Zitto Naibu katibu Mkuu hata vikao vya chama anaadimika?

zito ni msomi mwenye akili timamu. Hawezi kuhudhuria vikao vya kinafiki. Chama makini hakiwezi kutafuta picha za kwenye mitandao na kupoteza muda kuziangalia halafu na kutoa machozi kwa glaa uilty consiousness maana wao ndo wanawatuma watu, wakidhurika na polisi wanabaki kupiga usanii. Sasa wanalia nini?? Kama wangetii amri ya kusubiri sensa huyu mwandishi angekufa?? Ni kipi walichokiona ambacho walikuwa hawajakiona?? Mungu ataihukumu CHADEMA kwa unafiki na uzandiki. Huwezi kupoteza muda wa watu unawadanganya eti unataka kuwakomboa wakati unatafuta kula na njaa zako tu. Mshahara wa Slaa ni Mamilioni. Kwa nini asijilipe angalau hata milioni mbili tu?. Tusubiri uchunguzi wa Polisi habari itapatikana. Zitto wa watu mnamuonea bure mnamchinganisha, na hata kwenye hii jamii forum eti mnampambanisha na Slaa. Jamani acheni kuwagawa wa Tanzania. Ukwelo utawambua tu siku si nyingi. Mkamia maji hayanywi
Ngoja nikanunue ungo!.. Pumba na mchele ni 50 - fifty.
 
Unajua chuki, majungu na unafiki vimekujaa hadi hueleweki unachokisema. Tulia wewe.

Hapa Chillitunashindana kwa hoja, toa hoja za kumjenga Zitto kuzizidi nguvu hoja zangu, huo ndio utandawazi wa watu makini hapa JF, kama zinaniridhisha nitazikubali.

Nasubiri hoja zako za utetezi badala ya kuongea dhana ya chuki, majungu na unafiki. Lets be wise, nchi ni yetu sote, tukifanya makosa tutakaotaabika ni sisi. Kila mtu ana uhuru wa kutoa maoni yake kuhusu nani anafaa kuwa kiongozi kwa sababu zipi na nani hafai kuwa kiongozi kwa sababi anazoweza kuziainisha.
 
Mmewauliza Mabosi zake ? Ama ndio mnataka kuzima uzito akili zenu

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Jamani Zitto yuko nje ya nchi kama mwakilishi wa bunge la Tanzania CPA.

tatizo tumezoea kutoa shutma na lawama bila ya kuwa na taarifa sahihi.
Mi Nachojiuliza, kila siku zito jamani, why?
Kuna nini ambacho sikielewi?
 
Acheni kuchonganisha watu! Waacheni CDM wenyewe waseme kuhusu Zitto! Kuna vikao halali vya kusema hivyo. Kamati kuu wenyewe hawajasema kukosekana kwa Zitto, na inawezekana kabisa aliwapa baraka akisema I agree and Support whatever you decide!

Kama ukiwa mwalimu shuleni unaweza kushangaa kijana mdogo tu anaweza kukuendesha kwa ujanja wa kutoroka kwa visingizio mbalimbali, utakapokuja kugundua ni too late.

Kitu kimoja unaweza kugundua jeuri ya mtu anapokuwa na udhuru wa mahudhurio katika mazingira ya aina fulani tu, na mazingira ambayo si hatarishi ni mwepesi kutotoa udhuru. Hakuna tukio hata mmoja ambalo Mheshimiwa Zitto amehusika matukio ambayo viongozi wenzake wanajituma katika mazingira hatarishi kutetea mabadiliko nchini.

Hata watu maarufu duniani waliojitolea kuleta mabadiliko katika nchi walipambana na mengi kama mzee Madiba kukaa miaka 26 gereani na leo matunda yake wanayafurahia wengi nchini Afrika Kusini. Mwono huo ndio tunaoutazamia kwa viongozi na makamanda wanaoendesha vuguvugu la mageuzi nchini.

:A S 465:ZUBERI ZITTO SI SHUPAVU KUPAMBANA NA MAGUMU:A S 465:​
 
tatizo tumezoea kutoa shutma na lawama bila ya kuwa na taarifa sahihi.
Mi Nachojiuliza, kila siku zito jamani, why?
Kuna nini ambacho sikielewi?

Maana yake hatutaki ije kutokea Zuberi Zitto yatokee kama ya Mwanza kwa na Arusha kwa madiwani wa Chadema. Tunachokifanya maana yake tunampenda Zitto. Udhaifu huu unaoonekana katika utumishi wake ndani ya Chadema tunataka aufanyie kazi. Kunyamaza wakati tunaona mapungufu kwa kiongozi unayemfahamu na kuzoea na kujadiliana naye hapa JF ni vema, wenzetu wameendelea kwa njia hii ambao demokrasia ilikoanzia. Tujifunze kuwajenga viongozi wetu si kuwapamba tu kwa mazuri hata isipostahiki.
 
Zitto is just a puppet ndani ya Chadema. hakuna mtu makini yeyote anayemuwaza Zitto.

