the kapex
Member
- Feb 4, 2011
- 35
- 2
Jamani ukweli ni kwamba kupitia jukwaa hili mambo mengi yanajibiwa kitaalam tatizo langu ni hili nina modem ya voda hiyo niliyoitaja hapo juu nilikuwa nikijalibu kui-unlock kwa kutumia dc-unlocker lakini nilipomaliza ikanilazimu kui-uninstall nilipokuwa nikijaribu kuiweka ikawa haionekani kabisa haiji-install yenyewe kama hapo mwanzo sasa sijui nifanyeje make haionekani tena ni matumaini yangu mtanisaidia