Zitto na Wabunge, Zitto na CHADEMA, Zitto na Urais...

acheni unafkii huo wana CDM mna ajenda zenu za siri kwa zitto,kwanin ha mpendi kuwa wakweli?semeni tu kuwa zitto hapendwi kutokana na DINI yake na kabila lake,ndo mana zitto anafahamu ajenda zote khs hiki chama na malengo yake.Wakatoliki wamepanga mikakati kamambe ya kumchafua ZITTO ila hamta muweza kamwe huyu ni mpiganaji akiamua kuivunja na kuigawa CHADEMA anaweza time yyte ile.
wewe una akili finyu na uwezo wako wa kufikiri umefikia hapa...toa takataka zako sebuleni hapa hujui choo kilipo???
 
CDM hawawezi kumzuia Zitto kugombea urais au hata kuwa rais,come 2015 tutakuwa na katiba inayoruhusu wagombea binafsi!

Hakuna anayemzuia Zitto Zuberi Kabwe kugombea Urais hata chama hakijawahi kusema kuwa hafai au anafaa. Kwa sasa Chama hakitaki kuingia kwenye malumbano ya Uraisi kwani kuna kazi kubwa chama inakifanya ili ikimsimamisha mgombea wake aweze kushinda. Zito kama kweli nia yake ni kushika nafasi ya juu ya chama na taifa inabidi ajishughulishe kujenga chama aachane na siasa tamaa. kama ni Uraisi anaweza kuwa au asiwe who knows about tmrr.
mpaka leo sijafahamu kwa nini mtu mwenye elimu kama ya zitto afanye mistakes za kitoto kwenye bajeti mbadala namna ile.Mbowe i think u need to do something, coz madhara yake ni kuwa huku kuzunguka nchi nzima mkikitangaza chama ni useless.

Makosa ya bajeti asilaumiwe Zitto, kwani kama zile bajeti na Upinzania zinazosomwa bungeni ni kazi binafsi za wasomaji ni hatari. Mimi ninaamini kila bajeti ya kambi ya upinzani ni bajeti ya chama husika. Naamini kama chama lazima kukubali yale makosa ni ya chama. Ni wajibu wao wabunge wote na kamati za chama kupitia na kuandaa bajeti mbadala na kuzi readproof na kujiridhisha. Chama kina wachumi wengi waliobobea na waandishi. Hivyo msalaba wa makosa wa bajeti ya kambi ni makosa ya kambi sio msomaji.

mim ndo semtawa. nimefuatilia tuhuma za kipuuzi dhidi yangu kuhusu story ya zitto na urais, taarifa zote kuhusu mim asilimia 99 ni cooked! some stupid guys wanaotumiwa na mafisadi wanadhn wataniyumbisha! jukwaa hli si la great thinkers bali most of them are so stupid! the home of stupid thinkers-jf! haiwezikan jukwaa la great people lijadili watu na ktoa taarifa za uongo, kiwendawazimu na kipuuzi.

Nimesoma post za wengi na Tuhuma juu yako, ni kweli kwamba waandishi wanatumiwa na wanasiasa , wafanyabiashra , wakuu wa serikali na dini-Jibu ni KWELI. Je wanapotumiwa kwa mazuri au kwa mabaya yanaleta mwangi kwa jamii ni kweli. Kama unafanya kazi yako kwa weledi wa kikazi na maadili ya kazi na kutimiza wajibu hunahaja ya kutoa lugha kama hizo hapo juu. just do your job.

Ni kweli kbs zitto huwa haonekani hata kwenye mikutano ya chama chake kama wenzake,hapo utasikia yupo kwenye shughuli nyingine za kichama!.kweli zitto 'huyu'siyo yule.

Zitto amekuwa ni kati ya makada maarufu sana wa CDM ni kweli muonekano wake au kutokuwepo mahali ni rahisi jamii kufahamu, ila ikumbukwe ana majukumu mengi ya kichamam na kibunge, naibu katibu, naibu kiongozi kambi ya upinzani, mwenyekiti wa tume ya kudumu ya bunge, mbunge, nk. Ninaamini anakuwa ama anamajukumu mengine au yuko sehemu nyingine kichama.

Yes ni ukweli kila mtu anaona kupwaya kwake katika chama ila sijui kama ndio mbinu za kukimbia matope kwani kuna msemo unaosema kama unataka kugombea Uraisi lazima uwekwe mambo ya nje ili usisiginishane na wananchi ukija wakuone mpya.

NB:
Zitto ana karama sana ila kwa mwendo wa kikwetu madaraka hulevya na hufikia hatua husahau malengo. tusitukane wakunga wala tusidharau jamvi.
Zitto alipendwa akiwa Chadema na alipendwa na vijana na wazee wote waliona matumaini kwani alifanana nao leo nina wasi wasi kama anafanana na wale aliowaamsha. Siasa inavipindi hata hiki ni kipindi na akiweza kupita anaweza, ila siasa za Kitanzania zenye mizengwe na makundi zinaangamiza sana nyota nyingi zinazoashiria kung'ara. yuko wapi Lamwai, Kaburu, Mrema, Ringo Tenga, seif Sharifu, Nk Mategemeo yetu sio nia zao. Utawajua ukiwapa fedha na madaraka.
 
mim ndo semtawa. nimefuatilia tuhuma za kipuuzi dhidi yangu kuhusu story ya zitto na urais, taarifa zote kuhusu mim asilimia 99 ni cooked! some stupid guys wanaotumiwa na mafisadi wanadhn wataniyumbisha! jukwaa hli si la great thinkers bali most of them are so stupid! the home of stupid thinkers-jf! haiwezikan jukwaa la great people lijadili watu na ktoa taarifa za uongo, kiwendawazimu na kipuuzi.

Mods tunaomba mum verify huyu ili tujue kama haya ni maneno yake tumpe haki yake ya kikatiba ya kuelimishwa
 
mim ndo semtawa. nimefuatilia tuhuma za kipuuzi dhidi yangu kuhusu story ya zitto na urais, taarifa zote kuhusu mim asilimia 99 ni cooked! some stupid guys wanaotumiwa na mafisadi wanadhn wataniyumbisha! jukwaa hli si la great thinkers bali most of them are so stupid! the home of stupid thinkers-jf! haiwezikan jukwaa la great people lijadili watu na ktoa taarifa za uongo, kiwendawazimu na kipuuzi.
Mkuu pole sana kwa stress. I am very sure you are not a journalist watu wakujibu nini kama umekuja kutukana hapa, note this
1: hoja hujibiwa na hoja wala si matusi
2: FOCUS dont be paranoid, what I see una flight of Ideas
3: U cant insult the forum ambayo umeregister, ukapata id and password then utukane watu, if this was not a powerfull forum lisongekutoa mafichoni kuja kuregister tar 25 july 2012, its very powerful thats why you are here. dont panic discuss facts
4: there is never perfect crime,kuna thread in maandiko yako, mya advice why dont you take time kujibu hoja zote unazokuwa implicated?
5: Where did you get that 99%?, we dont trust you bro let me remind you of joshua Arap sang
6: Umejibu multiple choice question kwa essay type question the same bahaviour ya zitto, we cant you clear doubt. loop hole unayoiacha ya either you are there or not haliwezi kuwa filled na matusi mkuu
7: Jipange pitia allegations zako, I am sure kama profession yako ni journalism huwezi kuwa mvivu na mzembe wa kutumia kalamu kama ulivyoonesha kwa kutukana baada ya kujibu hoja

NOTE: Three can keep a secret if two of them are dead
 
Napenda kuweka angalizo kwenye mistari yako, kujenga chama? si lazima kazi hiyo afanye zitto kuna watuwengi wa kufanya kazi hiyo, kila mwanachama wa chadema anatakiwa kufanya kazi hii.

Bado sijaona kuna tatizo gani mtu akisema ana taka kugombea urais kwani si kosa kwenye katiba yetu ya sasa na hata inayo kuja, hakuna hatari yoyote kwenye chama ambacho ni cha demokrasia kusikia mawazo huru ya wanachama nafahamu mmesha zoea kuona watu fulani ndio wana haki ya kugombea na hilo ni tatizo hebu jaribuni kuona wenzetu huko nje akiomba kugombea kama atashindwa basi huwezi sikia anagombea tena ile anatoa nafasi kwa mwanachama mwingine lakini vyama vyetu hapa naona watu wanagombea mpaka wafie kwenye nafasi zao.

hebu tujaribuni kuondoa mawazo mgando, na tusipendi kujitisha na vivuli vyetu mwenye, huyu mnaye mpinga amesha fanya mambo mazuri mengi kwenye chadema kuzidi hata mwenyekiti wake ambaye amesha kuwa mgombea for so many time so let him do coz amefanya mengi.

chadema hapo nyuma kwenye bunge is all about zitto and slaa na wakati huu hata wakuwa na kundi linalo ongoza upinzani bungeni, tell me mwenyekiti amefanya nini toka alipo ingia bungeni na ndio ana dola ya upinzani now

let the young generation do and not try as we always like to see.
 
mim ndo semtawa. nimefuatilia tuhuma za kipuuzi dhidi yangu kuhusu story ya zitto na urais, taarifa zote kuhusu mim asilimia 99 ni cooked! some stupid guys wanaotumiwa na mafisadi wanadhn wataniyumbisha! jukwaa hli si la great thinkers bali most of them are so stupid! the home of stupid thinkers-jf! haiwezikan jukwaa la great people lijadili watu na ktoa taarifa za uongo, kiwendawazimu na kipuuzi.

Nadhani umeghadhabika. Tambua kuwa jukwaa hili lina maelfu ya wanachama, na litakuwa ni jambo la kushangaza sana kama watu wote wamekujadili wewe. Utetezi mzuri ni ule unaoendana na hoja. Kwa kuwa wanaokufahamu wameandika matukio au makala uliyoyaandika, kwa nini nawe usiwajibu kwa kuegemea tuhuma walizozitoa juu yako kuliko kujibu jumla jumla na kuliita jukwaa hili ni nyumba ya Wapumbavu? Huoni kuwa huwatendei haki wanajukwaa? Siku zote, utetezi mbaya kabisa ni wa kujibu kwa kutukana. Kama wewe mwenyewe unaamini kuwa aliyetoa tuhuma dhidi yako ni mpumbavu, je itakuwa halali nawe kumjibu kwa upumbavu? Si ingekuwa vema zaidi wewe ukajibu kwa busara ili ujitofautishe naye? Anyway, yawezekana umeandika ukiwa na hasira lakini ni muhimu kujidhibiti ili hoja yako uweze kuiandika vizuri na ukaweza kueleweka kwa walio wengi.
 
acheni unafkii huo wana CDM mna ajenda zenu za siri kwa zitto,kwanin ha mpendi kuwa wakweli?semeni tu kuwa zitto hapendwi kutokana na DINI yake na kabila lake,ndo mana zitto anafahamu ajenda zote khs hiki chama na malengo yake.Wakatoliki wamepanga mikakati kamambe ya kumchafua ZITTO ila hamta muweza kamwe huyu ni mpiganaji akiamua kuivunja na kuigawa CHADEMA anaweza time yyte ile.

Mkuu umegonga penyewe sasa subiri Wakatoliki waje hapa sijui kama matusi yao utaweza kuyavumilia
 
mim ndo semtawa. nimefuatilia tuhuma za kipuuzi dhidi yangu kuhusu story ya zitto na urais, taarifa zote kuhusu mim asilimia 99 ni cooked! some stupid guys wanaotumiwa na mafisadi wanadhn wataniyumbisha! jukwaa hli si la great thinkers bali most of them are so stupid! the home of stupid thinkers-jf! haiwezikan jukwaa la great people lijadili watu na ktoa taarifa za uongo, kiwendawazimu na kipuuzi.

Mama yangu weeeee umekuja hapa ohhhhh subiri sasa hawa wasiopenda ukweli na wenye account zaidi ya kumi toka pale mtaa wa UFIPA watakavyokuparura hapa hahaha wanatumiwa hawa na yule aliyefunguliwa kesi na Mke wake wakwanza aliyemtelekeza pamoja na wanawe akamuiba mke wa mwananchi wa kawaida hao vijana wake wanahasira na matusi wee shauri yako subiri waje hapa utakoma
 
Mh. Zitto Zuberi Kabwe,Mbunge wa Kigoma Kaskazini(CHADEMA) bado anajadilika.Hakuna kesi juu ya suala hili mahakamani. Zitto ni mwandishi wa makala mbalimbali magazetini.Makala zetu hujitokeza mara kwa mara magazeti ya MwanaHALISI,RaiaMwema na Mwananchi.Sote huandika makala. Zitto ni mwandishi mbobezi. Lakini ameniangusha sana.

Zitto aliaandika makala kuelezea kilichojiri kwenye Tamasha la Kigoma. Alisema kuwa eti amesafishiwa njia na Wabunge mbalimbali kuelekea Urais wakiwemo Filikunjombe,Mdee na Nassari. Alichokosea ni kuifanya makala yake kuwa ni kama habari ya kuripotiwa ukurasa wa mbele.Akamtumia Semtawa kumpambapamba kurasa ya mbele. Makala hukaa kurasa za ndani Zitto!

Nasema hivyo kwasababu,jana nilikutana na kuongea na Ramadhani Semtawa,mwandishi wa habari ya Zitto kwenye Mwananchi.Kwanza,akakana kuwepo Kigoma siku hiyo.Akadai kuwa habari hiyo 'ilimfuata' Dar es Salaam. Alitumiwa kwa email na 'jamaa' yake ili isomwe na watanzania. Nikagundua mara moja kuwa ni Zitto mwenyewe ndiye aliyeandika habari hiyo.Kwenye andiko lake la jana,Zitto anakiri kuwa hakuwaalika waandishi wa habari-akiwemo Semtawa.

