Elections 2010 Zitto ndani ya kampeni..... Kazi ipo!

MasterMind

Senior Member
Aug 26, 2010
102
0
Zitto akisakata rumba katika kampeni huko Kigoma hivi karibuni......

5ugxur.jpg


72zort.jpg
 
UNAFANYA mchezo nini na kupata kura. unaweza cheza hata kiduku baabaaake na nyonga tetemeshi
 
Mwaka huu kazi ipo Makamba anayaweza haya, huku ndiko vijijini wanaposema Chadema haifiki.
 
aisee nimefurahi sana, naona mweshimiwa kaamua kuweka mafile pembeni na kukumbukia enzi zake za shule ya msingi, maana anayarudi kiuhakika. safi sana mh Zitto. Tumekosa Video tu lakini nahisi ilikuwa kati ya nyimbo kali za kiha - Mtu kwao bwana.
 
Kura noma. Ukimwambia acheze baada ya kampeni sijui kama atacheza kama alivyocheza.
Ha ha ha ha ha. Kazi na dawa!!!!!!!
 
Naona hiki kipindi cha uchaguzi kila mtu anataka kuwa Mohammed Dewji.
 
zitto-cheza-ngoma-2.jpg



zitto-cheza-ngoma.jpg






katika kuelekea 31 october mbuge machachali wa zamani zitto kabwa amegeuza jukwaa la siasa kuwa la mziki.
Ina mana zitto kaishiwa HOJA?
 
Back
Top Bottom