kama hizi takwimu zinaaminika?

   Tuongee hilo sio swala la kutaka vitambulisho wala kujiandikisha kwenye daftari. Huu ndio uzembe unaoendeana na kuwa anonymous, tujirekebishe jamani tunawapa faida wanaosema kuwa ukitaka kumtoa mtanzania kwenye majadiliano mpatie habari kwa maandishi.

   Hichi ndio nilichokiona hapa, tukosoane ili turekebishane sasa nyie ndio mngekua kwenye negotiation teams za mikataba si kungekua na tofauti na hii tunayoilalamikia?

   Nyambala anatupa angalizo kwamba tume imeanza ku doctor tangu base line, hakuna mwaka watanzania wamejiandikisha kwa idadi inayotangazwa na electoral commission wakati wanadia tayari mwaka huu watu wengi zaidi ya mwaka jana hawajajiandikisha.

   Tusome taarifa za tume kwa dar es salaam kwa mfano walishasema watu waliomba siku ziongezwe kwa sababu siku zilikua chache sana hivyo kuwanyima watu nafasi ya kupiga kura. Huko zanzibar tumesikia daftari la wapiga kura lilivyosababisha watu wengi zaidi ya miaka ya nyuma kushindwa kujiandikisha sasa hii overwehlming response imetoka wapi?

   Wana-cook ndio maana wana guts za kusema hawahitaji kura za civil service kwa wao kuendelea kuongozia nchi.

  5. MANI's Avatar
   JF Platinum Member Array
   Join Date : 22nd February 2010
   Location : CHINI YA MBUYU
   Posts : 5,083
   Rep Power : 429498046
   Likes Received
   2457
   Likes Given
   4881

   Default Re: Takwimu hii ni sahihi? - Idadi ya wapiga kura TZ

   You are right Nndondo!


  6. bagamoyo's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 14th January 2010
   Posts : 2,395
   Rep Power : 11338
   Likes Received
   666
   Likes Given
   1412

   Default Re: Takwimu hii ni sahihi? - Idadi ya wapiga kura TZ

   http://www.nbs.go.tz/index.php?optio...=97&Itemid=115 Source hii ya Ofisi ya Takwimu ya Taifa Tanzania ina sema sensa ya mwaka 2002 Tanzania idadi ya watu ni 34millioni. Kwa kukisia mwaka 2010 tuweke idadi ya watu Tanzania 40 millioni ( ingawa sidhani tumefika hapo).

   Ofisi ya Takwimu ya Taifa Tanzania inasema idadi ya watoto toka umri zero mpaka miaka 14 ni asilimia 44.2% ya Watanzania wote http://www.nbs.go.tz/index.php?optio...=97&Itemid=115 , hivyo watoto wa umri 0 mpaka umri miaka 14 tukipiga hesabu 40, 000, 000 x 44.2% inatupa watoto 17,680,000. Hivyo idadi ya vijana toka umri wa miaka 15 mpaka 17 tuwajumuishe kama wapiga kura wengine walio na umri wa zaidi ya miaka 18, mahesabu ni hivi ya wenye haki ya kupiga kura 40,000, 000 watoe watoto 17, 680, 000 tunapata wapiga kura 22,320,000.

   Tume imefanikiwa kuandikisha watu 21,800,000 hivyo kwa mahesabu yangu ya elimu ya sekondari Tume imefanikiwa kuandikisha asilimia 97.2 %( 21.8 mil gawa kwa 22.320 milioni) ya wapiga kura kuanzia umri wa miaka 15 ; Kumbuka source http://www.nbs.go.tz/index.php?optio...=97&Itemid=115 .

