Zitto Z. Kabwe hapigi kelele tu bali vitendo vyake vinaonekana

mate yananichuruzika kwa fedha alizo nunulia hummer na kujaza mafuta kila siku angeweka risti hapa ungejua kweli kuna kitu behind
kinanifanya mate yachuruzike

Yaani mtu ana akili inayo mtuma kuown hammer, wakati huohuo anatuonyesha risiti alizokataa malipo, yeye anajua waTZ wengi hawa jui gharama za kuirun hiyo hammer. Mmarekani mwenyewe aliye iunda ameibatiza jina la gasgazuller(bugia mafuta), hayo mafuta ya kubugiwa na hammer anayanunua vipi kama si fisada katika ngozi ya kandoo.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom