Zomea bakwata.

uporoto01

JF-Expert Member
May 23, 2008
4,700
1,415
Mimi kama muislamu nataka kutoa wimbo wa 'zomea Bakwata' naomba msaada wenu wa mistari wa wimbo huu.Hawa jamaa hawakubaliki na Waislamu na wanabebwa na CCM kwa maslahi yaoWamekuwa wanatoa kauli tata za kuvuruga umoja na kutugawa,na kama haitoshi sumu hii wameipeleka mikoani na wilayani kupitia mashehe wao(kumbuka maimam wote wanaoswalisha sala ya Ijumaa wanapitishwa na Bakwata).
Kwahiyo chochote kisemwacho baada ya sala ya Ijumaa ni msimamo wa Bakwata.
 
Hivi Uporoto una authority ya kuwasemea Waislam?

Note:

Kama hawakubaliki kwa Waislam kusingekuwa na haja ya kuwatungia nyimbo kuwazomea since matamko Yao Bakwata yangekosa wafuasi

Kwa hiyo kimsingi bandiko lako linakinzana
 
Teacher nasema kama muislamu na jumuia inakusanya watu mmoja mmoja,Bakwata hawasemi haya kwa niaba yangu najitenga kabisa nazo na waislamu wengi naoongea nao hawazipendi.Nasubiri mstari wako wa wimbo huu au chorus mwalimu.
 
Hahaha nasubiri wimbo utimie mie nitaweka vinanda :)

Juu ya hivyo usitumbukie kwenye mtego ule ule wanaoingia Bakwata. Hawawezi kuwasemea waislam na wewe pia huwezi.....unaweza kujisemea wewe tu na wachache unaowajua at most

Btw akija Bakwata atakwambia nyimbo haram! Lol
 
utambulisho wako hauna mantiki yoyote, toka lini umekuwa msemaji wa waislamu? jitungie mwenyewe huo wimbo na uwaimbie kama unafikiri matatizo ya waislamu yanatatuliwa kwa kuwaimbia wimbo bakwata
 
Uporoto karibu Masjid Mtambani, njoo uwe unaswalia huku Swalatul Jumaa. Hapa ndo utaweza kuijuwa kama ni bakwata au ba-kwato.
 
mkuu ebu anzisha verse nikupigie kibwagizo.una mawazo mazuri sana mkuu.mia
 
chukua ule wimbo wa -poleee samaki pole- ubadilishe maneno. huo unawafaa sana maana wamezidi, afu misimamo ya viongoz wa bakwata sio ya waislam ninao wajua mimi, na wenyewe wanakerwa sana na viongozi wao.
 
Usisahau kuweke lyrics zinazoongelea BAKWATA kusaka kadhi kwa kujidhalilisha kwa jumuiya ya watanzania mpaka kutumiwa kama chombo cha kupiga kampeni cha CCM
 
Nafahamu bakwata wanafanya makosa lkn kuwasema co soln! Hakika wamepewa madaraka lkn kuwasema hakusaidii angalau ucwafate coz wa2 weng 2nafanya hvo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom