Blaki Womani
JF-Expert Member
- Feb 28, 2011
- 11,229
- 13,431
Mapokezi yalikuwaje mkuu
tujuze. asichoamini ni kipi? hizo ndo ghilba za kisiasa, anavuta hisia za watu. URAIS HUO. AMESAHAU ALIPOMWAMBIA PINDA ANALILIA U PM?Weka Picha tafadhali, alikua ana lilia raha au?sijamuona huyu bwana akilia mie.....
Ile methali ya kiswahili isemayo "wingi si hoja" siku hizi imepitwa na wakati? Maana watu naona wako bize sana kuelezea jinsi watu "walivyojaa" bila ya kueleza hoja ya watu hao kujaa ni ipi. Zama za utawala wa Warumi watu walikuwa wanajaa uwanjani kuangalia binadamu (wafungwa) wenzao wakipambana na simba. Uwanja mzima ulikuwa ukizizima kwa mayowe!!
ila angekua slaa,mbowe, mnyika sawa.!!
zitto anatisha sana na anakubalika, wana cdm lini tutampokea slaa, jana mboye alisema yuko vatican kikazi.
Ni kweli wananchi wana matumaini makubwa kwa CDM hivyo kina Ztto tunawaomba msiwaangushe wananchi.The needs more changes than our leaders think, I hope this is a clear message to Mr. Zitto, that their speed towards the real freedom is isn't really convincing to the majority of Tanzanians, Yes! we need leaders like Mr Zitto! Good luck makamanda wa Kirumba na Rock city wote!!
machozi yana maana kubwa mbili;Kwani zitto hawezi kulia jamani?
Mhhh.... kazi ipoWalipanda ndege Moja na Maalim, Lipumba, Ustaadh Mtatiro na Alhaji Jussa . Wakati Mbowe anaenda Vatcan, akina Lipumba walikuwa wanaenda Makka Saudi Arabia kumsalimu Allah na kumpiga mawe jirani wa Allah
Kamkumbuka Amina Chifupa huyo....