ZTE MF190 Help...

taylors

Member
Aug 12, 2012
12
0
...katika pita pita zangu mtandaoni nilikikutana na post flani inaelezea jinc ya ku unlock hizi moderm za airtel..ZTE MF190
kwa ku upgrade fimware yake,lakini baada ya ku upgrade fimware sasa moderm inashindwa kuitambua line yoyote ile hata ile ya airtel,na hata dashboard yake ktk moderm imepotea!yoyote anayeweza kunisaidia nika upgrade kwenda ktk fimware nyingine itakayo support line zote!msaada plzz
 
mm yangu ndo nata kunlock nayo zte mf190 from airtell but ndo naifanyia uchunguz sasa kama wewe yamekukumba hayo ngoja hii yangu niiache maana ikiwa kama ntajuta
 
mm yangu ndo nata kunlock nayo zte mf190 from airtell but ndo naifanyia uchunguz sasa kama wewe yamekukumba hayo ngoja hii yangu niiache maana ikiwa kama ntajuta

Ni rahisi mno ku-unlock,tafuta(google) software inaitwa DC UNLOCKER au search post humu jf kuna zenye kuelezea namna ya kuziunlock...
 
for now unatakiwa kudownload connection manager ambayo ni join air au kama unaweza pata modem kwa rafiki yako ili ufanye ku install hiyo dashboard ya airtel itafanya kazi, i had the same problen now natafuta njia ya kurudisha dashboard ya airtel kwenye hiyo modem iki work out ntatoa maelezo yake hapa
 
mi nimefanikiwa kurudisha dash board kutoka kwenye modem nyingine kama hiyo lakini still invalid sim kwa line yoyote. lakini DC unlocker cracked version inaulock fasta tu kwa modem kama hizi kabla ya kubadili dash board....tuendelee kujuzana
 
Check kweny post zangu za siku chache zilizopita utaona jinsi ya kuunlock hiyo modem without updating firmware yake..
 
Back
Top Bottom