ZITTO na siri za kamati ya madini

Hivi ataendelea kutoa siri za kamati mpaka lini? maana kila akimaliza vikao asubuhi huyooooo anakimbilia kwenye fisi yake na timu yake pale Bungeni Dododma wanaingia JAMII FORUMS kumwaga upupu.

Hivi hiyo ndio Standard Operation Procedures za hizo kamati au za CHADEMA?

kusema ukweli mie mwenyewe napenda sana kusoma upupu lakini hamuoni hii inaweza ikawa na madhara baadae? lets say kila kitu kiko fine kisha akaingizwa kwenye kamati ya Ulinzi na Usalama je tunaweza kum count in huyu Zitto au?

Hii sio bure. Kuna kitu kinapikwa hapa.......

Tanzanianjema
 
Hivi ataendelea kutoa siri za kamati mpaka lini? maana kila akimaliza vikao asubuhi huyooooo anakimbilia kwenye fisi yake na timu yake pale Bungeni Dododma wanaingia JAMII FORUMS kumwaga upupu.

Hivi hiyo ndio Standard Operation Procedures za hizo kamati au za CHADEMA?

kusema ukweli mie mwenyewe napenda sana kusoma upupu lakini hamuoni hii inaweza ikawa na madhara baadae? lets say kila kitu kiko fine kisha akaingizwa kwenye kamati ya Ulinzi na Usalama je tunaweza kum count in huyu Zitto au?

GT,

Tunatakiwa kuelekea zaidi kwenye ukweli na uwazi na kuondokana na usiri. At least in the frame of things kuhusu mambo ya madini. Kuna siri gani ambayo inaweza kuhujumu uchumi wetu ambayo Zitto kaitoa?

Inashangaza kuona vijana ambao wanatakiwa kuwa encourage watu kama kina Zitto kuweka wazi mambo ya siri, ambayo yametufikisha kwenye mikataba mibovu na uozo mwingine usiosemekana, wanampigia kelele Zitto kwa kumwaga vitu.

I guess watu wengine wanatafuta kubweka tu, Zitto asingetoa vitu tungelalamika Zitto ana side na status quo, anatoa sasa tunalalamika anatoa siri.

Siri ya mtu mmoja, wakiwa wawili si siri. Watu wanatoa siri za cabinet, itakuwa tume ya madini. Hatutaki siri, period.

Damned if he does, damned if he doesn't.
 
GT majuzi tu hapa juzi katuwekea mkataba baina ya nssf na dr Masau bila ya ridhaa ya dr Masau, je wewe bw GT tukuiteje kwa kuingilia uhuru wa mtu na kuanika siri zake?, anyway hiyo haifanyi TWO wrongs to be right, lakini ni lazima unapotoa shutuma, jiangalie na wewe, under some circumstances una act vipi katika situation ambazo zinataka kufanana na zile unazowashutumu wenzio!

Wewe unakuwa kama humjui GT kwa double standards?

Siye huyu aliyekuwa anawa lambast watu kwa copyright violation in the case of newspaper articles, halafu akaja hapahapa na mp3 downloads anaoffer watu wa download?

Watu wanashambulia wengine kwa principles ambazo hawawezi kuzifuata!
 
interesting....

Hivi hawa wapinzani esp wa CHADEMA hawasemwi eeh? Yaani kila kukicha asemwe JK na kundi lake tuu?

double standards

Zitto mwenyewe ni member humu na atakuja...time will tell
 
interesting....

Hivi hawa wapinzani esp wa CHADEMA hawasemwi eeh? Yaani kila kukicha asemwe JK na kundi lake tuu?

double standards

Zitto mwenyewe ni member humu na atakuja...time will tell

Issue siyo wapinzani hawasemwi, mimi nishawahi kumsema Zitto mapema sana.

Lakini hujajenga hoja, hujawa specific, hujaonyesha siri gani unazozungumzia, na pia umewapa sababu watu kufikiri kuwa unatetea utamaduni wa usiri ambao ni nguzo mojawapo ya ufisadi.

Kwa nini watu wasikulime?
 
interesting....

Hivi hawa wapinzani esp wa CHADEMA hawasemwi eeh? Yaani kila kukicha asemwe JK na kundi lake tuu?

double standards

Zitto mwenyewe ni member humu na atakuja...time will tell

Afadhali ya Zito anakuja kutueleza Watanzania wenzake ambao ni ndugu moja kuliko JK ambaye anakwenda kumwambia Sinclair bin Mwizi. (Tuliwalaumu baadhi ya watemi kwa kuuza ndugu zao lakini hawa wa siku hizi wanatuuza huku tunachekelea).
 
You are stuck in the past mkuu.

504qh1.gif
 
Back
Top Bottom