matumbo
JF-Expert Member
- Jul 9, 2011
- 7,225
- 3,944
li, kuhusu zitto kunitmia, jamen ndo mana nasema hawa watu wanaonijadili hawanijui. mim siwez ktmiwa na zitto! zitto akiwa na story yenye vigezo naweza muandika hata mara mia. ktk hlo siyumbi mim ni journalist. tatu, jamani, rejeeni maktaba muangalie story za epa. nilikuwa bega kwa bega na dk slaa tngu alipolipua bungeni n uraiani, hadi ernst n young na hadi balali anafukuzwa! cjui dk slaa aliwah kunipa sh ngap mana nimemuandika kuliko zitto! mim sinunuliki, nina msimamo na ni mwanamapinduzi wa kweli. kuh
aisee!uyu ndio uyo mwandishi wa mwananchi??gazeti linaloongozwa kwa kusomwa nchini!!!
Hii nchi ipo katika hali mbaya sana kama waandishi wenyewe ndio hawa..ebu angalieni anavyowasilisha hoja zake..inauzunisha sana...oooh Tanzania yangu!!