Zuzu

shakamohd

Member
Dec 28, 2011
49
6
Zuzu alikuwa anaumwa, akaamua kuiweka picha ya doctor kwenye ukuta wa chumba chake. Ghafla akatembelewa na ndugu zake kisha wakamuuliza hii picha ukutani ni yanani? Zuzu akajibu: ni doctor wangu Kisha akaulizwa sasa mbona umeiweka ukutani? Akajibu: doctor wangu kanambia kila ninapozidiwa nimuone....
 
Zuzu huyu bwana,eti alimeza plasta na kunya gvii,alipoulizwa kajibu eti anatibu vidonda vya tumbo
 
Fred-el Suárez;3728361 said:
ilishatolewa humu JF hayo ni makombo kaka

Samahani bro kama imekukwaza ila sio vibaya kuitoa mana im new comer sijui kama uliwahi kuitoa but hata kama makombo bora nipotezee haina haja yakunena mana kuisikia x2 haina maana ucoment ucheke tena mbona una masikio mawili lakini husikii mara mbili mbili?
 
What i know ZUZU ni kituo cha treni huko Dodoma

Back
Top Bottom