Zuku tv waboa!

MBUTAIYO

JF-Expert Member
Nov 15, 2010
682
392
Pamoja na mbwembwe nyingi kwenye ufunguzi na ahadi kemkem kwamba tutaona tuliyokuwa tunahitaji, mbona hakuna jipya zaidi ya sinema?
Kwanza local tv station ni moja tu! -tbc, afadhali analogi unapata local tv zote.
 
Mkuu bora umesema.Mi nlikuwa na dish,nikasikia ZUKU,ZUKU SATELLITES,nilinunua bt nimelipia tu mwezi mmoja wa 2 basi.Mpaka tena wafunge system ya analogue.Hata TBC Wameweka juz juz tu hapa, ITV yenyewe eti exp.tech.programe.Star tme huku bado hawajfka,Dstv mapedeshee,Prof.Makame kashemka ilibd Wajipange angalau 2yrs next.
 
Ni kweli hata mimi niliingia mkenge naona hawa jamaa wanakasolo kibao,pamoja ni kuwa kwa maoni yangu kwa ubora wako juu ,lakini baado pia vipindi vyao vinajirudia rudia,kila siku unatazama yaleyale ya juzi,walisema ukifika mwezi April watabadili mambo mengi na hebu tusubiri,waakumbuke baado tuna ving'amuzi vya StarTimes,Ting na Easy kwa hiyo kurudia tena sio shida ,hata Mancin aliapa kuwa yeye akiwa coach wa wa MC Teves asahau kucheza Etihad lakini si jana tumemuona?ikibidi unarudi nyuma baada ya kuona huko uendako siko ndiko.
 
Back
Top Bottom