Tatizo ni pale mtu unapokuwepo ndani ya chama au uongozi ukiwa na mawazo ya kujenga mazingira ya kupanda cheo badala ya kujenga mazingira ya mabadiliko ambayo yanahitajika. Watu kama hawa wakikosa uongozi katika chama au serikali wanabadilika na hutaweza kuamini kama ni yule yule tuliyemzoea, kwa vile alikuwa na lake jambo.

Tunachohitaji ajitahidi kuonyesha ukomavu wa kuvumilia misukosuko ndani ya chama ndio kipimo kizuri cha ustahimilivu katika mambo mazito mazito na majukumu makubwa ambayo viongozi wa kitaifa katika serikali hupambana nayo. Lakini kujenga mazingira ya kufanya shughuli za uongozi kwa ujanja ujanja na kukwepa palipo pagumu si dalili njema za kiongozi anayefaa.

Lengo si kumsimanga, chuki na mengineyo wasemayo baadhi yetu, hapa tunajadili ili kumjenga awe bora na ajitahidi kujitoa kwenye madhaifu anayoyaonyesha kwa sasa anaweza kuwa kiongozi wa kufaa sana siku za usoni.
 
Jamani Zitto yuko nje ya nchi kama mwakilishi wa bunge la Tanzania CPA.

Kwa kuongezea yupo Colombo pamoja na spika wa bunge na ujumbe mwingine wa Tanzania

Ujumbe wa Tanzania katika Mkutano huo unaongozwa na Mhe. Spika ambaye pia ataongoza wabunge wengine kutoka tawi la CPA Tanzania ambo ni Mhe. Ziito Kabwe, Mhe. Mussa Azzan Zungu, Mhe. Beatriace Shelukindo, Mhe. Hamad Rashid Mohamad na Mhe. Muhonga Ruhanya ambapo jumla ya mada 9 zinatarajiwa kuwasilishwa na kujadiliwa katika mkutano huo

5.jpg
 
Tunashukuru kwa taarifa.

huko Kolombo ameenda kabla au baada ya mikutano ya vuguvugu la mageuzi ilyofanyika Morogoro?
 
zito ni msomi mwenye akili timamu. Hawezi kuhudhuria vikao vya kinafiki. Chama makini hakiwezi kutafuta picha za kwenye mitandao na kupoteza muda kuziangalia halafu na kutoa machozi kwa glaa uilty consiousness maana wao ndo wanawatuma watu, wakidhurika na polisi wanabaki kupiga usanii. Sasa wanalia nini?? Kama wangetii amri ya kusubiri sensa huyu mwandishi angekufa?? Ni kipi walichokiona ambacho walikuwa hawajakiona?? Mungu ataihukumu CHADEMA kwa unafiki na uzandiki. Huwezi kupoteza muda wa watu unawadanganya eti unataka kuwakomboa wakati unatafuta kula na njaa zako tu. Mshahara wa Slaa ni Mamilioni. Kwa nini asijilipe angalau hata milioni mbili tu?. Tusubiri uchunguzi wa Polisi habari itapatikana. Zitto wa watu mnamuonea bure mnamchinganisha, na hata kwenye hii jamii forum eti mnampambanisha na Slaa. Jamani acheni kuwagawa wa Tanzania. Ukwelo utawambua tu siku si nyingi. Mkamia maji hayanywi

KARIBU MKUU, ZA HUKO UTOKAKO...HAWAJAMBO TANURU
:yawn:
 
Kaka sijui dada. Nimetokea kufungiwa mara ya kwanza na jF sababu ya watu wase... Kama nyinyi.Wwe tena utakuta huna nyuma wala mbele unazidi kuishabikia CCM. Ungejua tulipo na hatujui tunapokwenda kamwe usingesema lolote maana hata walioko ndani ya CCM waanataka mabadiliko. Sembuse kinyago kama wewe.
 
zito ni msomi mwenye akili timamu. Hawezi kuhudhuria vikao vya kinafiki. Chama makini hakiwezi kutafuta picha za kwenye mitandao na kupoteza muda kuziangalia halafu na kutoa machozi kwa glaa uilty consiousness maana wao ndo wanawatuma watu, wakidhurika na polisi wanabaki kupiga usanii. Sasa wanalia nini?? Kama wangetii amri ya kusubiri sensa huyu mwandishi angekufa?? Ni kipi walichokiona ambacho walikuwa hawajakiona?? Mungu ataihukumu CHADEMA kwa unafiki na uzandiki. Huwezi kupoteza muda wa watu unawadanganya eti unataka kuwakomboa wakati unatafuta kula na njaa zako tu. Mshahara wa Slaa ni Mamilioni. Kwa nini asijilipe angalau hata milioni mbili tu?. Tusubiri uchunguzi wa Polisi habari itapatikana. Zitto wa watu mnamuonea bure mnamchinganisha, na hata kwenye hii jamii forum eti mnampambanisha na Slaa. Jamani acheni kuwagawa wa Tanzania. Ukwelo utawambua tu siku si nyingi. Mkamia maji hayanywi

yaani umejiunga specific kujibu hii post au ....Zitto ni mtu mdogo sana katika chama...
 
12 Reactions
Reply
Back
Top Bottom