Zitto:Ni bora tukakosa mbunge Arumeru kuliko kukosa Diwani!

Chadema chama makini tunaomba hizi chaguzi ndogondogo tushinde zote ili kuona kama kweli watanzania wamechoshwa na serikali ya ccm
 
kwa kauli hii ya mh. Zitto kumbe hata wao CDM wanajua kwamba hawawezi kupata jimbo la Arumeru! na mwisho wa siku hata hiyo kata ya kirumba tunairudisha kundini.

Duuh Dickson Mpemba au Mpambe ? Nafikiri ilikuwa Mpambe ukabadili kujiita Mpemba. Utaacha lini Upambe wewe ? Magamba yatakumaliza kijana. Ni Nchimbi tuu au ?
 
Zitto aliyasema hayo kipindi akizindua kampeni za mgombea udiwani katika uchaguzi mdogo wa udiwani kata ya Kirumba kwenye viwanja vya Magomeni-Kirumba saa 11:15 jioni ya tarehe 11.03.2012.
Aliwaambia wananchi na watanzania kuwa mtu ataepigia kura CCM.
(1) Atakuwa amekubaliana na
mfumuko wa bei.

(2) Atakuwa amekubaliana na ufisadi unaofanywa na serikali ya CCM.
(3) Atakuwa amekubaliana na ugumu wa maisha.
(4) Atakuwa amekubaliana Uongozi mbovu wa serikali ya CCM na Gamba lao Wasilivue.
(5) atakuwa amekubaliana na sera pamoja na mipango mibovu ya CCM.
(6) atakuwa amekubaliana na maovu yote yanayofanywa na watawala na ukandamizwaji wa demokrasia unaofanywa na viongozi wa jeshi la polisi.
(7) atakuwa amekubaliana na upandanji wa bei za bidhaa kama vile sukari, mafuta,umeme, mabati,siment na nk.
Akawaambia kuwa uchumi wa Tanzania unakuwa lakini watanzania wanabaki kuwa maskini wa kutupa, akaenda mbali na kusema maendeleo hayawezi kuletwa na chama kile kile na viongozi walewale hivyo ni mda wa kufanya mabadiliko kupitia masanduku ya kula, kuikataa CCM na ulagai wake.
Alisisitiza kuwa CCM wameishiwa sera na Chama kilicho na sera madhubuti na makini ni Kuipa kura nyingi CHADEMA. katika chaguzi zote sasa si mda kucheza niwakufanya kazi ccm wameshindwa kwani wana miaka 50 lakini maendeleo hayaendani umri huo.
kweli mfumuko wa bei ni tatizo kubwa Tanzania..
BLACKBERRY ILIYOKUWA INAUZWA LAKI 5 MPAKA 6 SASA INAUZWA 5.5M
 
Chadema mnavyokulana wenyewe kwa wenyewe

sitashangaa kuone huyu Kaseko aakajiona yuko chama cha wajinga wajinga hivi!!

Kaseko unaona??
 
Mkuu Kaseko mbona hiyo kauli "Ni bora tukakosa mbunge Arumeru kuliko kukosa udiwani" sijaiona mahali Zitto aliposema hivyo ?.

Hata mie nimeshangaa! Jamaa anatuambia kwa herufi kubwa wakati hakuna sentensi hata moja kwenye maelezo yake inayoelezea habari kama hiyo! Watu wengine mbona wanapenda kuwatia hasira wenzao. Yaani nilivyokuwa nawaza inakuwaje Zitto aseme ni heri CDM ikose ubunge Arumeru na ipate udiwani? Sawa kwa Mwanza itapunguza kura yao kwenye baraza la madiwani lakini hawezi akalinganisha na ubunge bwana!

Aliyeleta hii thread nyambaf.. zake nahisi ni wa kutoka Magambas! Mwaka huu yanatapata kweli!!!
 
mambo ya kukurupuka haya na kutuletea habari juu juu nayakataa sana mbona ujaonyesha sehemu aliposema hayo maneno na alikuwa anataka kutuambia nini hasa watz
 
kweli mfumuko wa bei ni tatizo kubwa Tanzania..
BLACKBERRY ILIYOKUWA INAUZWA LAKI 5 MPAKA 6 SASA INAUZWA 5.5M

hiyo ni bahaviour ya market structures sometimes huwa wana lower price to sell more kiuchumi hakuna assumtion kama yako.
tunapima inflation kwa kutumia price index, it means collection of consumeable.
 
mambo ya kukurupuka haya na kutuletea habari juu juu nayakataa sana mbona ujaonyesha sehemu aliposema hayo maneno na alikuwa anataka kutuambia nini hasa watz

ww akili yako ndogo sana, hiyo thread sikuiandika hivyo kuna watu humu wameibadilisha.
hata hivyo hujaisoma vizuri
 
kwa kauli hii ya mh. Zitto kumbe hata wao CDM wanajua kwamba hawawezi kupata jimbo la Arumeru! na mwisho wa siku hata hiyo kata ya kirumba tunairudisha kundini.

Only time will tell, ila jua propaganda zenu dhaifu hazina nafasi kwa sasa, mlianza na Lema na Washili mlivyoshindwa mkaanzisha la Vicent Nyerere, mkatokota sasa mko na Dr wa ukweli, wa moja havai mbili, ni jukumu lenu kuwafuata wenzenu wa zambia, Kenya, Ghana, Libya, Misri, Ivory Coast, n.k poleni kwa maangamizi yanayowakuta
 
Sasa hapa mi naona ni heri Zitto akaja mwenyewe kuthibitisha kauli hii.
Mheshimiwa hebu pita hapa mara moja.
:wink2:
 
Ile hummer siyo yake,ni kaka yake kwahy usizushe unaitajika ufanze research kwanza,sio kila anaetembelea gar ukajua ya kwake
 
Back
Top Bottom