   Tuendelee kudodosa changamoto ya mahesabu aliyoanzisha mtunga- 'thread"
   Last edited by bagamoyo; 13th May 2010 at 13:30. Reason: correction of figures

  7. mageuzi1992's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 9th April 2010
   Posts : 2,520
   Rep Power : 134350
   Likes Received
   218
   Likes Given
   141

   Default Re: Takwimu hii ni sahihi? - Idadi ya wapiga kura TZ

   Kama kutakuwa na mizengwe wakati wa mchakato wa kampeni tusije kusikia waliojitokeza kupiga kura ni milioni 10 tu!

  8. Mwanamayu's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 7th May 2010
   Location : Manzese
   Posts : 5,049
   Rep Power : 10883289
   Likes Received
   850
   Likes Given
   479

   Default Re: Takwimu hii ni sahihi? - Idadi ya wapiga kura TZ

   Inakadiriwa kuwa watanzania wamefikia idadi ya milioni 40.3 in Tanzania Country Report pp. 34 (Economist Intelligence Unit, 2010) na 40.9 in Tanzania National Projections Vol. III in page 41 (NBS 2006).

   Kama 21.8 wamejiandikisha na wanaendelea kujiandikisha basi chini ya miaka 18 mpaka wakati wa uchaguzi ni 18.5. Lakini projection za NBS zinaonyesha chini ya miaka 18 ni milioni 22.2.

   Maswali sasa je projection sio sawa? Kama ni sawa basi wameandikisha na watoto hawa NEC. Kama ni sawa tena wamandikisha ghost voters? Je watoto wengi wamekufa kama milioni 4.2? Au watoto wanakuwa kwa kasi sana, miezi sita tu ana mwaka tayari?

   Usahihi wake una walakini!!

  9. Mwanamayu's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 7th May 2010
   Location : Manzese
   Posts : 5,049
   Rep Power : 10883289
   Likes Received
   850
   Likes Given
   479

   Default Re: Takwimu hii ni sahihi? - Idadi ya wapiga kura TZ

   Quote By bagamoyo View Post
   http://www.nbs.go.tz/index.php?optio...=97&Itemid=115 Source hii ya Ofisi ya Takwimu ya Taifa Tanzania ina sema sensa ya mwaka 2002 Tanzania idadi ya watu ni 34millioni. Kwa kukisia mwaka 2010 tuweke idadi ya watu Tanzania 40 millioni ( ingawa sidhani tumefika hapo).

   Ofisi ya Takwimu ya taifa inasema idadi ya watoto toka umri zero mpaka miaka 14 ni asilimia 44.2 ya Watanzania wote http://www.nbs.go.tz/index.php?optio...=97&Itemid=115 , hivyo watoto wa umri 0 mpaka umri miaka 14 ni 40, 000, 000 x 44.2% inatupa watoto 17,680,000. Hivyo idadi ya vijana toka umri wa miaka 15 mpaka 17 tuwajumuishe kama wapiga kura wengine walio na umri wa zaidi ya miaka 18, mahesabu ni hivi ya wenye haki ya kupiga kura 40,000, 000 toka watoto 17, 680, 000 tunapata wapiga kura 22,320,000.

   Tume imefanikiwa kuandikisha watu 21,800, 000 hivyo kwa mahesabu yangu ya elimu ya sekondari Tume imefanikiwa kuandikisha asilimia 97.2 %( 21.8 mil gawa kwa 22.320 milioni) wapiga kura kuanzia umri wa miaka 15. Kumbuka source http://www.nbs.go.tz/index.php?optio...=97&Itemid=115 .

   Tuendelee kudodosa changamoto ya mahesabu aliyoanzisha mtunga- 'thread"
   Wewe acha kuleta info bila kurejea kwanza, NEC wanasema

   "Entitlement to Register"

   Any citizen of the age of 18 years or above has the right to register as voter and to vote in any public election in Tanzania.

   A citizen loses the right to vote if he or she is:" www.nec.go.tz visited now.
   Tumia mahesabu ya chuo kikuu halafu utuletee data hapa. Au toa hao wa miaka 16 - 17 mpaka Oktoba 2010 halafu utuambie umepata nini.

  10. bagamoyo's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 14th January 2010
   Posts : 2,395
   Rep Power : 11338
   Likes Received
   666
   Likes Given
   1412

   Default Re: Takwimu hii ni sahihi? - Idadi ya wapiga kura TZ

   Quote By Mwanamayu View Post
   Wewe acha kuleta info bila kurejea kwanza, NEC wanasema "
   Entitlement to Register
   Any citizen of the age of 18 years or above has the right to register as voter and to vote in any public election in Tanzania.
   A citizen loses the right to vote if he or she is:" www.nec.go.tz visited now. Tumia mahesabu ya chuo kikuu halafu utuletee data hapa. Au toa hao wa miaka 16 - 17 mpaka Oktoba 2010 halafu utuambie umepata nini.
   Mkuu Mwanawayu,
   Hayo maandishi yako mekundu ktk orginal posting yangu nime-edit isomeke kuanzia umri wa miaka 15(na siyo 16). Hapa mie ni mdadisi asiye statistician hizo figures za The Economist/Takwimu-NBS-Tz/NEC-Tz pia ni za kufanyiwa udadisi, maana 'wataalamu' pia hufanya 'madudu' na kuchomekea mambo kwa ajili ya faida zao.

  11. Mwanamayu's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 7th May 2010
   Location : Manzese
   Posts : 5,049
   Rep Power : 10883289
   Likes Received
   850
   Likes Given
   479

   Default Re: Takwimu hii ni sahihi? - Idadi ya wapiga kura TZ

   Quote By bagamoyo View Post
   Mkuu Mwanawayu,
   Hayo maandishi yako mekundu ktk orginal posting yangu nime-edit isomeke kuanzia umri wa miaka 15(na siyo 16). Hapa mie ni mdadisi asiye statistician hizo figures za The Economist/Takwimu-NBS-Tz/NEC-Tz pia ni za kufanyiwa udadisi, maana 'wataalamu' pia hufanya 'madudu' na kuchomekea mambo kwa ajili ya faida zao.
   Labda sijakuelewa, nina maanisha umri wa kuanza kupiga kura kwa Tanzania ni miaka 18. Sasa hao wa miaka 15 mpaka 17 wanahusika vipi na upigaji kura kuchagua viongozi wa nchi?

  12. Baba_Enock's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 21st August 2008
   Location : "On-board MH370"
   Posts : 6,667
   Rep Power : 2200
   Likes Received
   1657
   Likes Given
   1914

   Default Re: Takwimu hii ni sahihi? - Idadi ya wapiga kura TZ

   Population
   • 40,213,160 (July 2008 est.)
   • 35,922,454 (July 2003 est.)
   Age structure

   0-14 years: 44.3% (male 7,988,898; female 7,938,979)
   15-64 years: 53.1% (male 9,429,959; female 9,634,102)
   65 years and over: 2.6% (male 405,803; female 524,713) (2003 est.)
   Source: Demographics of Tanzania, Data of FAO, year 2005 ;

   "
   Msidanganyike; Mazungumzo mabaya huharibu tabia njema. "

  13. Mwanamayu's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 7th May 2010
   Location : Manzese
   Posts : 5,049
   Rep Power : 10883289
   Likes Received
   850
   Likes Given
   479

   Default Re: Takwimu hii ni sahihi? - Idadi ya wapiga kura TZ

   CIA nao wamesema nusu ya watanzania ni watoto. Source: Rai 13 - 19 May 2010.

  14. mageuzi1992's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 9th April 2010
   Posts : 2,520
   Rep Power : 134350
   Likes Received
   218
   Likes Given
   141

   Default Re: Takwimu hii ni sahihi? - Idadi ya wapiga kura TZ

   Nndondo ungefrem mawazo yako ukayapaka mafuta ukayaweka hadharani yanafaa sana.

