Hivi Zitto kawafanya nini? FJM anatuhabarisha kwamba Zitto yupo Ughaibuni akiwakilisha Bunge la Tanzania lakini sisi tunamtafuta kwenye mikutano ya CC ya CDM.
Hivi kumbe CDM ina warangi rangi hadi kwenye CC? Au ni mwakilishi wa Chama Rafiki?
RED: hii ni akili ya matope tu hakuna kitu hapozito ni msomi mwenye akili timamu. Hawezi kuhudhuria vikao vya kinafiki. Chama makini hakiwezi kutafuta picha za kwenye mitandao na kupoteza muda kuziangalia halafu na kutoa machozi kwa glaa uilty consiousness maana wao ndo wanawatuma watu, wakidhurika na polisi wanabaki kupiga usanii. Sasa wanalia nini?? Kama wangetii amri ya kusubiri sensa huyu mwandishi angekufa?? Ni kipi walichokiona ambacho walikuwa hawajakiona?? Mungu ataihukumu CHADEMA kwa unafiki na uzandiki. Huwezi kupoteza muda wa watu unawadanganya eti unataka kuwakomboa wakati unatafuta kula na njaa zako tu. Mshahara wa Slaa ni Mamilioni. Kwa nini asijilipe angalau hata milioni mbili tu?. Tusubiri uchunguzi wa Polisi habari itapatikana. Zitto wa watu mnamuonea bure mnamchinganisha, na hata kwenye hii jamii forum eti mnampambanisha na Slaa. Jamani acheni kuwagawa wa Tanzania. Ukwelo utawambua tu siku si nyingi. Mkamia maji hayanywi
kama ur ndhusba.
Hapa Chillitunashindana kwa hoja, toa hoja za kumjenga Zitto kuzizidi nguvu hoja zangu, huo ndio utandawazi wa watu makini hapa JF, kama zinaniridhisha nitazikubali.
Nasubiri hoja zako za utetezi badala ya kuongea dhana ya chuki, majungu na unafiki. Lets be wise, nchi ni yetu sote, tukifanya makosa tutakaotaabika ni sisi. Kila mtu ana uhuru wa kutoa maoni yake kuhusu nani anafaa kuwa kiongozi kwa sababu zipi na nani hafai kuwa kiongozi kwa sababi anazoweza kuziainisha.
Kaka zomba umejawa na udini ambao hautakufikisha popote acha hizo tabia ndugu yangu hapa jamvini wewe hufai kila hoja lazima ukimbilie huko nini kinakusumbua ndugu yangu huwa nikisoma comment zako nasikitika sana halafu nafikiri hata Mods humu jamvin wanakulea sanaZitto Zuberi Kabwe.
Naona Mh. Freeman Aikael Mbowe ameketi kwa mamlaka ati kisha aishie Uenyekiti tu asipate Mamlaka ya juu? Hilo alilikubali Nyerere na kumachia Kawawa sijui wanasiasa wetu wa sasa wanaweza kufanya hivyo.
Misaada ya Sabodo wanapokea mtu mzuri kwenye kujishuisha kwenye kwenye chama hapana!Baniyani mmbaya kiatu chake dawa!!Mie mwenyewe nimemuona nikawa najiuliza!! ila Banyai huwa ni watu wa kupenetrate sana!!! Huyo jamaa atakua anawakilisha kundi kubwa sana na la ma Business Tycoons wa rangi yake if at all CDM gets in power!!!
zito ni msomi mwenye akili timamu. Hawezi kuhudhuria vikao vya kinafiki. Chama makini hakiwezi kutafuta picha za kwenye mitandao na kupoteza muda kuziangalia halafu na kutoa machozi kwa glaa uilty consiousness maana wao ndo wanawatuma watu, wakidhurika na polisi wanabaki kupiga usanii. Sasa wanalia nini?? Kama wangetii amri ya kusubiri sensa huyu mwandishi angekufa?? Ni kipi walichokiona ambacho walikuwa hawajakiona?? Mungu ataihukumu CHADEMA kwa unafiki na uzandiki. Huwezi kupoteza muda wa watu unawadanganya eti unataka kuwakomboa wakati unatafuta kula na njaa zako tu. Mshahara wa Slaa ni Mamilioni. Kwa nini asijilipe angalau hata milioni mbili tu?. Tusubiri uchunguzi wa Polisi habari itapatikana. Zitto wa watu mnamuonea bure mnamchinganisha, na hata kwenye hii jamii forum eti mnampambanisha na Slaa. Jamani acheni kuwagawa wa Tanzania. Ukwelo utawambua tu siku si nyingi. Mkamia maji hayanywi
Swali la kuuliza ni je, katika mkutano wa kamati kuu Godbless Lema anakaa meza kuu kama nani?
Jamani Zitto yuko nje ya nchi kama mwakilishi wa bunge la Tanzania CPA.
Huo sio mkutano wa kamati kuu, ni mkutano na waandishi wa habari siku moja baada ya mkutano wa kamati kuu.Swali la kuuliza ni je, katika mkutano wa kamati kuu Godbless Lema anakaa meza kuu kama nani?
katika operation ya vuvuvuvu la mabadiliko, zitto kabwe haonekani kuandamana na makamanda wenzake, wakati akiwa kaimu katibu mkuu ambaye ndiye kijana wa kuwa mstari wa mbele katika mapambano.
Isitoshe hata kikao hiki kilichofanyika jijini dar alitazamiwa kuwa katika picha, labda imekatwa alikaa pembeni, tukumbuke yeye ni kiongozi mwandamizi, lakini naona yuko makini kutokea katika picha za misafara ya kumsindikiza kikwete kutalii. Hii imekaaje?
Tunahitaji zitto aje kujibu haya, ndio uwajibikaji tunaohitaji sasa hivi. Tunahitaji viongozi wa chama wanaowajibika kwa chama na wananchi chama tunachotegemea kuchukua dola, na hivi kujihakikishia viongozi watakaowajibika kwa wananchi na wananchi wawe na haki ya kuwajibisha wasipowajibika kiutendaji.
Kiongozi anayefanya kazi kwa ujanjaujanja na kukwepakwepa magumu ni hatari kwamba siku yakitokea magumu anaweza kuwatelekeza wenzake na hata kukitelekeza chama chake.
Yule mhindi kule nyuma ni nani vile?