Zitto hana nia njema.Atawachonganisha Filikunjombe na Lugola na CCM yao;Nassari na Mdee na CHADEMA yao;na Semtawa na Mwananchi lake.Zitto anatumia mbinu chakavu:anajitangaza mwenyewe. Jana,akaacha kuchangia Bajeti na kujitosa katika 'kujifagilia'. Zitto anajiharibia badala ya kujitengenezea. Ataitwa 'Mr Misifa' hivi karibuni. Akifika hapo,aandike ameumia...
 
Na kama ni kuwanyima usingizi, Zitto anawanyima usingizi haswa:flypig:
 
wakifanya wengine ni sawa akifanya Zitto kosa, unalo lilikukaa na roho na sio jengine ila rohombaya na choyo....
 
Tatizo Zitto ni mlengo wa kulia unaojaribu ku exist kwenye mlengo wa kushoto. Nadhani vita ya wanazi wa CDM dhidi ya ZK ni zaidi ya siasa.
 
Sina nia ya kupinga nia ya Zitto ya Urais 2015 bali ninachotaka kusema ni kuwa kila jambo lina wakati wake.
Kuna wakati wa kupanda na wakati wa kuvuna. Zitto anataka kuvuna wakati wa kupanda.

CDM ipo katika harakati za kujijenga, kuelimisha umma, na kutafuta wanachama ili hatimaye kumkomboa Mtanzania.

Yeye zitto, tena bila aibu, akiwa kama naibu katibu mkuu, badala ya kujenga chama, ana harakati za kuutaka Urais 2015.
Amekuwa ndio mtanzania wa kwanza kutangaza nia ya uraisi, tena wakati ambapo nchi ipo katika changamoto nyingi.

Na hii ni mara ya pili, wakati ule kampeni zilipopamba moto Arumeru pia alitangaza nia.

Naanza kuamini kuwa Zitto ni kibaraka wa magamba mwenye nia ya kuiua CDM.
Hakika Zitto sio wa kuaminiwa, ni mtu wa kuwa makini naye!
 
Nimekuwa nikifuatilia habari kuhusiana na mpango wako wa kuwania Urais. Kwanza hongera sana, kwani sifa unazo naamini na uwezo unao.

Pamoja na sifa hizo nataka kukumbusha kuwa umaarufu ulionao umetokana na CHADEMA. Hivyo kwa kila jambo unalofanya lazima ufikiri mara nyingi. Wakati huu CHADEMA inavyozidi kupata nguvu ni wakati muhimu wa kuwa watulivu kwa ngazi zote, ndiyo wakati hata wa propaganda nzuri na chafu zinapopenyezwa.

Ombi langu ni kuwa licha ya sifa na haki ulizonazo naomba huu si wakati wa kurumbana au kueneza uvumi wa kutaka urais vinginevyo utaandikwa kwenye vyombo vya habari kisha unapokaribia mchakato chama kikaharibikiwa au wewe ukaharibikiwa. Ushauri wangu kama unataka urais kuwa mtulivu sana. muda ukifika wa mchakato pima upepo, ukiona vp subiri 2020 kwani umri wako unaruhusu.Hapo utakuwa umejijenga vizuri zaidi ikiwa ni pamoja na chama kuimarika. Mimi siamini kama unatumiwa na CCM kama wengine wanavyosema. Kama hutumiwi basi ushauri huu upokee ila kama unatumiwa basi endelea na malumbano utaona mwisho wako. Maana CCM kwa propaganda chunga!

Leo yuko wapi Lamwai na Bwana kabour wa kigoma na wengine wengi. Waliposhawishiwa na CCM wakashawishika kisha wakamwagwa, baadaye utakuwa kama Mrema ambaye sasa hajitambui kama mpinzani au la maana amechanganyikiwa kutokana na umaarufu aliokuwa nao. NI USHAURI TU UCHUKUE AU UKATAE.
 
acheni unafkii huo wana CDM mna ajenda zenu za siri kwa zitto,kwanin ha mpendi kuwa wakweli?semeni tu kuwa zitto hapendwi kutokana na DINI yake na kabila lake,ndo mana zitto anafahamu ajenda zote khs hiki chama na malengo yake.Wakatoliki wamepanga mikakati kamambe ya kumchafua ZITTO ila hamta muweza kamwe huyu ni mpiganaji akiamua kuivunja na kuigawa CHADEMA anaweza time yyte ile.
si ajabu watu kama hawa ndo washauri wa Zitto!anayoyafanya hayakuwa expected kwa mtu wa caliber yake!kweli tamaa ni kitu kibaya sana.we ona tu baadhi ya viongozi wa ccm/gvt tulionao sasa...wasomi wakubwa tu lakini ukiwasikiliza unashangaa...ni kama tamaa inamfanya mtu awe mjingamjinga hivi hata kama ni msomi..ndo maana umaskini unaendelea kutamalaki nchi hii pamoja na utajiri wote tulionao kama nchi!
 
Back
Top Bottom