Zitto: Tutairejesha Meremeta bungeni

2015 inamtesa ZITTO anatafuta pesa za uchaguzi hana lolote, Zitto UMENUNULIWA huna issue tena, unatuletia cd za zamani, unataka RA na El Wakulipe sh ngp kwa huu wimbo (meremeta) uliouanzisha!?
 
2015 inamtesa ZITTO anatafuta pesa za uchaguzi hana lolote, Zitto UMENUNULIWA huna issue tena, unatuletia cd za zamani, unataka RA na El Wakulipe sh ngp kwa huu wimbo (meremeta) uliouanzisha!?

Myonge myongeni lakini mpe haki yake....Zitto anapo fanya cha maan apewe credit sio kumponda tu
 
Myonge myongeni lakini mpe haki yake....Zitto anapo fanya cha maan apewe credit sio kumponda tu

we tanu ishakufa unaona aibu kusema mwanaccm, acha maneno ya taarabu hapa, "haki" ipi ZITTO kakosa. Unakurupoka we ndio unatumwa na Zitto kwa RA?
 
Kama nilivyoshasema hapo awali siasa ni propaganda sawa zitto ongera kwa kurudisha meremeta bungeni lakini ni kupoteza mda wakati unajua ile list ya company zilizochota hela pale BOT nayo hii ni mojawapo ambayo ilsambazwa nchi nzima na TISS ndio ilipinga vikali wamzue dr slaa kuileta bungeni sababu bunge aliwezi kujadili kitu kilichotumwa mtandaoni ila baadae ilikubaliwa hiyo hoja ikawakilishwa kwa sharti kama ana evidence na slaa akaiwakilisha ndipo ilipomgoa lowasa so, wewe unataka kuipeleka kujadili upya huoni kama kupoteza mda? je unaweza kuishitaki TISS? huu ndio msingi wa meremeta ni TISS anyway sijui mada yako halisi ila meremeta ni kati ya hizo kampuni chini ya TISS ziliweza kujichotelea hela BOT kwenye campaign za CCM 2005 ili CCM ishinde kwa kishindo na hakuna hata mmojawao kwa sasa ameweza kuishitaki au kukamatwa kwa madirector wake embu tuambie zitto strategies zako ila kama blabla unaenda kutoa pale bungeni bora acha mnatakiwa sasa hata wewe zito kwenye kikao kijacho nyie wabunge mtuambie mliweza kuwafanyia nini watanzania au mlienda kuwapa shukrani ya kuwachagua? nonsense.
 
Back
Top Bottom