Zizou vs Ronaldinho

<br />
<br />
Na mchango wake aliuonyesha ktk fainali ya worldcup mwaka 2006 pale aliposhindwa kufurukuta mbele ya sungusungu Simon Perotta, Daniel De Rossi, Andrea Pirlo na Genarro Gattuso.


Generali Fabio Canavaro alikuwa anasaidiana na Brigadia Generali Marco Materazzi wa Bridedi ya Via Turatti pale Milan...

Zidane alistahafu Soka kwa Aibu kubwa.
Alifanya upuuzi ambao unaweza kufanywa na Haruna Moshi na wachezaji wa Mchangani
zidane was the best player of the past 20 years....si maneno yangu bali ya marcello lippi kocha wa hao italy unaowasifia mwaka 2006!kauli hii aliitoa mwaka huohuo 2006!wanaume kombe uwanjani vinjino gaucho kitambo na chama lao walishafungasha virago!na kama una kumbukumbu nzuri nadhani utakumbuka washabiki wa brazil walitoa kauli gani baada ya game ya brazil na france kuisha!!!!uwanja mzima kulikuwa na mbrazil mmoja tu naye ni zinadine zidane!si maneno yangu bali ya washabiki wa kibrazil walioshuhudia shughuli ya zizzou dimbani mbele ya wabrazil wenzao
 
Na mchango wake aliuonyesha ktk fainali ya worldcup mwaka 2006 pale .............................................................................................................
Unampima mchezaji kwa mechi moja?
 
kwa wanaojua soka huwezi hata kujaribu kumfananisha mchezaji yeyote wa kipindi hiki na Zidane! Ndie anaaminika bora kabisa baada ya pele na maradona.
 
zidane ana vitu vingi sana ambavyo gaucho hana,hakuna kitu kigumu kama wabrazil ku admire mtu ila kwa zidane wanaamini ni mfalme! Tuache masihara jamani,Zidane ni hazina ufaransa itawachukua karne kuipata!
 
Mchezaji anapimwa kwa vitu vingi sana na zaidi sana umakini wake wake akiwa dimbani na utulivu na hata akili anazotumia Zidane hutoa na kufanya vitu vya tofauti na wachezaji wengine naomba kusema bado sijaona mchezaji wa kumfananisha naye achana na Ronaldinho.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom