Zuku tv kiboko

sasa jana nimepata chaneli nyingine ya mpira inaitwa SPORTS 24 imerusha mechi zote za jana.inapatikana IS906 at 64.5degree east pale inapopatikana chanels za bongo ilimradi una mpeg4 decoder.(AAL-003TING AND STRONG SRT4669X recommended) Just blindscan or weka no hizi 4136H7199.H inaweza kuwa V.Huu ni ushahidi kwamba angani kuna kila ki2 4 free.2mia hela zako kwa shughuli za maendeleo.
 
tatizo channel za bure hazidumu hasa zinazoonyesha content nzuri,mara nyingi utaiona ya bure wanapokua wanaifanyia majaribio then baadae inakua scrambled ndio maana usishangae siku ume blind scan receiver yako ukapata channel kama z sports,tensports,supersport nk.na pia kama unapenda kuangalia mpira clear huwezi poteza muda kuangalia mpira kupitia free channel kwasababu quality ni mbovu mno mfano channel kama mbc2,rdv,drtv,rst ambazo zinapatikana w 3a 7 degree east zinaonyesha epl,champions lg lakini quality ni mbovu sana.na pia channel nyingi wanatangaza kwa kifaransa au kiarabu huo mpira,utaufurahia vp kama lugha hizo hazipandi?ukija kwenye movies hakuna channel ya bure unayoweza kuangalia movies mpyaa iliyotoka karibuni zaidi utaangaalia za kuanzia 2006 au 2007 kurudi nyuma...
 
ni kweli w3a sat video c nzuri ila w3c na w4 sats zina video nzuri sana.
 
Kiukweli tunapoongelea swala la Decoda ipi nzuri kuna mambo kadha wa kadha ya kuzingatia.. mambo kama gharama, signal (Picha na sauti), Burudani inayotolewa na kampuni husika n.k. Ninachoweza kusema hebu tujaribu kuangalia ww binafsi unahitaji nini na unaweza lipia nini? Kwa maana nyingine fanya research yako kabla ya kununua king'amuzi. Usipo angalia utajikuta umenunua Karibia decoda zote.

  1. Kama we ni mpenzi wa Local Channels Easy tv na Ting inakufaa.
  2. kama wewe ni mpenzi wa Mavitu ya kichina china Startimes inakufaa
  3. kama wewe ni mpenzi wa soka "Live" za ligi karibia zote DSTV inakufaa
  4. kama wewe ni mpenzi wa free channels yaani hupendi kulipia lipia funga EUROSTAR yako enjoy

Point yng ni kwamba kuna karibia kila kitu unachokihitaji wewe dunia ya sasa. ni swala la kufanya uamuzi tu. Kwa binafsi nina experince nzuri tu na DSTV & Startimes. kama wewe ni miongoni mwa watu kama mimi utakubaliana na mimi kabisa kwamba startimes picha na sauti yao haiko standard kama DSTV yaani u can feel the difference kabisa. Picha n sauti ktk Dstv is well Better tofauti na startimes ambapo ni kama nzito nzito fulani hivi.. Mwisho wa siku wanachokifanya DSTV ni kutoa International Entertainment... Kwa kusema hayo angalau nimeshawishika kuhamia ZUKU Ahsanteni naamini nitakua sijafana makosa..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom