Zungu leo kalonga; Makampuni ya SIMU CELTEL [I stand to be Corrected]

DSN

JF-Expert Member
Feb 2, 2011
2,837
1,674
Kwa mara ya kwanza toka namsikia Mheshimiwa Zungu leo kaongea kama Mzalendo,UNYAMBILISI makampuni ya simu yanayowatendea watanzania.
Anasema Taifa limekuwa SHAMBA LA BIBI,kwenye REVENUE WATCH.
Tanzania inapoteza TRIONI MOJA NA BILLIONI MIA TANO kutokana na Kodi inayopotea kupitia makampuni haya kukwepa kodi.

Ni wapi Makampuni haya yamekwisha invest hata kimajengo hapa nchini [I stand to be corrected]

Asante Zungu kwa maono hayo,kumbe wewe kichwa.ulikuwa wapi siku zote.Jamani naomba kumjua Zungu kwani sikuzote nilikua naona kama ni watu walewale wa kulala bungeni.
 
Hoja zisizo na maana,
Nani alikwambia makampuni ya simu huwa yanawekeza kwenye majengo?
Labda kama alikuwa na madai mengine ya kodi na gharama sawa.
 
hawa wabunge wangu wa ccm bana, mwisho mh supika naunga hoja uselesssssssss.............

MJIMPYA ni kweli tupo green tech (digital world)
 
Wabunge wa CCM wameota sugu mikononi kwa kupiga meza kwa nguvu kwa kuunga hoja kwa 100%. Kama mnabisha uje usalimiane nae kwa kushikana mikono uone!

Wabunge hao ndo wanao sababisha nchi yetu iwe SHAMBA la Marehemu BIBI!
 
Hoja zisizo na maana,
Nani alikwambia makampuni ya simu huwa yanawekeza kwenye majengo?
Labda kama alikuwa na madai mengine ya kodi na gharama sawa.
Sio lazima kuwekeza majengo ila la msingi hapa ukwepaji kodi, haya makampuni ya simu yanakwepa kodi ndio madai ya Zungu, sasa tunataka mwenye data kamili tujue mapato yao na kodi wanayolipa ili tulinganishe vinginevyo msemo wa shamba la bibi utabaki ukivuma.
 
kayaona haya au kayasikia!? au ni kisingizio kuwa 'gamba' moja limevuka!?
Kwa mara ya kwanza toka namsikia Mheshimiwa Zungu leo kaongea kama Mzalendo,UNYAMBILISI makampuni ya simu yanayowatendea watanzania.
Anasema Taifa limekuwa SHAMBA LA BIBI,kwenye REVENUE WATCH.
Tanzania inapoteza TRIONI MOJA NA BILLIONI MIA TANO kutokana na Kodi inayopotea kupitia makampuni haya kukwepa kodi.

Ni wapi Makampuni haya yamekwisha invest hata kimajengo hapa nchini [I stand to be corrected]

Asante Zungu kwa maono hayo,kumbe wewe kichwa.ulikuwa wapi siku zote.Jamani naomba kumjua Zungu kwani sikuzote nilikua naona kama ni watu walewale wa kulala bungeni.
 
Kwa mara ya kwanza toka namsikia Mheshimiwa Zungu leo kaongea kama Mzalendo,UNYAMBILISI makampuni ya simu yanayowatendea watanzania.Anasema Taifa limekuwa SHAMBA LA BIBI,kwenye REVENUE WATCH.Tanzania inapoteza TRIONI MOJA NA BILLIONI MIA TANO kutokana na Kodi inayopotea kupitia makampuni haya kukwepa kodi.Ni wapi Makampuni haya yamekwisha invest hata kimajengo hapa nchini [I stand to be corrected]Asante Zungu kwa maono hayo,kumbe wewe kichwa.ulikuwa wapi siku zote.Jamani naomba kumjua Zungu kwani sikuzote nilikua naona kama ni watu walewale wa kulala bungeni.
Very shallow comment ametoa data? Au mleta mada ndo kasinzia hada analeta kitu skeleton tupu
 
Zungu kalisemea hili kwa hisia kali - serikali ilifanyie kazi na waziri asiiupuuze mchango wa Zungu katika hili.
 
sasa hivi ni zain sio? tungoje jina jipya hapo 2014!!! mbaffffff zetu watanzania
 
Hoja zisizo na maana,
Nani alikwambia makampuni ya simu huwa yanawekeza kwenye majengo?
Labda kama alikuwa na madai mengine ya kodi na gharama sawa.

Sio lazima kuwekeza kwa maana ya Real Estate, kama,sikosei hakumaanisha hivyo bali kumilki majengo yake yenyewe kama maoja ya Asset zake ndani ya Nchi,Mdau unafaidka nao nini
 
jamani kama kaongea point hapewe point, hata kama ni magamba na hii itawapa na wengine moyo au yeye kuongea zaidi. huu utamaduni wa kuponda kila kitu tumeutoa wapi?
tunajenga nchi au tuna malengo mengine?

mimi kwa mwana magamba yeyote atakaye ongea kama zungu na abalikiwe,
tuna serikali mbovu chanzo kikubwa ni sisi wananchi, tukiwa siri tunajifanya makomando
lakini wengi wetu tunaona maovu na kuyakalia kimya kila siku.

tubadilike tupinge na kupongeza pale inapobidi yeye kasema sasa ni jukumu la TRA kuchukua hatua
na nijukumu letu wananchi kutupia macho ni kiasi gani cha kodi tutapata mwakani kutoka na haya makapuni
kama watendelea kubebana( TRA na MAKAPUNI YA SIMU) basi tuwashe moto yeye kama zungu hawezi kulibadilisha ili taifa peke yake au wewe kama wewe
tuwe tunaungana mkono kila kwenye hoja ya msingi,
 
hawa wabunge wangu wa ccm bana, mwisho mh supika naunga hoja uselesssssssss.............

MJIMPYA ni kweli tupo green tech (digital world)

Kwa kusema kule Mr Zungu japo umma umesikia vuvuzela lake,kulikoni kutokusema ,manake FIGA Edward alisema ni heri kusema kuliko kukaa kimya uku ukijua madudu kwa kushindwa kuamua.Sasa sisi huku ndio tunapaswa kutafuta evidence na kuziweka wazi kisha kuanika hayo wazi.Ndio jamii ya kidemokrasia inavyofanya kazi.Confrict of Interest mbili kati ya wachumaji na umma unotaka kuona malipo ya kodi ya wachumaji yanapatikana kwa haki na yatumiwe kwa haki.hapa Nchini.
 
Kwa mara ya kwanza toka namsikia Mheshimiwa Zungu leo kaongea kama Mzalendo,UNYAMBILISI makampuni ya simu yanayowatendea watanzania.
Anasema Taifa limekuwa SHAMBA LA BIBI,kwenye REVENUE WATCH.
Tanzania inapoteza TRIONI MOJA NA BILLIONI MIA TANO kutokana na Kodi inayopotea kupitia makampuni haya kukwepa kodi.

Ni wapi Makampuni haya yamekwisha invest hata kimajengo hapa nchini [I stand to be corrected]

Asante Zungu kwa maono hayo,kumbe wewe kichwa.ulikuwa wapi siku zote.Jamani naomba kumjua Zungu kwani sikuzote nilikua naona kama ni watu walewale wa kulala bungeni.

Binafsi sijaona pointi unayomfagilia hapo
 
...Tanzania inapoteza TRIONI MOJA NA BILLIONI MIA TANO kutokana na Kodi inayopotea kupitia makampuni haya kukwepa kodi.....
Kusema tu 'inapotea' hakutaisaidia serikali. Je amesema inapotelea wapi au inapoteaje? Ni kwa vipi makampuni haya yanakwepa kodi?
 
Leo ameamua kuongea baada ya kuona Rafiki yake ROSTAM kavuliwa gamba akaona amwage kuku kwenye mchele mwingi ili liwalo na liwe RIP ZUNGU mwendo huo huo mlikuwa wapi siku zote!!!.
 
Very shallow comment ametoa data? Au mleta mada ndo kasinzia hada analeta kitu skeleton tupu

Nimeleta Taarifa yakilicho kuwa kinaendelea ndani ya Bunge,Mbunge wa ILALA Zungu,wakati anachangia mswada wa wizara ya Mawasiliano alipopewa nafasi kuchangiandio akaanza kumwagika hayo.Ikiwemo kuwa fedha nyingi inayopatikana katika makampuni ya SIMU hapa Tanzania inaamishwa nje ya Nchi kwa hao tunaowaita kama wa wawekezaji kwenye makampuni hayo ya SIMU.Yanachukua fedha hizo na kuamisha Nchini kwao hivyo kusababisha ukosefu wa FEDHA na mwisho wake tunaona DOLA YA KIMAREKANI inapanda KILA siku kutokana na kuamishwa kwa mapesa hayo.

Na kuwa Serikali haikusanyi kwa uhakika PESA kama KODI toka kwa haya makampuni ya SIMU,na yamekuwa hayawatendei haki wananchi kwa kuwatoza na mambo mengi.Yaani kwa ujumla Serikali haina udhibiti kwenye Mashirika haya ya SIMU.Akichulia mfano wa Mauzo ya kampuni ya CELTEL.Mchezo huo mchafu umelighalimu TAIFA,kwa kukosa mapato.

Hayo ndiyo niliyodokoa wakati mheshimiwa huyu akichangia.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom