Zitto,serukamba na filikunjombe live Channel 10! Generali on monday is back

zitto mlala hoi kama mimi tuh
brand new range rover hii kaipata wapi??
Tumehoji ya yule msukuma maige na ufisadi wake,huyu hatuhoji kisa nin??yeye anavaa gwanda au?
Hawa wote wezi tuh?na siku zao zinahesabika..!
Wacha katiba ije,watatafuta pa kukimbilia..!


Haya majungu ndo kwanza nimeyasikia, lete ushahidi ili tukuamini. Ya Mh. Maige tulionyeshwa hadi picha ya nyumba na wewe funguka zaidi. Vinginevyo utakua na sababu nyingine.
 
Huyu Serukamba uso wake unaonyesha kama vile ni mfanyabiashara wa viungo vya walemavu wa ngozi! Roho yangu inanituma niamini kuwa zile tuhuma zaweza kuwa kweli!


Mhhh JF huwa haiishi vimbwanga. Hivi unaweza kumuangalia mtu ukajua kuwa anauza mikono ya albino?
 
Agenda ni Juu ya nini Mkuu?Turushie live basi hata na sisi tujisikie kuwa tupo kwa sebule!
 
Hawa kina Serukamba na Filikunjombe watakuwa ni miongoni mwa wabunge ambao mh. Mbowe anasema wanataka kuamia CDM, tunawakalibisha sana.. "Vua Gamba, Vaa Gwanda"...
 
Zitto: Tatizo kubwa ni kutokuwa na dhamira ya kuwa na tabia ya uwajibikaji.

Ishu ya uwajibikaji inamgusa Pinda moja kwa moja, huyu waziri mkuu, pa,oja na kudhalilishwa kote na JK na mawaziri wake, lakini bado anang'ang'ania madaraka...
 
Back
Top Bottom