   Yaani ki ukweli hiyo idadi hata mimi imenipa shaka washaiba tayari hawa wakware! Haiwezekani watu wajitokeze wachache halafu wao waseme watu wamevunja record. Mimi nazani tunakoelekea siko. Wewe subiri uone wakishinda pasina haki.

   Haki ya nani misaada itakatwa nasi tutalia nakusaga meno tusubiri tuone. Si mnajua nchi yetu inategemea wahisani asilimia zaidi ya 60???

  15. bagamoyo's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 14th January 2010
   Posts : 2,395
   Rep Power : 11338
   Likes Received
   666
   Likes Given
   1412

   Default Re: Takwimu hii ni sahihi? - Idadi ya wapiga kura TZ

   Quote By Mwanamayu View Post
   CIA nao wamesema nusu ya watanzania ni watoto. Source: Rai 13 - 19 May 2010.
   Naongezea linki ya posti yako mkuu ili wasomaji na wachangiaji wawaze kufuatilia linki mbalimbali na kutoa michango yao kuhusu takwimu
   http://newhabari.co.tz/index.php?opt...=38&Itemid=107 nukuu toka gazeti la Rai kutoka CIA:

   ''Kwa kuwa na watu wengi wenye umri wa chini ya miaka 15, ina maana kwamba sehemu kubwa ya raia wa Tanzania inategemea kupatiwa mahitaji muhimu kutoka kundi dogo la wananchi wake, na hivyo kusababisha matatizo makubwa katika uzalishaji wa chakula na upatikanaji wa huduma nyingine muhimu. .........''

  16. MJM's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 30th March 2010
   Posts : 429
   Rep Power : 681
   Likes Received
   29
   Likes Given
   3

   Default Re: Takwimu hii ni sahihi? - Idadi ya wapiga kura TZ

   Wakati tunajadili pia tukumbuke kwamba wao walijiwekea malengo (targets) ya kuandikisha wapiga kura 21.3M na wameandikisha 21.8M hivyo kweli wamevuka lengo. Kwa nini waliweka malengo ya 21.3M ni suala ambalo mpaka wakupe base yao otherwise tutapoteza muda mwingi kujadili tusipate jibu. Ukisema 21.3 ni kidogo watakuambia waliweka allowance kwaajili ya defaulters ukisema ni wengi pia kuna tatizo kwa sababu nikiangalia takwimu za wachangiaji tayari zinatofautiana kwa substantial amount.

   Masuala ya kujiuliza ni je watu wote wanaotakiwa kuandikishwa wameandikishwa? Hakuna walioandikishwa mara mbili? Kuhusu wapiga kura watu wengi huwa hawajitokezi kupiga kura na hii ni changamoto kubwa sana kwa watanzania.

  17. Tai Ngwilizi's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 20th April 2010
   Posts : 798
   Rep Power : 752
   Likes Received
   211
   Likes Given
   227

   Default Re: Takwimu hii ni sahihi? - Idadi ya wapiga kura TZ

   nikiangalia uchambuzi wa takwimu mbalimbali zilizotelewa kwenye hii thread, ina maanisha NEC imeandikisha wapiga kura zaidi ya asilimia 95, jambo ambalo linatia shaka, tz kama nchi iliyo nyuma kimaendeleo ina vikwazo vingi vinavyo sababisha tusifikie hiyo asilimia

  18. Abunwasi's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 25th June 2009
   Location : Urbanite
   Posts : 1,415
   Rep Power : 12179087
   Likes Received
   259
   Likes Given
   498

   Default Re: Takwimu hii ni sahihi? - Idadi ya wapiga kura TZ

   Ninadhani kama vyama vya siasa viko makini ni rahisi kujua idadi kamili sababu kubwa ni kwamba vyama vingi vya uchaguzi vina mawakala katika sehemu za kupiga/kujiandikisha na lile daftari huwekwa wazi kwenye maeneo ya kura ili wapiga kura wa sehemu husika waweze kuthibitisha uhalali wa waliojiandikisha [katika sehemu husika] ninadhani ni suala la coordination tu na wakikuta hesabu zao na nec zimetofautiana basi inakuwa rahisi kushughulikiwa.

