Mzito Kabwela
JF-Expert Member
- Nov 28, 2009
- 18,857
- 7,615
Du...Siku hizi watu wanapeana staregy katika mitandao ya wazi....... Hizi PR hizi!!!
Omarlyasi hapa umetumia masaburi kufikiri
Du...Siku hizi watu wanapeana staregy katika mitandao ya wazi....... Hizi PR hizi!!!
tuna kama miezi miwili tu kabla ya kikao cha bunge la bajeti kuanza; endapo hoja ya kutokuwa na imani itatolewa sasa na kama spika atakubali kuitisha kikao maalum ndani ya siku 14 (kwani haiwezi kutolewa kwenye kikao cha sasa) manake ni kuwa hoja kama hiyo haiwezi kuletwa ndani ya miezi sita. Ukishapata kura hizo sabini au zaidi basi unapanga kuleta hoja hiyo kwenye kikao kijacho na kuondoa kuzuiwa na muda kufanya hivyo.
Lakini zaidi watu wasije wakachanganya vitu viwili - kuleta hoja ya kutokuwa na imani na waziri mkuu na kupiga kura ya kutokuwa na imani na waziri mkuu. Ili hoja iweze kuletwa bungeni zinahitajika asilimia 20 tu ya wabunge (ndipo namba ya kura 70 inapokuja). Kura 70 haziwezi kumuondoa waziri mkuu; zinaweza tu kufanya hoja iletwe bungeni. Baada ya kuletwa bungeni na wabunge kupiga kura inahitajika asilimia 50+1 kwa bunge kupitisha azimio la kutokuwa na imani na waziri mkuu.
Hii ina maana ili azimio lipitishwe zinahitajika kura 178 na siyo 70!
Sasa haitoshi kufanya hoja iletwe bungeni tu (kwa kura 70) lakini tunataka inapoletwa bungeni ni kweli kuna uwezekano wa ku-effect the removal of the prime minister. Jambo zuri ambalo limetokea ni kuwa kwa mara ya kwanza watanzania tunazungumzia njia ya kidemokrasia ya kumuondoa waziri mkuu. Kwa hili zitto amethubutisha watu kufikiria uwezekano huo na hili litaingia kwenye historia vizuri kabisa. Lakini pia linafanya watu wazungumzie juu ya madaraka ya waziri mkuu kusimamia serikali yanakoma wapi na kama ni mtu sahihi kumwajibisha.
Ikumbukwe pia kuwa hoja ya kumshtaki rais chini ya article 46 ni rahisi zaidi kwani nayo inahitaji kura 70 kuweza kuletwa mezani na sababu za kumshtaki rais bungeni ni za chini kidogo - mojawapo ni kuwa amedhalilisha ofisi ya urais! Nimesema mahali pengine kuwa kutokuwa na imani nawaziri mkuu ni kutokuwa na imani na rais hivi viwili kwa mfumo wetu havitenganishwi. Wote ambao wameunga mkono kwa kutia sahihi kura 70+ ina maana hawana imani na rais hakuna tafsiri nyingine. Kwa vile hili ni kweli ni muhimu basi kwenda moja kwa moja for the "jugular" yaani kuleta mashtaka dhidi ya rais katika kikao kijacho!
Kwa kuleta mashtaka dhidi ya rais na yakathibitika basi rais atajiuzulu na makamu wa rais atashika madaraka na atapewa nafasi ya kuunda serikali mpya bila kulazimisha uchaguzi mpya. Lakini kama tunataka mabadiliko ya kweli hadi bungnei (kwa sababu wengine tunaamini matatizo hayako kwa waziri mkuu au rais peke yake bali hadi bungeni) basi azimio la kumtaka rais avunje bunge litolewe ili wote (kuanzia rais hadi wabunge) warudi kwa wananchi ili kupata ridhaa mpya (a new mandate). Tusitake mabadiliko nusu kwani hakuna mapinduzi nusu (there is no half-revolutions)! Kama tunataka kubadilisha tubadili kitu chote kizima!
So, kwa sasa nashauri a strategic withdrawal ya hoja hii!!
Hili la kutopeleka hoja J3 nakubaliana nalo kwa misingi ya muda umeisha iangaliwe bunge lijalo, lakini tusibadilishe kauli mbiu ya kumwajibisha waziri mkuu,huu ni mwanzo mzuri na ''ROMA HAIKUJENGWA SIKU MOJA'' mambo mengine ya kumwajibisha mkuu wa kaya yatafuata.Unapozungumza suala la kuvunja bunge mi naona hii nayo ni plan ya kuwanusuru mafisadi maana itabadilisha mwelekeo wa hoja kwani hili linaleta utata kwa wabunge wengi kama si wote,wengi wakisikia hoja hiyo si ajabu hata waliosaini wakawithdraw kwani ni wachache watakuwa na uhakika wa kurudi mjengoniTuna kama miezi miwili tu kabla ya kikao cha Bunge la bajeti kuanza; endapo hoja ya kutokuwa na imani itatolewa sasa na kama Spika atakubali kuitisha kikao maalum ndani ya siku 14 (kwani haiwezi kutolewa kwenye kikao cha sasa) manake ni kuwa hoja kama hiyo haiwezi kuletwa ndani ya miezi sita. Ukishapata kura hizo sabini au zaidi basi unapanga kuleta hoja hiyo kwenye kikao kijacho na kuondoa kuzuiwa na muda kufanya hivyo.
Lakini zaidi watu wasije wakachanganya vitu viwili - kuleta hoja ya kutokuwa na imani na Waziri Mkuu na kupiga kura ya kutokuwa na imani na waziri mkuu. Ili hoja iweze kuletwa Bungeni zinahitajika asilimia 20 tu ya wabunge (ndipo namba ya kura 70 inapokuja). Kura 70 HAZIWEZI kumuondoa Waziri Mkuu; zinaweza tu kufanya hoja iletwe Bungeni. Baada ya kuletwa bungeni na wabunge kupiga kura inahitajika asilimia 50+1 kwa Bunge kupitisha Azimio la kutokuwa na imani na waziri mkuu.
Hii ina maana ili azimio lipitishwe ZINAHITAJIKA kura 178 na siyo 70!
Sasa haitoshi kufanya hoja iletwe Bungeni tu (kwa kura 70) lakini tunataka inapoletwa Bungeni ni kweli kuna uwezekano wa ku-effect the removal of the Prime Minister. Jambo zuri ambalo limetokea ni kuwa kwa mara ya kwanza Watanzania tunazungumzia njia ya kidemokrasia ya kumuondoa Waziri Mkuu. Kwa hili Zitto amethubutisha watu kufikiria uwezekano huo na hili litaingia kwenye historia vizuri kabisa. Lakini pia linafanya watu wazungumzie juu ya madaraka ya Waziri Mkuu kusimamia serikali yanakoma wapi na kama ni mtu sahihi kumwajibisha.
Ikumbukwe pia kuwa hoja ya kumshtaki Rais chini ya article 46 ni RAHISI zaidi kwani nayo inahitaji kura 70 kuweza kuletwa mezani na sababu za kumshtaki Rais Bungeni ni za chini kidogo - mojawapo ni kuwa amedhalilisha ofisi ya Urais! Nimesema mahali pengine kuwa kutokuwa na imani naWaziri Mkuu ni kutokuwa na imani na rais hivi viwili kwa mfumo wetu havitenganishwi. Wote ambao wameunga mkono kwa kutia sahihi kura 70+ ina maana hawana imani na rais hakuna tafsiri nyingine. Kwa vile hili ni kweli ni muhimu basi kwenda moja kwa moja for the "jugular" yaani kuleta mashtaka dhidi ya Rais katika kikao kijacho!
Kwa kuleta mashtaka dhidi ya Rais na yakathibitika basi rais atajiuzulu na Makamu wa Rais atashika madaraka na atapewa nafasi ya kuunda serikali mpya bila kulazimisha uchaguzi mpya. Lakini kama tunataka mabadiliko ya kweli hadi Bungnei (kwa sababu wengine tunaamini matatizo hayako kwa Waziri Mkuu au Rais peke yake bali hadi Bungeni) basi azimio la kumtaka Rais avunje Bunge litolewe ili WOTE (kuanzia Rais hadi wabunge) warudi kwa wananchi ili kupata ridhaa mpya (a new mandate). Tusitake mabadiliko nusu kwani hakuna mapinduzi nusu (there is no half-revolutions)! Kama tunataka kubadilisha TUBADILI KITU CHOTE KIZIMA!
So, kwa sasa nashauri a strategic withdrawal ya hoja hii!!
Kaka au Dada (sielewi ipi sahihi) unaejiita MzeeMwanakijiji, ngoja chama chako cha CCK ndio ukipe ushauri huo. Zitto anapeleka Jumatatu na yeye anakijuwa akifanyacho zaidi yako. Ushauri wako hauna mshiko.
Hapana, kilichofanywa na Zitto ni kufire a "warning shot' na kutuma ujumbe kuwa we can fight to the very end. La maana nikutambua kuwa hii ni vita na hupigani tu alimradi kupigana; unapigana ili kufikia matokeo fulani. Sasa mimi sitaki matokeo ambayo yatarudisha Waziri Mkuu wa CCM, baraza jipya la CCM, na rais wa CCM tutakuwa hatujabadilisha kitu zaidi ya kubadilisha tu upande wa shilingi - thamani yake ni ile ile.
sasa kama lengo ni kumuondoa tu waziri mkuu ili waziri mkuu mwingine wa CCM aje well that fine and dundee lakini kubadilisha tu waziri mkuu kumetusaidia vipi baada ya kuondoka kwa Lowassa? Hivi katika wabunge wote wa CCM leo hii mnafikiria yupo ambaye atakuwa tofauti sana? na kwamba ndani ya wabunge wa CCM linaweza kuundwa baraza tofauti na mabaraza yaliyopita?
Mabadiliko sahihi niyale yatakayoiondoa CCM madarakani au kuipunguzia nguvu yake!
umenoa!
Hoja ya mm naifananisha na capet bomb. Imekaa kiuzuri zaidi.
Hatufanyi jaribio ili kuandika historia, tunaandika ourstoria, pinda ni kiwiliwili, nyoka apigwa kichwa, kichwa hicho ni jk, ukimjeruhi kidogo kichwani atatia adabu, na kama pigo litakuwa takatifu, itakuwa shangwe kusini kaskazini mashariki magharibi.
kutokupeleka hoja jumatatu itakuwa ni mistake kubwa ya timing ambayo zito ataifanya!
(1) wabunge wa ccm wanaweza kuwithdraw saini zao ikiwa mambo yatapoa
(2) wabunge wa cuf wanaweza at any time kuwithdraw saini zao pia
(3) kungoja miezi kadhaa ijayo ni kumpa pinda/serikali kutumia nafasi ya kutumia vyombo vyake kuwanyoosha/kuwarubuni/kuwahadaa/kuwatisha wale wote wenye muelekeo wa kuinga mkono hoja miongoni mwa wabunge.
Kitu kingine ni kwamba hakuna mantiki ya kusubiri anyway, kwa sababu hata akipeleka jumatatu, hoja itasikilizwa kikao kijacho, na akipeleka kikiao kijacho itasikilizwa at least kikao kijacho pia, sasa why wait?- ushauri wa mwanakijiji hauko stratergic na namshauri zitto afanye haraka kuipeleka hiyo hoja isije ikamzimika mikononi.
Wazungu wanasema "strike the iron while it is still hot"- kwa hiyo the sooner the better, na wazee wetu wakasema chelewa chelewa utakuta mwana si wako!- zitto peleka hoja jumatatu.
that is exactly the point; kama wote waliotia sahii wamefanya hivyo out of 'mob psychology' itajulikana. Kama wapo waliotia sahihi out of 'principle' nao watajulikana.
wewe uko bungeni? kwanini unafikiri watu wengi wanapenda kuingia Bungeni?
that is exactly the point; kama wote waliotia sahii wamefanya hivyo out of 'mob psychology' itajulikana. Kama wapo waliotia sahihi out of 'principle' nao watajulikana.
Sijakupata swali hili na maada tajwa ni tofauti sana
Politics is all about Mob psychology
Tuna kama miezi miwili tu kabla ya kikao cha Bunge la bajeti kuanza; endapo hoja ya kutokuwa na imani itatolewa sasa na kama Spika atakubali kuitisha kikao maalum ndani ya siku 14 (kwani haiwezi kutolewa kwenye kikao cha sasa) manake ni kuwa hoja kama hiyo haiwezi kuletwa ndani ya miezi sita. Ukishapata kura hizo sabini au zaidi basi unapanga kuleta hoja hiyo kwenye kikao kijacho na kuondoa kuzuiwa na muda kufanya hivyo.
