DALLAI LAMA
JF-Expert Member
- Jan 31, 2012
- 8,651
- 2,627
PJ kumbe ira liang 2kul...tehe.. tehe.ARA NANU OLKORIANGAI
mnazingua...andikeni lugha ya kueleweka bwana au anzisheni forum ya kilugha chenu muongee kilugha
Hapa Mkuu umesoma mawazo yangu, ni suala lilikuwa niliingize kwenye maelezo yangu.
Nilianza hapo juu na kusema kuwa hii nchi ni ya Kusadikika, ni nchi ya kuhemea fursa, ni nchi ya mmoja kuendelea kwa mgongo wa mwenzake....
Bahati mbaya kwa sasa kwa Tanzania, hatuna upinzani ulioungana na/au uliotayari kufanya hivo. Hoja ya kutokuwa na imani na serikali (PM), ingawa ilikuwa ya CDM, ilipaswa iwe ya wapinzani wote, kama sio ya wabunge wote. Mkuu, umeangalia ni wabunge wangapi wa upinzani hawakusaini ile fomu? Kwa nini? Hao ndio kikwazo, hao ndio wanasubiri vinywa wazi "tonge idondoshwe waidake wao".
Hapa hapa jamvini, njoo na hoja ya kuwataka wapinzani waungane uone utakavyopata jawabu za kutisha:
- CUF ni CCM B
- Mrema anatumiwa na CCM
- TLP hivi, UDP vile.
Mkuu, bado naamini Roma haikujengwa siku moja, nikiwa na maana tuendelee na mapmbano na Njia yoyote inakufikisha Roma, nikiwa na maana tunaweza kutafautiana njia lakini bado lengo likawa ni moja - KUIKOMBOA TANZANIA. Mimi na wewe, na wengine wengi, tuendelee kuwahamasisha, kuwafahamisha na kuwaongoza Watanzania KUIKOMBOA TANZANIA
mnazingua...andikeni lugha ya kueleweka bwana au anzisheni forum ya kilugha chenu muongee kilugha
Noted Mkuu!
hii imekaa vizuri ila heading iko off kidogo!
ongeza sasa, noted halafu hufanyi marekebisho? weka font ya nne, halafu fanya bolded, irtakuwa njeama sana
ongeza sasa, noted halafu hufanyi marekebisho? weka font ya nne, halafu fanya bolded, irtakuwa njeama sana
Sidhani kama kujiuzulu kwa wabunge ni suluhisho sahihi bali kinachotakiwa ni kwa wabunge kukataa kujadili hoja zote za serikali ikiwa ni pamoja na kutopitisha bajeti!
Hapa tatizo ni huyu mama mwenye sura m.ba..ya kama Ken..ng...e anashindwa kabisa kusimamamia sheria zinavyosema naa yeye anaadeal na watu waliomuweka madarakani kuwakingia kifuu na pia kuzui Bunge kuwajadili pie yeye hana nia njema kabisa na nchi hii kwani sasa anajijengea maisha ya kuustaafu so anaona ooh i dont care soon i'll be ritired so let it burn pasibo kufahamu kuwa ndio kabisa anachachua.
Kama kweli huyu bibi ana nia njema ya kutetea maslahi ya nchi bunge lingekuwa safi sana na hata Serikali ya hawa Magamba wasingesubutu kupeleka miswada uchwara Bungeni.Hapa ni kuamua moja tu Nguvu ya Umaa aaaaaa basi sie ndio wenye majibu i mean we have full packeg so we need action kutoa hizi takataka.
Watanzania walio wengi ikiwa ni pamoja na Wabunge, Viongozi wa ngazi mbali mbali Serikalini, Viongozi wa dini na watu wengine wa kada mbalimbali walitegemea na walikuwa na matumaini chanya katika hotuba ya Waziri Mkuu wakati akilihitimisha Bunge la 10 katika Mkutano wake wa 7 na Kikao chake cha 10 tarehe 23.04.2012, matumaini ambayo yamekuwa tofauti kabisa na mategemeo yao hivyo kupelekea walio wengi kubaki kujiuliza ni nini hatma yaTaifa letu.
Nitaomba nianzie mbali kidogo, ukiacha ile Ibara ya 64(1) ya Katiba (1977) inayoipa Bunge mamlaka na madaraka ya kutunga Sheria, Ibara ya 63(2) ya Katiba inatamka wazi nanukuu Bunge itakuwa ndicho chombo kikuu cha Jamhuri ya Muungano ambacho kitakuwa na madaraka, kwa niaba ya wananchi, kuisimamia na kuishauri Serikali ya Jamhuri ya Muungano na vyombo vyake vyote katika utekelezaji wa majukumu yake kwa mujibu wa Katiba hii.
Katiba hiyo hiyo Chini ya Ibara ya 96(1) inaipa Bunge nguvu ama uwezo, wa kuunda Kamati mbali mbali kwa ajili ya ufanisi wa kazi za Bunge kazi ambazo zimeshatajwa hapo juu. Na bila ya kuathiri masharti ya Ibara 96(1), Kanuni za Kudumu za Bunge (2007), Kanuni ya 115 pia inatambua uwepo wa Kamati za Kudumu za Bunge. Vile vile Kanuni hiyo ya 115 ndiyo inayotambua na kuipa nguvu Nyongeza ya Nane ya Kanuni za Kudumu za Bunge.
Nyongeza ya Nane ya Kanuni, katika Sehemu yake ya Kwanza inatambua Kamati za Kudumu zisizo za Sekta, Sehemu ya Pili inatambua Kamati za Kudumu za Bunge za Sekta na sehemu ya Mwisho ni ile inayotambua Kamati ya Kudumu za Bunge zinazosimamia Fedha za umma. Ni sehemu ile ya Pili pamoja na ya Tatu ambayo Kamati ya Zitto Zuberi ambaye ni Mwenyekiti pamoja na Wenyev
Presidaa umenena ila implimentation yake ni ngumu kwa utaratibu wa watz kutopenda kuwajibika na ubinafsi
Naunga mkono hoja