   Lakini iwapo vyama vimelala basi idadi iliyotolewa na nec ndiyo inayotambulika.

  19. Nyambala's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 10th October 2007
   Location : Tahiti
   Posts : 4,495
   Rep Power : 1668
   Likes Received
   1098
   Likes Given
   971

   Default Re: Takwimu hii ni sahihi? - Idadi ya wapiga kura TZ

   Naona sasa uttata wa hii takwimu sasa umeibuka tena!!!!!!!!!!!!!!

  20. TIMING's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 12th April 2008
   Location : Roaming...
   Posts : 21,841
   Rep Power : 923038
   Likes Received
   7107
   Likes Given
   8213

   Default Re: Takwimu hii ni sahihi? - Idadi ya wapiga kura TZ

   Quote By bagamoyo View Post
   Tanzania source hii ya ofisi ya takwimu ya taifa tanzania ina sema sensa ya mwaka 2002 tanzania idadi ya watu ni 34millioni. Kwa kukisia mwaka 2010 tuweke idadi ya watu tanzania 40 millioni ( ingawa sidhani tumefika hapo).

   Ofisi ya takwimu ya taifa tanzania inasema idadi ya watoto toka umri zero mpaka miaka 14 ni asilimia 44.2% ya watanzania wote Tanzania , hivyo watoto wa umri 0 mpaka umri miaka 14 tukipiga hesabu 40, 000, 000 x 44.2% inatupa watoto 17,680,000. Hivyo idadi ya vijana toka umri wa miaka 15 mpaka 17 tuwajumuishe kama wapiga kura wengine walio na umri wa zaidi ya miaka 18, mahesabu ni hivi ya wenye haki ya kupiga kura 40,000, 000 watoe watoto 17, 680, 000 tunapata wapiga kura 22,320,000.

   Tume imefanikiwa kuandikisha watu 21,800,000 hivyo kwa mahesabu yangu ya elimu ya sekondari tume imefanikiwa kuandikisha asilimia 97.2 %( 21.8 mil gawa kwa 22.320 milioni) ya wapiga kura kuanzia umri wa miaka 15 ; kumbuka source Tanzania .

   Tuendelee kudodosa changamoto ya mahesabu aliyoanzisha mtunga- 'thread"
   siku zimebaki chache sana... Nini kifanyike?
   ....Time is the wisest counselor !!!


  Page 1 of 2 12 LastLast

  Similar Topics

  1. Replies: 0
   Last Post: 5th November 2010, 14:03
  2. Idadi ya Wapiga Kura ni Ipi ?
   By AK-47 in forum Uchaguzi Tanzania
   Replies: 2
   Last Post: 29th October 2010, 11:07
  3. Idadi ya wapiga kura kituoni
   By Nikupateje in forum Uchaguzi Tanzania
   Replies: 0
   Last Post: 25th October 2010, 21:05
  4. Replies: 0
   Last Post: 19th October 2010, 16:09
  5. Idadi ya wapiga kura Tujulishwe Watanzania Mapema!!
   By RedDevil in forum Habari na Hoja mchanganyiko
   Replies: 2
   Last Post: 6th August 2010, 10:16

  Posting Permissions

  • You may not post new threads
  • You may not post replies
  • You may not post attachments
  • You may not edit your posts
  •  

  Who are WE?

  JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

  You are always welcome! Read more...

  Where are we?

  We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

  For anything related to this site please Contact us.

  Contact us now...

  DISCLAIMER

  JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

  Read more...

  Forum Rules

  JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

  You MUST read them and comply accordingly. Read more...

  Privacy Policy

  We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

  Read our Privacy Policy. Proceed here...