Zoezi limesitishwa kwa miezi mitatu!!!

anajipa likizo amechoka kuhangaishwa tendo la ndoa nalo ni mahangahiko.................huyo mke amemchoka mumewe...upole gani huo anatakiwa avunje ukimya aongee na mkewe mapema kujua chanzo cha kupewa likizo ni nini
 
wapendwa,

imani za wakristo wengi zimepoa kwa kutokuwa na kiasi kwao kwa mambo mbalimbali. mabinti ambao hawajaolewa na vijana ambao hawajaoa wamekuwa na bidii sana katika kusali na kufunga, lakini wanapooa/wanapoolewa, bidii yao hupungua na hatimaye hupotea kabisa. wengine husahau kabisa masuala ya kusali hadi wakati wa uzee wao ndio humrudia Mungu tena. moja ya sababu ya hali hii ni "kutokuwa na kiasi" katika "shughuli", malezi ya watoto, kutafuta pesa nk. na hivyo kumpa shetani fursa ya kuwatia majaribuni na kwa kuwa moyo hauna nguvu ya maombi, wamekuwa wakianguka kirahisi katika majaribu.

katika 1 Wakorintho 7:5 twasoma "msinyimane isipokuwa mmepatana kwa muda ili mpate faragha kwa kusali, mkajiane tena shetani asije akawajaribu kwa kutokuwa na kiasi kwenu"

mi naona huyo mama yuko sahihi kama lengo lake ni kupata faragha ya sala na hicho alichoamua huyo mama kisingelaumiwa kama wangepatana na mumewe. wakristo tumeamuriwa kufanya kila jambo kwa kiasi ili tupate faragha kwa ajili ya sala. kwa kweli kwa kuwa na "shughuli" kila siku na kila wakati unapopatikana mwanya sio vyema kiimani na hata kiafya, ingawa sio dhambi.

ushauri wangu ni "kupatana" kama miezi mitatu ni mingi wapatane itakuwa kwa muda gani mwingine, na kama miezi mitatu ni michache pia wapatane. sie hatuna haki ya kuwaingilia bali ni wao na talanta zao walizopewa na Bwana.

Mungu wetu ni mkuu sana!

Glory to God!
 
Ni kweli sio vizuri kuingilia mambo ya mtu ila unapofuatwa na mhusika kuombwa ushauri nafikiri sio vibaya, maana ushauri wowote wenye maana unaweza kusaidia ndoa hii iendelee kuliko ilivyo sasa.
 
Kwa kifupi anataka kuahirisha ndoa kwa miezi mitatu -- go for plan B.
 
wapendwa,
mi naona huyo mama yuko sahihi kama lengo lake ni kupata faragha ya sala na hicho alichoamua huyo mama kisingelaumiwa kama wangepatana na mumewe.QUOTE]
Kama wangekuwa wamepatana na mmewe wala huyo bwana asingeenda kutaka ushauri.
Mwanamke kaamua peke yake bila kumshirikisha mmewe!
Mwanamke kaamua kutoa Likizo siyo kwa ajili ya kutafuta uso wa Bwana, ila amechoka kusumbuliwa anataka apumzike!
Huo ni uamuzi wa kikatili sana.
 
Labda mkewe kapata mtu nje anayemkuna, suala la muhimu hapo jamaa aongee vizuri na mkewe kuhusiana na adhabu hiyo na madhara yake!

Baadhi ya wamama/wadada waliookoka wajiangalie maana wengine hudhani mambo ya ndoa sio muhimu kuzingatia ndiyo maana kuna mashart kibao na ukija juu unaambiwa unapepo!!!
 
wapendwa,

imani za wakristo wengi zimepoa kwa kutokuwa na kiasi kwao kwa mambo mbalimbali. Mabinti ambao hawajaolewa na vijana ambao hawajaoa wamekuwa na bidii sana katika kusali na kufunga, lakini wanapooa/wanapoolewa, bidii yao hupungua na hatimaye hupotea kabisa. Wengine husahau kabisa masuala ya kusali hadi wakati wa uzee wao ndio humrudia mungu tena. Moja ya sababu ya hali hii ni "kutokuwa na kiasi" katika "shughuli", malezi ya watoto, kutafuta pesa nk. Na hivyo kumpa shetani fursa ya kuwatia majaribuni na kwa kuwa moyo hauna nguvu ya maombi, wamekuwa wakianguka kirahisi katika majaribu.

Katika 1 wakorintho 7:5 twasoma "msinyimane isipokuwa mmepatana kwa muda ili mpate faragha kwa kusali, mkajiane tena shetani asije akawajaribu kwa kutokuwa na kiasi kwenu"

mi naona huyo mama yuko sahihi kama lengo lake ni kupata faragha ya sala na hicho alichoamua huyo mama kisingelaumiwa kama wangepatana na mumewe. Wakristo tumeamuriwa kufanya kila jambo kwa kiasi ili tupate faragha kwa ajili ya sala. Kwa kweli kwa kuwa na "shughuli" kila siku na kila wakati unapopatikana mwanya sio vyema kiimani na hata kiafya, ingawa sio dhambi.

Ushauri wangu ni "kupatana" kama miezi mitatu ni mingi wapatane itakuwa kwa muda gani mwingine, na kama miezi mitatu ni michache pia wapatane. Sie hatuna haki ya kuwaingilia bali ni wao na talanta zao walizopewa na bwana.

Mungu wetu ni mkuu sana!

Glory to god!

umeubariki sana moyo wangu .................... Mungu akubariki sana miss judith .... Kiwango chako cha hekima mungu akiongeze kwa faida ya wengi .........again blessings to you - ushauri wako umetulia sana - akiufata hakika atafanikiwa.
 
asante mpendwa kwa kunitia moyo na dua njema. nami pia nimebarikiwa sana na post yako hii

sifa na utukufu wote apewe Bwana Yesu!

ubarikiwe sana mpendwa
 
Back
Top Bottom