Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 50,467
- 113,553
Asante mkuu, endelea kutupa update
mawaziri hawajafanya upotevu wa hivihivi tu ila ni wizi wa makusudi. Inakuwaje ripoti ya CAG haikuwa inafanyiwa kazi akishangaa kwa nini Mkuu wa Takukuru ndo anashtuka leo
Duh nitakosa mambo. Channel ten imejiondoa kwenye king'amuzi changu sijui ndiyo mambo ya digitali hayo au vipi.
Tunaomba mlio karibu na tv mtujuze mjadala unahusu nini na anayeendesha kipini ni jenerali au ni nani? Sisi tunafuatilia hapahapa.
Zitto kuna mtovu mkubwa sana wa nidhani