Buchanan
JF-Expert Member
- May 19, 2009
- 13,199
- 1,969
Local channels zote zinapatikana? Plz mention them ,strictly local
As far as I know ni ITV na TBC1 tu!
Local channels zote zinapatikana? Plz mention them ,strictly local
As far as I know ni ITV na TBC1 tu!
Du!. Kweli mna mapenzi na mpira. Niliamua kuachana nao baaada ya kuona utanipa presha badala ya burudani. Sijawahi kuingia uwanja wa taifa tangu ujengwe.Ahsante kwa taharifa. Lakini je PRIMIE LIGUE,LA LIGA na BUNDESLIGGA wanaonyesha? Kama hawana football chanel'z basi hawana
inshu,sasa hivi mambo yote ni mpira. Binafsi nitaendelea kulipia DSTV PRIMIER kwa ajili ya mipira....no matter how much cash is costing me!
Du!. Kweli mna mapenzi na mpira. Niliamua kuachana nao baaada ya kuona utanipa presha badala ya burudani. Sijawahi kuingia uwanja wa taifa tangu ujengwe.
Kwan dstv kukuunganisha ni Tsh ngapi? Na kilamwez unalipa Tsh ngapi?
Kwa maelezo hayo bila kuongeza neno, Zoku ni janga lingine la kitaifa!
Mtazania anaelemewa na tsh 7000 ya Startimes leo useme unamsaidia kwa 40000??
DSTV wataendelea kuwajuu kwakuwa wanachaneli za mpira!
Dstv wezi tu, wanajidai wako juu kwa chanel za soka tu ila gharama yao kwa USD huo ni ufisadi na ni wizi. Huyo anayesema dstv wana package ya mpk 16,000/- kwa mwez ni kweli, ila unapewa channels zipi kama sio vikatuni na tbc? Dstv hawana jipya kwanza chanel zao za muvi hawana muvi mpya wanarudia rudia tu muvi zao. Wacha ving'amuzi vingne vije ushndani uwe mkali pengne watashusha bei
Kwani great thinkers ndio hawatumii ving'amuzi?Mbona naona tangazo la hiyo zuku kwenye home page ya JF,tafuta kingine cha kuongea!!!Nafikiri huyo ni employee wa hiyo kampuni, kaingia kiujanja hapa kwa great thinker