Zitto tena kachafua hali ya hewa bungeni

Guys u need to have a great sense of humour.. Ur so sensitive nyie watu

Nadhani alikuwa anatania....mbona hata madktari wengi ni vipanga lakn ndo wanasifika kwa kuwa na mwandiko mbaya???u need to take things easy sometimes.I dont think huyo Zito is such a moron kufanya vitu vinahatarisha amani.muombeni radhi zito mmemnukuu vibaya.
 
Guys u need to have a great sense of humour.. Ur so sensitive nyie watu

Aiseeh ! hata mie nimeshaanga, mbona mnafanya maisha magumu hivyo ? yaani hamna hata jokes ? khaaa ! hata watengeneza nuclear kuna wakati wanaangalia cartoon network !
 
Niliiona kama kauli ya kimbea flani hivi, HEAVY amebadilika anajifanya ndo kila kitu kwenye siasa, alikuwa tishio zaman. Wasiwasi wangu ni kuwa anaweza akadhani anatumika kuarbu chama kumbe wanamtumia yeye kujiaribia binafsi.

Kiukweli TL ana uwezo wa uelewa ukimlinganisha na Zitto,mara kadhaa TL ameitwa kutoa mawazo kwenye tribunals za kimataifa,hoja ya Zitto ya mwandiko ni ya kitoto na haikuwa na jipya. Tunanmwangalia mwanasiasa huyu kijana tunapata dalili mbaya juu yake. Mda unao jirekebishe.
 
Napata uhalisia wa Zito nikiunganisha hili na ujumbe mfupi(sms) aliomtumia katibu mkuu nishati na madini Ndg E.Maswi ambao ulinukuriwa humu jamvini nashindwa kuamini. Lakini yote yana mwisho wake.
 
185881_396646290384562_1167489938_n.jpg
 
sasa hivi zito anatafutiwa kila sababu na pro chadema kisa amegusa pasipotakiwa kuguswa URAIS .. siku hata asipofunga kamba ya kiatu mtaleta thread zito aanza kuchanganyikiwa ...
 
kama anamwandiko mbaya kweli asiseme?

mwandiko mbaya sio issue kwani hata mm nilivozoea kutype kwa keyboard mwandiko wangu ni kichekesho, ila huyu bwana mdogo anapenda sana kujionyesha sana kwani hayo yote yalikuwa na maana gani kuyasema? umeshindwa kusoma kaa kimya irekebishwe iunganishwe na mbunge mwingine wa cdm atakayepewa nafasi kuchangia,.
 
Hata mi sijaipenda ile kaul kuhusu Lisu, haikuwa na maana yoyote pale na imeharibu mchango mzur alioutoa before. Naamin hata Lisu hata jisikia vizur, namshaur Lisu apuuzie manene yake ili kulinda hadh ya chama chao. Zito jipange bwana, unazid kuteleza kila siku, nin kimekupata babu..!?
 
Aiseeh ! hata mie nimeshaanga, mbona mnafanya maisha magumu hivyo ? yaani hamna hata jokes ? khaaa ! hata watengeneza nuclear kuna wakati wanaangalia cartoon network !

ally kombo brother upo..? umepotea recently shahr ramadhan inakwendaje...?! nakutakia ramadhan maqbool brother..
 
Ukitaka kujua maamuzi ya mtu, jifanye hujui alichoamua na kumuangiza kazi. Hapa nafikiri hapa Tundu Lissu alikuwa anataka kuprove akili na uelekeo wa huyu jamaa. Mwenye masikio hawekewi mrija wa kusikilizia yanayoongelewa.
 
Zitto is more brilliant than most of CDM MP's and leaders...Mwacheni kijana wa watu afanye kazi yake kwa amani cuz anajua anachokifanya!!
 
Nashukuru kuona na wewe umesikia hivyo ndugu. Maana kuna uzi nilianzisha watu wakanitukana kweli kweli na kuomba nipigwe ban. Mpaka nikahisi nilikuwa nasikiza mzimu au!!. na uzi ukafutwa!. Sijui kama na huu utakuwa na muda mrefu. Sidhani kama hapa kuna suala la Ugamba au Ugwanda. ndivyo alivyosema. Kama mtu utapigwa ban kwa kuandika ukweli humu JF basi sina haja ya kuwa member tena hapa JF.

Mkuu DASA samahani mimi ni miongoni mwa waliokupinga,kumbe mimi ndio nilisikia vibaya.usivunjike moyo siku zote kweli hubaki kuwa kweli daima.!
 
Nashukuru kuona na wewe umesikia hivyo ndugu. Maana kuna uzi nilianzisha watu wakanitukana kweli kweli na kuomba nipigwe ban. Mpaka nikahisi nilikuwa nasikiza mzimu au!!. na uzi ukafutwa!. Sijui kama na huu utakuwa na muda mrefu. Sidhani kama hapa kuna suala la Ugamba au Ugwanda. ndivyo alivyosema. Kama mtu utapigwa ban kwa kuandika ukweli humu JF basi sina haja ya kuwa member tena hapa JF.

Ni upepo tu utapita DASA
 
Kama kweli ana muandiko mbaya hakuna tatizo...itakuwa ni utani tu hata Madaktari wana miandiko mibaya.
 
Huyu dogo bado anakuwa. Msameheni. Kuna watu huwa wanachelewa kukomaa. Njia moja rahisi. ni watu wa kigoma kumtafutia mke.
 
Jambo zuri ni kuwa chama na wana CDM WOTE wamekwisha gundua nini haja ya ZZK amebaini na ambainishwa na watu wanaomtumia kuwa nafasi yake acdm kama ngamia kupenya tundu la sindano.Pengine anafikri kuwa akimwaga ugali CDM watamwaga mboga, kwa kifupi ni kwamba he is not material asset anymore to CDM right now better fo NAPE and JK to appoint ZZK in any CCM portifolio poistions.
 
Mheshimiwa hakuna hali ya hewa iliyochafuka!. Usimuwazie mh Zitto mambo mabaya kila wakati. Alichofakifanya ni utani wa kawaida wa wabunge.. Ndio maana Mh Lissu alicheka sana na kwa pamoja walionekana wanapitia kile kikaratasi cha Lissu. Style uliyotumia kuleta mawazo yako kwa mtu hasitazama bunge atazidi kumchukia sana Zitto..Mnyongeni na haki yake mpeni!
 
Zitto is more brilliant than most of CDM MP's and leaders...Mwacheni kijana wa watu afanye kazi yake kwa amani cuz anajua anachokifanya!!

Rejao unaheshimika sana hapa JF, lakini usitake kutuaminisha haya. Zitto ni mchumia tumbo. Kuliko na POSHO ndiko anakolalia. Huanzisha mijadala inayoonekana kuwa na mashiko lakini mashiko yakianza tu, keshapigwa LI-BUZWAGI lake kimyaaaa kama vile siyo yeye aliyelianzisha.

Fuatilia aliyoyaanzisha yameishia wapi! Haya ya akina Mkulo alikuwa anajijengea WAMHOFU ili hata akitamka dau apewe, japo amesema hana bei.

Zitto bado hajawa mzalendo kama anavyojionyesha kuwa.
 
Back
Top Bottom