Zitto vs Waziri wa ulinzi bungeni leo

kitero

JF-Expert Member
Feb 21, 2012
563
109
Kweli tunakoelekea siyo, kingozi anapo acha kujibu hoja za maana anaanza mambo ya chadema ya ukanda,Zito kauliza katika muungano wa Zanziba na TZ sijawahi kusikia mkuu wa majeshi ametoka Zanzibar,kambiwa tunajiandaa lakini hata mimi sijawahi kusikia Mwenyekiti wa Chadema ametokea Kigoma.CDM kazi mnayo.
 
Zitto nae kauliza swali gani hlo,mbona nae anaanza kuwa na akili ka za mwenyekiti wa chama chake?
 
Kweli tunakoelekea siyo, kingozi anapo acha kujibu hoja za maana anaanza mambo ya chadema ya ukanda,Zito kauliza katika muungano wa Zanziba na TZ sijawahi kusikia mkuu wa majeshi ametoka Zanzibar,kambiwa tunajiandaa lakini hata mimi sijawahi kusikia Mwenyekiti wa Chadema ametokea Kigoma.CDM kazi mnayo.
kazi kwelikweli!!!!huyo waziri ndo anauliza hilo swali!!!hana tofauti na vibalaka wa nyinyiem waliomo hum jf.yawezakuwa huwa wanakutana kutafuta maswali ya kitoto.balaa
 
Ndio "Dr." Nchimbi kajibu hivyo?

Hoja ya Zitto hasa ilikuwa ni nini ktk hilo swali? Tuwekeeni kitu kamili tafadhili
 
Kwani CDM imeshawahi kuwa na Wenyeviti wangapi? Na kuna wenyeviti wangapi wa CCM waliowahi kutokea Kigoma?
 
Ulikuwa ni Utani wanye chembe ya ukweli......siasa sio kilakitu serious..

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Wote wamechemsha Zito, na Waziri wa Ulinzi. nani kasema viongozi wanateuliwa au kuchaguliwa kwa Ukanda. Ina maana kama kajibu hivo basi afadhali waziri wa Ulinzi anajua Zanzibar si nchi ila ni Mkoa ndani ya Tanzania kama ilivyo Kigoma. Kwa lugha nyingine jibu la Waziri linaweza kuwa sahihi kuliko swali la zito.
 
Swali la kipuuzi sana sikutegemea Zitto anaweza kuuliza ujinga kiasi hiki.Hatugawicheo kwa kuangalia mtu katokea wapi bali uwezo wa mtu.
 
Waziri alikuwa ana maanisha kuwa kiongozi hachaguliwi kwa ukanda bali kwa sifa stahiki.

Nahili swali la zito limeulizwa na wabunge wengi na lika jibiwa

kwani alitumia mfano wa mwalimu j.k kuwa kuuliza kabila au ukanda tunataka kutambika?

Kwa hili swali zitto hakufikiria.
 
aliye mjibu hivyo ni mtu asiyefikiria na hapendi kufikiria...maana hayo ni majibu ya kwenye siasa za maji taka na siyo majibu ya mwenye kutumia ubongo au ni wassira nini? au nchimbi kama ni kiongozi bac kipimo cha IQ kinatakiwa vinginevyo nchi itakuwa masikini kwa miaka yote mpaka watu kama hao wasipate fursa ya kushiriki katika panel ya washauri wa mstakabali wa maendeleo ya nchi
 
Ngoja Z aje atuambie alikuwa na maana gan kuuliza swali la "kibaguzi" mjengoni wakat tunaelekea kuiangusha CCM.
 
Wala Humuhitaji Zitto kuelewa maana ya hilo swali.

Jeshi la Ulinzi na usalama wa Raia viko chini ya wizara ambazo ni za Muungano kwa maana hiyo ni taasisi za Muungano. wakuu wa majeshi haya kwanini wanateuliwa kutoka upande mmoja tu wa Muungano? hilo ndio maana ya swali. Sasa waziri anapochombeza kuwa Mbona mwenyekiti wa Chadema hajawahi kutoka Kigoma mahusiano hapo yako wapi kati ya swali na jibu?
 
Kweli tunakoelekea siyo, kingozi anapo acha kujibu hoja za maana anaanza mambo ya chadema ya ukanda,Zito kauliza katika muungano wa Zanziba na TZ sijawahi kusikia mkuu wa majeshi ametoka Zanzibar,kambiwa tunajiandaa lakini hata mimi sijawahi kusikia Mwenyekiti wa Chadema ametokea Kigoma.CDM kazi mnayo.

hahahahahaaa kwikwikwikwikwi bwabwabwabwabwab! aaah hii ya leo imenichekesha sana
 
Kweli tunakoelekea siyo, kingozi anapo acha kujibu hoja za maana anaanza mambo ya chadema ya ukanda,Zito kauliza katika muungano wa Zanziba na TZ sijawahi kusikia mkuu wa majeshi ametoka Zanzibar,kambiwa tunajiandaa lakini hata mimi sijawahi kusikia Mwenyekiti wa Chadema ametokea Kigoma.CDM kazi mnayo.

Miaka 47 ya Muungano, bado wanajiandaa tu kupata Mkuu wa majeshi mzanzibari!? Sasa vitu kama hivi ndio vinawapa Nguvu wana UAMSHO kuona kuwa Zanzibar iko chini ya ukoloni mamboleo kwa Watanganyika.

Swali la Nyongeza kwa Mh Waziri:

Je Rais wa zanzibar ana mamlaka yapi juu ya Jeshi la polisi na Jeshi la ulinzi?
 
Hili swali linaprove theory yangu kwamba, "Those who have spent their entire life in politics often become spin artists rather than thinkers. They lose attention span. Moreover, young people who go directly into elective politics often lose the ability to think critically."
 
Back
Top Bottom