Zitto, Prof Baregu mnapinga msimamo wa Tanzania juu ya EAC?

MJIMPYA

JF-Expert Member
Mar 27, 2011
506
272
Wakiojiwa kuhusu kukosekana marais wa EAC kwenye sherehe za uhuru, Zitto na Prof Baregu wameonyesha kupingana na msimamo wa TZ kutosaini makubaliano ya EAC mpaka kipengere cha usalama na ardhi kilipoondolewa kule Burundi.
Soma hapa chini

According to the MP (Zitto), Tanzania’s hard line stance on some of the regional issues may have not gone down well with the other countries. “You cannot rule out the possibility that they are not happy with the way we run our diplomacy.
Mr Samuel Sitta should come out and explain,” said Mr Kabwe. He warned that Tanzania may be going the UK way over integration issues.

His position was shared by a distinguished political commentator, Prof Mwesiga Baregu of St. Augustine University, who observed that Tanzania portrayed a negative image in Burundi. “The miss on Friday may be just one sign of annoyance with us.”

The prof who attended the Burundi meeting, said: “My worry is that the rest of EAC states look at Tanzania as the stumbling block and may begin to isolate it.”
He said it was time the government decided to move on like the rest or ditch the whole integration plan, warning that the countries may take a decision similar to that of the EU where slow reformers were not allowed to hold others back. (source Citizen)


Full story click hapa: http://www.thecitizen.co.tz/component/content/article/37-tanzania-top-news-story/17836-puzzle-as-ea-leaders-miss-uhuru-celebrations.html
 
To hell all wanaotaka kuuza ardhi yetu katika EAC, and to hell EAC. Mimi nikiwa kama Mtanganyika naupinga huo muungano siutaki hata kuusikia, sababu hauna manufaa kwetu.




Hekima ni Busara, PAW
Ficha Upumbavu wako; Usiifiche Hekima yako!
Ahsantee.gif
michael-jackson.gif

Kuwa na Busara
 
Hawa watu watuache tuhangaike na yetu kwanza tukishamaliza ndo waje tena tuwafikirie. Si washajua kuwa hii ni nchi ya vihiyo kwa hiyo wanataka kufanya kama wapendavyo wao
 
...Wanasiasa bana. So, was UK wrong? We don't seem to learn from what others are doing and or are into right now.
 
komaa sita, hatupo tayari kupoteza ardhi yetu. Angalia Ujerumani wanavyohangaika sasa ihali Briton wametulia.

sasa hapo Sita akomae nini? Btw, sina hakika sana kama wenzetu wanataka ardhi, but let me ask yo Tanzanians: nani kati yenu nchi hii ana miliki ardhi? Turejee kwenye Katiba. Ardhi ni ya nani kama si Kikwete? Watanzania ni waoga. Na ccm washajua EAC ndo mwisho wa ukoloni wao. Wanahofia Wakenya watatufundisha fikra za kimapinduzi.
 
sasa hapo Sita akomae nini? Btw, sina hakika sana kama wenzetu wanataka ardhi, but let me ask yo Tanzanians: nani kati yenu nchi hii ana miliki ardhi? Turejee kwenye Katiba. Ardhi ni ya nani kama si Kikwete? Watanzania ni waoga. Na ccm washajua EAC ndo mwisho wa ukoloni wao. Wanahofia Wakenya watatufundisha fikra za kimapinduzi.
...Ardhi ya Kenya inamilikiwa na nani?
 
Nchi ambazo hazikuingia kwenye EU kama vile Uswiss kwa sasa wanafurahia uhamuzi wao maana wale walioingia wamenasa, kutoka ngumu japo yamkini wengine wanatamani. Nchi kama Greece isingefika hapo bila kibano cha EU. Wajerumani kwa mujibu wa polls za cnn wengi wanatamani wasingeingia maana sasa serikali inalazimika kubeba zigo kubwa ili kulinda EU.

UK walikataa Euro na sasa wamekataa fiscal policy. Lets wait and see.
Tanzania we need to be very careful hasa unapodeal na nchi ambazo heshima ya mikataba bado iko chini sana.
 
Wajifunze kutoka EU. Hivi Tanzania tufaidika nini na EAC. Au ni muungano wa Kisiasa.

