SINA JINA1
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 391
- 151
Kwa hii serikali ya Jk iliyojaa uswahiba bila uadilifu ,hili uliloandika linawezekana kabisaHuwa nahisi wanatafuta acc ambazo zinahela hata laki mbili na hazijawa updated kwa muda mrefu, afu wao waka-assume pengine wamiliki wa acc hizo walishakufa kwa maajali ya tz, ili wajinufaishe.
Kwa kawaida watu wengi wana-acc nyingi na pengine familia zao hawazifahamu kabisa.