Lakini zaidi watu wasije wakachanganya vitu viwili - kuleta hoja ya kutokuwa na imani na Waziri Mkuu na kupiga kura ya kutokuwa na imani na waziri mkuu. Ili hoja iweze kuletwa Bungeni zinahitajika asilimia 20 tu ya wabunge (ndipo namba ya kura 70 inapokuja). Kura 70 HAZIWEZI kumuondoa Waziri Mkuu; zinaweza tu kufanya hoja iletwe Bungeni. Baada ya kuletwa bungeni na wabunge kupiga kura inahitajika asilimia 50+1 kwa Bunge kupitisha Azimio la kutokuwa na imani na waziri mkuu.
Hii ina maana ili azimio lipitishwe ZINAHITAJIKA kura 178 na siyo 70!
Sasa haitoshi kufanya hoja iletwe Bungeni tu (kwa kura 70) lakini tunataka inapoletwa Bungeni ni kweli kuna uwezekano wa ku-effect the removal of the Prime Minister. Jambo zuri ambalo limetokea ni kuwa kwa mara ya kwanza Watanzania tunazungumzia njia ya kidemokrasia ya kumuondoa Waziri Mkuu. Kwa hili Zitto amethubutisha watu kufikiria uwezekano huo na hili litaingia kwenye historia vizuri kabisa. Lakini pia linafanya watu wazungumzie juu ya madaraka ya Waziri Mkuu kusimamia serikali yanakoma wapi na kama ni mtu sahihi kumwajibisha.
Ikumbukwe pia kuwa hoja ya kumshtaki Rais chini ya article 46 ni RAHISI zaidi kwani nayo inahitaji kura 70 kuweza kuletwa mezani na sababu za kumshtaki Rais Bungeni ni za chini kidogo - mojawapo ni kuwa amedhalilisha ofisi ya Urais! Nimesema mahali pengine kuwa kutokuwa na imani naWaziri Mkuu ni kutokuwa na imani na rais hivi viwili kwa mfumo wetu havitenganishwi. Wote ambao wameunga mkono kwa kutia sahihi kura 70+ ina maana hawana imani na rais hakuna tafsiri nyingine. Kwa vile hili ni kweli ni muhimu basi kwenda moja kwa moja for the "jugular" yaani kuleta mashtaka dhidi ya Rais katika kikao kijacho!
Kwa kuleta mashtaka dhidi ya Rais na yakathibitika basi rais atajiuzulu na Makamu wa Rais atashika madaraka na atapewa nafasi ya kuunda serikali mpya bila kulazimisha uchaguzi mpya. Lakini kama tunataka mabadiliko ya kweli hadi Bungnei (kwa sababu wengine tunaamini matatizo hayako kwa Waziri Mkuu au Rais peke yake bali hadi Bungeni) basi azimio la kumtaka Rais avunje Bunge litolewe ili WOTE (kuanzia Rais hadi wabunge) warudi kwa wananchi ili kupata ridhaa mpya (a new mandate). Tusitake mabadiliko nusu kwani hakuna mapinduzi nusu (there is no half-revolutions)! Kama tunataka kubadilisha TUBADILI KITU CHOTE KIZIMA!
So, kwa sasa nashauri a strategic withdrawal ya hoja hii!!
Hapa Mkuu umeongea kitu cha kutafakari.Otherwise kutokana na sababu nilizokwisha zieleza hapo juu Zitto akisubiri inaweza ikashindwa njiani, CCM wakajipanga, wakaigeuza hii ishu kuwa ni ya Upinzani against CCM kumbe ni ishu ya Bunge against serikali. At least kwa sasa Zitto akiwa na saini za wabunge wa CCM, hii inasaidia kuwaleta baadhi ya Wabunge wa CCM katika kuunga mkono hoja huko mbeleni tofauti na wakiwithdraw saini zao.
Zitto kutokupeleka hoja jumatatu kunaweza kuwaweka wabunge hususan wale wa ccm katika nafasi mbaya za kipresha kutoka ndani ya chama chao kiasi cha kupelekea kutompa ushirikiano tena huko mbeleni pindi atakapowahitaji, watamuona kama flip-flopper.