Gwandalized
JF-Expert Member
- Jan 17, 2012
- 219
- 44
yes prezdaaaaaaaaaaaa,semaaa,wambie
Sasa mbona unajichanganya mwenyewe mkuu? weka mambo wazi
Hata akisema na bajeti ya serikali ya miaka 5 atatoa yeye hakuna chama kitakacho mpendekeza yeye. Watu wote makini wanajua kuwa mtu yeyote mwenye uchu wa madaraka kama yeye ni hatari kwani ama ametumwa au ana agenda ya siri.CHUNGUZENI URAIA WAKE.Mh. Zitto Kabwe wakati akichangia hotuba ya Wizara Sayansi na Teknlojia amewananga wale wanao taka asiwe rais wa nchi hii, kwa kutaja mambo matatu ambayo amesema hana shaka nayo hata kidogo kuwa anayo japokuwa watu wengine wamekuwa wakimsaga. Mambo hayo ni :
- Uwezo
- Uadilifu
- Uzalendo
Kazi kwenu wana JF, Zitto amedhamiria kuutaka na kuupata Urais
Huyo aje CCM tutampa kura. Lakini kule kwa magwanda? magwanda wenyewe ndio wanampinga.
I have been asking myself a question with no answers. How the hell could Zoka exclude Zitto from his infamous list of CDM leaders to be assassinated. Najaribu kuhusisha yale mazungumzo ya simu kati ya Zoka na Zitto kabla ya uchaguzi wa 2010 na ushindi wa NCCR mkoani Kigoma.We have to be much smarter than the other organs if you know what m i reffering too! TISS n the likes! Stay focused CDM!
Taratibu Mkuu. Lugha ya kistaarabu haiuzwi. Vyovyote utakavyosema lakini the fact ni kuwa Harusi haikufanyika.
Usitumie kichwa kufuga nywele tu, bali pia tumia kwa kufikiri. Wote hapa wameelewa, kasoro ww tu, hujioni una kasoro na hutufai humu JF?
Haki yake kikatiba ila watu wanamuona ni kama Msaliti vile.
ndio maana jana nilimchna live...kwa maandishi yake humu alisema swala la urais bado na si vyema kulizungumzia sasa mbona analiongelea...full sitaki nataka yule
Mh. Zitto Kabwe wakati akichangia hotuba ya Wizara Sayansi na Teknlojia amewananga wale wanao taka asiwe rais wa nchi hii, kwa kutaja mambo matatu ambayo amesema hana shaka nayo hata kidogo kuwa anayo japokuwa watu wengine wamekuwa wakimsaga. Mambo hayo ni :
- Uwezo
- Uadilifu
- Uzalendo
Kazi kwenu wana JF, Zitto amedhamiria kuutaka na kuupata Urais
Dumela Mbegu
Ni kweli Zitto ni mzalendo halisi hata mazungumzo yake na Jack Zoka wakati wa uchaguzi yanathibisha hilo.
Hebu tuweke sawa hapa mkuu...maana hii siijuihata mazungumzo yake na Jack Zoka wakati wa uchaguzi yanathibisha hilo.