Zungumza na Kikokotoo chako

Gurta

JF-Expert Member
Sep 17, 2010
2,234
531
Je, unajua kwamba inaweza kuzungumza na Kikokotoo chako?

Jaribu hii: ingiza namba 0.1289 na uizidishe kwa 6. Jibu litakuwa ni ni 0.7734. Sasa geuza kikokotoo chako juu-chini na kikokotoo kitakusalimu kwa "HELLO".

Hebu jaribu mazungumzo zaidi na kikokotoo chako:

1) 598764 - 137389
2) 3869 x 2
3) 13699.6 + 21636.4
4) 3347 x 22
5) 1379.45 x 40
6) 26410 - 22603
7) 16859 / 23
8) 6534 + 1181
9) 132012 / 18
10) 142.1 x 50

Monday ain't supposed to be all Blue!
 
Namba zilizopo (0 - 9) haziwezi kuwakilisha herufi zote katika alfabeti.

Nimeufurahia mkakati wako, ingawa sijui malengo yake. @ Nduka
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom