Zitto: Viongozi wanaua Viwanda vyetu kwa Maslahi yao ya Kibiashara

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
42,315
33,111




Naibu Katibu Mkuu wa Chadema Mh Zitto Kabwe ameitaka Serikali kufufua viwanda na kujenga vingine ili kuendana na Ongezeko la watu nchini. Zitto amesema viongozi hawapiganii kufufua Viwanda kwa sababu wananufaika na kukosekana kwa bidhaa za Viwandani kwa mfano Sukari


Mwenyeezi Mungu akulinde na mabalaa mheshimiwa Zitto kabwe unasema kweli kabisa hongera.......
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom