Zuberi mwombeji na mkutano wa cuf arusha

mpinga shetani

JF-Expert Member
Nov 22, 2010
3,236
954
Yule afisa wa polisi Zuberi Mwombeji anayesifika kwa kupambana na Chadema Arusha. jumapili iliyopita aliongoza maandamano ya CUF kutoka kisongo hadi Arusha mjini.
Mwombeji pia alibaki kwenye mkutano pale levolosi kama mlinzi mwaminifu.
Zamani nilidhani anapambana na upinzani kumbe anapenda CUF. Eh, hapana, sijazungumzia udini hapa. Teh!
 
ukitaka kujua idadi YAO angalia mikutano ya CUF.There was no reason kugomea sensa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom