Tympa
Member
- Mar 19, 2011
- 99
- 25
Wana JF jana jioni nimemsikia huyu kibonde akisema kama serikali imeamua kukopa katika benki za ndani ili kulipa mishahara ya watumishi wake haina neno so long as itakaporejesha deni hilo fedha izo zitatumika kuinua uchumi wa humu humu nchini,kivipi wachumi naomba mnisaidie??serikali ikope stanbic au exim irejeshe iyo pesa inasaidia vp uchumi wetu??? labda kama iyo pesa iliyokopwa ingekuwa kwa shuguli ya maendeleo kujenga barabara,hospitali nk lakini kwa kulipa mishahara,bado hai click. Tusaidiana wanajf uyo ndio kibonde na radio yao ya clouds CCM B...!!!
kibonde ni moja kati ya watangazaji wanafanya clouds ionekane pro-ccmagamba hasa kwa mambo ya kidwanzi(kijinga). Tatiza lake na kwamba anavamia kujadiri mamo asiyoyaweza(elimu inambana). Na ndiomaana he end's up with pour reasoning and transient(sort lived) decisions live in public.