Waaanze kuungana kwa kupiga marufuku kuuza wanyama pori hai nje. Tunahujumu utalii wetu wenyewe. Mambo ya ardhi ni mapema mno. Yaaani mno.
 
sasa hapo Sita akomae nini? Btw, sina hakika sana kama wenzetu wanataka ardhi, but let me ask yo Tanzanians: nani kati yenu nchi hii ana miliki ardhi? Turejee kwenye Katiba. Ardhi ni ya nani kama si Kikwete? Watanzania ni waoga. Na ccm washajua EAC ndo mwisho wa ukoloni wao. Wanahofia Wakenya watatufundisha fikra za kimapinduzi.
Trustee!!! siyo owner!.
Tumia ubongo, itasaidia sana kuelewa.
 
Kwangu mimi nisikiapo MTAALAMU mwenye heshima kubwa kwa taaluma yake anapotoa wazo mbadala na hasa kwenye swala ambalo hapewi mtu rushwa ndio afanye kama yeye mwenye amewiwa kufanya, huwa naamua kukaa kitako na na kulipa hoja nafasi bila ubishi wa mitaani.

Prof Baregu na Zitto Kabwe, mbali na kwemo kwao kwenye siasa hizi za ushindani nchini, mimi nawatambua kama wanataaluma wazalendo wasiohitaji kwanza barua za utambulisho ndipo mawazo yao yapate kupewa nafasi.
 
Kwangu mimi nisikiapo MTAALAMU mwenye heshima kubwa kwa taaluma yake anapotoa wazo mbadala na hasa kwenye swala ambalo hapewi mtu rushwa ndio afanye kama yeye mwenye amewiwa kufanya, huwa naamua kukaa kitako na na kulipa hoja nafasi bila ubishi wa mitaani. Prof Baregu na Zitto Kabwe, mbali na kwemo kwao kwenye siasa hizi za ushindani nchini, mimi nawatambua kama wanataaluma wazalendo wasiohitaji kwanza barua za utambulisho ndipo mawazo yao yapate kupewa nafasi.
...Unamaanisha nini? Kwamba walichokisema ni sahihi kwakuwa hawapewi rushwa au mambo kama hayo?

...Nadhani hoja hapa ni kuwa, Tanzania kama nchi ina utashi wake yenyewe, bila kuburuzwa au kulazimishwa na wengine kuingia katika makubaliano fulani. Na kwa maan hiyo lazima isimamie maslahi yake. Ardhi is number one, as far as EAC is concerned. Kama wanaweza, kama nchi za magharibi, basi, na watuburuze.

...The whole region is unstable, with some having disputed legitimacy over their leadership. Some having chronic land issues, internal fights over land, etc. Hata kama sisi si malaika, kwanini tuwaamini na uhuru wetu as a sovereign nation?
 
Muungano wa kufanya biashara, mambo ya elimu basi..no more than that please..

Mzee Makamba alisema sahihi kwamba Watanzania tuwasahulifu sana. Juzi juzi mmepiga kelele sana ooh Gaddafi ameuwawa kwasababu alitaka Afrika iungane. Sasa mmeishabadilika hamtaki hata muungano na majirani zenu!!! Hivi hizi sera ya ushirikiano wetu na majirani zetu na mataifa ya nje ni nini vipaumbele? Maana mimi naona vurugu tupu. Mtu anaona heri agawe ardhi bure kwa wazungu lakini asitengeneze utaratibu mzuri ambako majirani zetu wanaweza wakaja wakalima,nchi yetu ikafaidika. Ni mawazo ya kimasikini na upuuzi. Waulize watu wanaoishi ktk mikoa ya Tanga,Kilimanjaro,Mara,Kagera,Mwanza na Kigoma umuhimu wa EAC,jibu lao ni tofauti na mtu toka Mtama Lindi na Urambo Tabora.
 
..Kenya wanashika nafasi ya pili ktk uwekezaji Tanzania.

..sasa naomba kuuliza wanawekeza vipi bila kuwa na access na ARDHI yetu?

..Wanyarwanda nao walikuwepo hapa Tanzania. Ndugu zetu hawa walibwaga manyanga na kuacha kazi Tanzania na kuamua kurejea kwao. Sasa wanataka kutudanganya kwamba wanaipenda sana Tanzania wanataka kurudi!!

..kwa mtizamo wangu Wakenya na Wanyarwanda wanataka Tanzania ibebe mzigo wa matatizo ya ardhi yaliyoko ktk nchi zao. tatizo ni kwamba they r not being honest about it.

NB:

..kama Wakenya wanapenda sana umoja na mas
 
Zitto Kabwe ni mrundi na huyo cjui Beregu ni mnyarwanda sasa unategemea nn hapo teehteeh.
 
Back
Top Bottom