Zuzu bwana!!

mtamanyali

JF-Expert Member
Dec 6, 2011
1,161
613
Hi wana jf. Siku moja muda wa jioni zuzu alirudi nyumbani akiwa na sura ya unyonge sana, MAMA yake akamuuliza., kulikoni mwanangu zuzu mbona leo mnyonge hivyo? ZUZU akajibu 'mama inaonekana hawa majirani zetu masikini sana' MAMA: ulijuaje? ZUZU: leo mwanao kameza shilingi mia nimewakuta wamechanganyikiwa sana, je angemeza elfu kumi ingekuwaje' Si wangekua vichaa kabisa mama.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom