Zuku king'amuzi kinaonyesha soka live?

eliesikia

JF-Expert Member
Oct 29, 2010
787
755
Wakuu
Hivi hawa wakenya na zuku tv zao watakuwa wanaonyesha ligi gani live? Najua kuwafikia DSTV ngumu lakini watakuwa na matone ya burudani murua angalau. DSTV inaua pesa zetu sana.
 
Fafanua ligi ipi kama epl hawana ila mechi za ligi zingine baazi wanaonyesha we unataka ligi hipi ?
 
Fafanua ligi ipi kama epl hawana ila mechi za ligi zingine baazi wanaonyesha we unataka ligi hipi ?
Linapokuja swala la mpira wa miguu EpL inakuwa ya kwanza kabisa zingine zinafuatia
So hata mimi nataka kujua kama wanajpya gani kuliko Startime,Ting na Easy tv au ndio wale wale tu chaneli 40 halafu upuuz.i mtupu

Zuku huonyesha EPL siku ya Jumamosi kupitia UBC ,halafu wana Zuku sport na Setanta Africa,Startimes wamewazidi Zuku kwenye kuonyesha ligi ya Italia,Zuku hawaonyeshi ligi ya Italia ilihali ST huonyesha ligi ya Italia live,hapo ndio utata nimeacha ST kwenda Zuku na matokeo yake nakosa kipute cha Italia ambacho kwa maoni yangu kwa sasa ndio kipute bora Ulaya kuliko hata EPL
 
Mkuu unaweza ukanipa cost za kuweka hivi ving'amuzi vya Startimes/Zuku na gharama za package zao kwa mwezi(maana nona kwenye website inakuwa mgogoro)...!
 
wakuu naombeni msaada kujua bei ya kifurushi kwenye king'amuzi tajwa ili niweze kuona EPL live
 
Back
Top Bottom