KIM KARDASH
JF-Expert Member
- Sep 21, 2011
- 5,139
- 1,139
Simba bwana!hivi kwanini mashindano ya kimataifa yanawashindaga hawa wanyama ?
Mara mbili mfululizo,msijisahaulishe hilo,na pili simba imechukua mara 6 zote ikiwa ni hapahapa bongo,yanga imechukua mara mara moja ikiwa nje ya nchi,nane bora ya club bingwa africa timu ya kwanza kuingia katika ukanda mzima wa afrika mashariki na kati ikiwemo congo ni yanga baada ya kuitoa coffee ya Ethiopia iliyoitoa National al Ahly ya misri kabla ya kukutana na yanga na kuchezea bao 6-0 pale Temeke a.k.a. shamba la bibi,weka kumbukumbu sawa.Kukusaidia zaidi timu ya mwisho kutuabishakwa kupigwa goli nyingi kwenye mashindano ya kikombe ya africa ni simba,mwaka juzi ilichezea 5-0 mbele ya Harras Al Hadood ya misriMashindano ya kimataifa yapi unayoongelea? Hilo kombe la afrika mashariki na kati Simba kachukua mara nyingi kuliko timu nyingine yoyote (mara sita), kafika fainali ya kombe la CAF, kafika nane bora ya klabu bingwa ya Afrika, na mara kadhaa hajaishia raundi ya kwanza kama Yanga. Kuchukua mara 2 hilo kombe mnajisahau sasa mnaanza kutukana kaka zenu kwenye upande wa kimataifa?!!
Mashindano ya kimataifa yapi unayoongelea? Hilo kombe la afrika mashariki na kati Simba kachukua mara nyingi kuliko timu nyingine yoyote (mara sita), kafika fainali ya kombe la CAF, kafika nane bora ya klabu bingwa ya Afrika, na mara kadhaa hajaishia raundi ya kwanza kama Yanga. Kuchukua mara 2 hilo kombe mnajisahau sasa mnaanza kutukana kaka zenu kwenye upande wa kimataifa?!!
wenye kombe la ukweli miaka miwili mfululizo lazima wawe na nyuso za furaha, na wale waliozoe kuchukua makombe ya mbuzi lazima wawe na nyuso za uzuni
huwezi kuweka picha za namna hii ukasema zitolewe ufanunuzi kwani zimepigwa ktk matukio tofauti(wengine wako kwenye picha ya pamoja kwa kutambulisha kombe bungeni na wengine wamekaa kwa kutulia wakiwa wanasikiliza majadiliano bungeni) japo wote wako Bungeni.
Simba bwana!hivi kwanini mashindano ya kimataifa yanawashindaga hawa wanyama ?
simba imara 5-0 daima inawatesa wanayebo yebo
Record ipi kwa mfano,yanga wana record ya vikombe tena kwa kuchukua vikombe vya kimataifa mpaka nje ya mipaka ya bongo,simba for more than five years now hawana kikombe chochote cha kimataifa,huo ndio ukweli,tengenezeni timu acheni ujanja ujanja wa kucheza na marefa,kuna mwaka mlimaliza ligi ya bongo kwa kutofungwa hata mchezo mmoja hapa,lakini unakumbuka nini kiliwapa mlivuka mpaka na kuingia rwanda tu hapo kwenye kagame?na baada ya hapo unakumbuka mlifanywa nini na Harras el hadood ya Egypt???kukusaidia tu ni kwamba kwenye kagame hamkushinda mechi hata moja,kwenye champion league ya afrika ndio mkachezea hamsa(5-0)mbele ya Harras el Hadood,hayo ndio mashindano ya kimataifa na jinsi yanavyowatesa.Simba na yanga ni timu ipi yenye record nzuri mashindano ya kimataifa?hako kakombe ndo kanawapa kichwa ngoja na mwaka huu kwenye ligi kuu muuishie kukamata nafasi ya 3
ukweli ni kwamba wote walipeleka tuzo,tofauti ni kwamba wamoja yao ilikua ni ya mbao then ya just kuifuna yanga kwenye mechi moja na wengine ni kikombe cha kimataifa walichokitwaa baada ya kuzishinda timu zote bora za ukanda mzima wa afrika mashariki na wakiwemo mafundi wa mpira congo,ndio tofauti yetu,thats why unaona hata shangwe baina yetu hapo pichani ni tofauti kidogo,unaweza kuchukua ubingwa usiwe na furaha badala yake ukawa kama mfiwa???hii hakuna dunia nzima,sura za ubingwa wa ukweli hazifichiki hata iweje,uso utaonyesha nuru tu.Jipangeni bwana hizi ngao za hisani sijui kombe la mapinduzi,kombe la malaria na n.k. havitawafikisha popotehuwezi kuweka picha za namna hii ukasema zitolewe ufanunuzi kwani zimepigwa ktk matukio tofauti(wengine wako kwenye picha ya pamoja kwa kutambulisha kombe bungeni na wengine wamekaa kwa kutulia wakiwa wanasikiliza majadiliano bungeni) japo wote wako Bungeni.
Simba wajitayarishe mda si mrefu watani wa jadi wa yanga watakua azam
Mara mbili mfululizo,msijisahaulishe hilo,na pili simba imechukua mara 6 zote ikiwa ni hapahapa bongo,yanga imechukua mara mara moja ikiwa nje ya nchi,nane bora ya club bingwa africa timu ya kwanza kuingia katika ukanda mzima wa afrika mashariki na kati ikiwemo congo ni yanga baada ya kuitoa coffee ya Ethiopia iliyoitoa National al Ahly ya misri kabla ya kukutana na yanga na kuchezea bao 6-0 pale Temeke a.k.a. shamba la bibi,weka kumbukumbu sawa.Kukusaidia zaidi timu ya mwisho kutuabishakwa kupigwa goli nyingi kwenye mashindano ya kikombe ya africa ni simba,mwaka juzi ilichezea 5-0 mbele ya Harras Al Hadood ya misri