Zoezi la uandikishaji BVR Mikoa ya Kusini

tufe

JF-Expert Member
Apr 24, 2015
750
290
Habari zenu wanajukwaa.
Ndugu wanajukwaa, kama mnavyofahamu kwamba tume ya taifa ya uchaguzi NEC ipo katika zoezi la uandikishaji wapiga kura kwa kutumia BVR(biometric voter's registration book)katika mikoa ya kusini(Lindi,Mtwara na Ruvuma)pamoja na mkoa wa Iringa. Hivyo nilitaka kujua je tume inatoa mrejesho kwa maana inatoa idadi ya wapiga kura walioandikishwa kwa kila siku? Na je mawakala wa UKAWA wanapewa hizo data? Hii ni kwa sababu hawa jamaa hawaminiki vizuri. Wanaweza kuandikisha watu1000 halafu wakasema wameandikisha5000. Wanaweza kuongeza wapiga kura hewa ili kuja kurahisisha uchakachuaji katika kipindi cha uchaguzi. Mwenye taarifa juu ya zoezi hili tunaomba atujuze.

Asante.
 
Huyu mzee jaji lubuva heshima yake na ya watoto wake itashuka na kuwa mbaya kuliko hata ya shetani.mzee simama wima.
 
Mwenye data jamani. Hususani Iringa mjini kwa Msigwa zoezi linaendeleaje?
 
hakuna mwenye data.
ngoja watupe link ya saver yao tutakuwa tunacheki wenyewe, hawana haja ya kuita waandishi wahabari.
 
Back
Top Bottom